Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Umesahahau vihenga vya kanondo vinahifadhi zaidi ya tani 30000.
Hivyo vya kwako vya taifa nfra takwimu ndo hizo ukianza kuchukua takwimu za godown za watu mitaani makambako Kuna mtaa zaidi ya miwili godown tupu za makaopuni na watu binafsi ko sisi tumefocus za NFRA
 
Rukwa msimu wa mwaka 2021 tani zilizo zaliswa laki 6.5,ruvuma sikatai lakini rukwa mahindi ndo icon ya mkoa. Na msimu wa mwaka 2023 mkoa ulizalisha Tani laki 8(800,000)za mahindi pekee.
Kinara wa mahindi ni ruvuma na wanaolina kule wanatoka njombe ko yakivunwa lazima yaende makambako ko ndo maana tumekwambia makambako imezungukwa na maeneo yenye uzalishaji mkubwa ndo maana wametarget hata kuweka soko pale hapo bado hatuja ongelea maharage na mpunga Mfano bonde la usangu na bonde la kilombero bado matunda na makambako mazao yanasafirishwa kwa maroli na treni kwenda nchi tofauti pia serikari Ina godawn hadi za mazao MENGINE kama kahawa ,tumbaku ,sukari na yote hayo tren linaingia hadi ndani kushushia nje ya godawn za bidhaa tofauti ka za TFA MBOLEA,GODAWN ZA TAZARA,DEPOT ZA CEMENT KAMPUNI ZA DANGOTE ,TEMBO CEMENT ,SIMBA CEMENT ,AZANIA, MO , depot za mafuta za puma na ya Serikali wamechukua ekari kadhaa ujenzi wa tank haujaanza N.K pia reli walishafikisha hadi eneo la soko la kimataifa la mazao makambako ni eneo ambalo liliandaliwa kwa mfumo huo toka enzi za mwl Nyerere ndo maana hata reli pale iliingizwa kwenda kwenye godawn tofauti tofauti pia waliweka bandari kavu na eneo la kupakilia mbao na uzur reli ya TAZARA inaenda kufufuliwa ko miundo mbinu yote inarudi mahala pake na ndio maana mkoa umeamua kuwa makambako ndo uwe mji wa viwanda na biashara kwa Sababu wanajua urahisi wa kupata raw materials na urahisi wa soko
IMG-20240604-WA0061.jpg
IMG-20240520-WA0027.jpg
1713234569743.jpg
IMG-20231026-WA0958-1024x662.jpg
 
Uwanja wa ndege wa njombe kutafutiwa eneo lingine mbadala ndani ya mkoa wazamani wameamua kuacha nao 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka Juni 04, 2024 ametembelewa ofisini kwake na Timu ya Wataalamu kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) waliokuja kwa lengo la kutoa taarifa ya eneo la mradi wa Upembuzi yakinifu na Usanifu wa Kina ya Ujenzi wa Uwanja wa ndege Mkoani Njombe.

Kiwanja cha Ndege Mkoa wa Njombe kinakwenda kujengwa kwa hadhi ya Kiwanja cha Ndege cha Kikanda (Daraja 4E) na Mtaalamu Muelekezi (Consultant) kutoka Kampuni ya Intercontinental Consultants and Technocrats Pvt.Ltd ya nchini India.

Mradi huu ni wa miezi 10 unatarajiwa kukamilika mnamo mwezi Oktoba,2024 na kisha taratibu za manunuzi ya kandarasi ya ujenzi itaanza.

Aidha, Bi. Diana Munubi ambaye ni miongoni mwa wataalama hao amemweleza Mkuu wa Mkoa kuwa, "Mhe. Mkuu wa Mkoa tumefikiria kupata eneo mbadala kwaajili ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Njombe, kama tulivyofanya Msalato na Mwada, Maeneo hayo tumeyapata kwa kushirikiana na Ofisi ya Kamishina ya Ardhi Mkoa wa Njombe hivyo tutaleta mrejesho kamili pindi tutakapo ona yafaa". Amesema Bi. Diana Munubi
1717554073888.jpg
IMG-20240605-WA0006.jpg
 
Hivyo vya kwako vya taifa nfra takwimu ndo hizo ukianza kuchukua takwimu za godown za watu mitaani makambako Kuna mtaa zaidi ya miwili godown tupu za makaopuni na watu binafsi ko sisi tumefocus za NFRA
We mbona mbishi sana vihenga vya kanondo ndo vyakisasa vinahifadhi all most tan elfu30+ afu unasema vyamitaani shida yako unachukua tahalifa ambayo aipo updates afu unaandika yaani kukop na kupesti.
Screenshot_20240605-075821.png
 
