Hivyo vya kwako vya taifa nfra takwimu ndo hizo ukianza kuchukua takwimu za godown za watu mitaani makambako Kuna mtaa zaidi ya miwili godown tupu za makaopuni na watu binafsi ko sisi tumefocus za NFRAUmesahahau vihenga vya kanondo vinahifadhi zaidi ya tani 30000.