SOma maelezo ya Kanda ya sumbawabga yanajieleza vizuri mno au ingia website ya kanda
We mbona mbishi sana vihenga vya kanondo ndo vyakisasa vinahifadhi all most tan elfu30+ afu unasema vyamitaani shida yako unachukua tahalifa ambayo aipo updates afu unaandika yaani kukop na kupesti.View attachment 3008958Soma maelezo ya Kanda ya sumbawabga ndo utajua na hivyo vihenge vipya ndo watakuwa na tan ngap soma mstari kwa mstari
 
Unataka nipigwe banned ndo unielewe? Ubaelekezwa unakua mgumu kuelewa kama boga?.
Endelea kubaki hivohivo na unacho amini ila tambua ruvuma ndo kinara wa mahindi na nikanda inayokusanya mkoa mmoja sio sawa na sumbawanga wanachangiana na mpanda
 
Screenshot_20240605-130417.png
Screenshot_20240605-130451.png
Akili kisoda wewe mwaka jana mkoa wa rukwa pekeake ulifanikiwa kuvuna tan lak8 za mahindi kuhusu ruvuma sikatai lakini tupo chati moja yaani wao wakiwa tan la8 sisi lak7 average ipo sawa

Itoshe kusema mkoa wa ruvuma ni mkubwa kuliko mkoa wa rukwa kwani waweza kuingia ata mala3 ya mkoa wa rukwa nikijunlisha na ukubwa wa alidhi naona bado hawajatufikia ata kwa asilimia 2.
Endelea kubaki hivohivo na unacho amini ila tambua ruvuma ndo kinara wa mahindi na nikanda inayokusanya mkoa mmoja sio sawa na sumbawanga wanachangiana na mpanda
 
View attachment 3009343View attachment 3009344Akili kisoda wewe mwaka jana mkoa wa rukwa pekeake ulifanikiwa kuvuna tan lak8 za mahindi kuhusu ruvuma sikatai lakini tupo chati moja yaani wao wakiwa tan la8 sisi lak7 average ipo sawa

Itoshe kusema mkoa wa ruvuma ni mkubwa kuliko mkoa wa rukwa kwani waweza kuingia ata mala3 ya mkoa wa rukwa nikijunlisha na ukubwa wa alidhi naona bado hawajatufikia ata kwa asilimia 2.
Ndo akili zako zinavokutuma ukubwa wa pua si uwingi wa kamasi ko HiYo hoja Yako Haina mashiko Cha msingi ni watu kutumia vyema ardhi full stop
 
Ndo akili zako zinavokutuma ukubwa wa pua si uwingi wa kamasi ko HiYo hoja Yako Haina mashiko Cha msingi ni watu kutumia vyema ardhi full stop
Apo ndo ulefu na mwisho wakufikili kwako kulipoishia auwezi fikili zaidi yaapo mala pua mala kamasi nafikili nenda fb ndo kwenye michambo uku ni hoja na facts nimekueleza utaki kuelewa.
 
Apo ndo ulefu na mwisho wakufikili kwako kulipoishia auwezi fikili zaidi yaapo mala pua mala kamasi nafikili nenda fb ndo kwenye michambo uku ni hoja na facts nimekueleza utaki kuelewa.
Unafact gan ww unatulembeshea maneno wakati tumeshakupa data za tan zinazohifadhiwa sumbawabga we kabla na baada ya ujenzi wa vihenge we unatuletea story za kwenye vibanda vya kahawa hapa
 
Mambo ya viwanda yamepelea kuanza kutanua substation ya umeme makambako👇👇👇👇👇👇👇UPANUZI WA KITUO CHA KUPOKEA NA KUPOZA UMEME
MAKAMBAKO (MAKAMBAKO GRID SUBSTATION UPGRADE).
Serikali kupitia shirika la umeme(TANESCO), imetenga kiasi cha shilingi za
Kitanzania7,129,832,500.00 kwaajili ya kuongeza mashine umba yenye
uwezo wa Megawati 48 na msongo wa umeme wa kilovoti 220/33.Kazi ya
upembuzi yakinifu imekamilika mwezi Desemba 2023 na hatua za manunuzi
zinaendelea na zimefikia asilimia 65.
maxresdefault(12).jpg
 
View attachment 3009532
Nenda kabishane Facebook.
“We are glad that our maize deliveries to New Kapiri Mposhi and Bulawayo have been achieved in record time so far,” says Eng Ching’andu following the completion of phase one of the haulage of 17,000MT of maize, with each train taking an average of 2.5 days between Makambako and New Kapiri Mposhi. Over 8,000MT has already been transported to New Kapiri Mposhi so far. Zambia Railways Ltd and National Railways of Zimbabwe have continued to do their part. #TazaraMustRevive #Tazara #ZRL #NRZ
 
Back
Top Bottom