Kuna cold zingine wanajenga makambako kwenye eneo la bandari kavu la nafaka limeshajengwa tayari na bado majengo MENGINE yanaendelea na limeanza kutumikaWakati huo huo cold rooms wanajenga Mbeya na Njombe Airport,hao wawekezaji watajiongeza Kwa gharama za transport au?
Mimi nilisikia litakuwa soko na mazao ya nafaka kama kule Ikozi-Momba au Tunduma.
Wakati huo huo cold rooms wanajenga Mbeya na Njombe Airport,hao wawekezaji watajiongeza Kwa gharama za transport au?
Mimi nilisikia litakuwa soko na mazao ya nafaka kama kule Ikozi-Momba au Tunduma.
https://www.facebook.com/Wakati huo huo cold rooms wanajenga Mbeya na Njombe Airport,hao wawekezaji watajiongeza Kwa gharama za transport au?
Mimi nilisikia litakuwa soko na mazao ya nafaka kama kule Ikozi-Momba au Tunduma.
Soko lakimataifa lanini?πΈπ.Soko la Kanda nyanda za juu kUsini kujengwa makambakoπππππ"ENEO LA SOKO LA KIMATAIFA MAKAMBAKO LATENGWA - YouTube"
View: https://m.youtube.com/watch?v=MoIM90i1t7U&pp=ygUXc29rbyBsYSBtYXphbyBtYWthbWJha28%3D
MaZao mchanganyikoSoko lakimataifa lanini?πΈπ.
Makambako nonono labda mbao market! πππ.MaZao mchanganyiko
Makambako nonono labda mbao market! πππ.
Makamako inazingukwa na maeneo yenye uzalishaji mkubwa wa mazao ndo maana Serikali imerifikiria Hilo na Kuna makampuni makubwa kama Azania , mo, nk Yana godawn za kutosha za kuhifadhia mazao makambako pia NFRA Ina ofisi zao za Kanda labda kama hujui kuwa wilaya ya mbalari inapakana na wapi ,blonde la kilombero , mkoa wa iringa ,ruvuma na mkoa wa njombe wenyewe na Kuna biashara kubwa ya mazao tofauti na unavofikiriMakambako nonono labda mbao market! πππ.
Makambako nonono labda mbao market! πππ.
Kanda ya Makambako
Ofisi za Kanda ya Makambako zipo katika Mji wa Makambako, Mkoa wa Njombe na inaongozwa na Meneja wa Kanda. Kanda ilianzishwa kimkakati ili kuweza kuhudumia Mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Songwe. Katika kuongeza ufanisi, Kanda hii iligawanywa na kutoa kanda mbili ambazo ni Kanda ya Makambako (Njombe na Iringa) na Songwe (Songwe na Mbeya). Kanda ya Makambako ina maghala yenye uwezo wa kuhifadhi tani 22,000 za nafaka.
Kwa sasa, Wakala inatekeleza mradi wa kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka kwa kujenga vihenge na maghala ya kisasa ili kuboresha miundo ya uhifadhi katika eneo la Makambako. Kukamilika kwa mradi huu kutawezesha kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka kutoka tani 22,000 zilizopo sasa hadi tani 62,000.
Nafaka zinazonunuliwa, kuhifadhiwa na kuzungushwa/kuuzwa kupitia Kanda ya Makambako ni mahindi na mpunga. Kanda hii kijiografia huwa na uwiano mzuri wa uzalishaji wa mpunga na mahindi kutokana na kuwa na uzalishaji mkubwa wa ziada ya nafaka na imekuwa ni sehemu ya kivutio kwa wanunuzi mbalimbali wa nafaka kutokana na kupatikana kwa wingi na urahisi wa usafirishaji kwa njia ya reli na barabara.
Mawasiliano;View attachment 3007102View attachment 3007103
Mkoa gan unazalisha Tani laki Saba za mahindi maana hadi Sasa mkoa inaongoza kwa mahindi ni ruvuma hapa tunaenda kwa fact sio story za mitaanSasa tan 60000 ndo itahudumia kanda wakati kuna mkoa mahindi tu wanazalisha tani laki7 hapa bado mikoa mingine jumlisha mazao mengine wambie waongeze sifike angalau tani m1.
Sasa tan 60000 ndo itahudumia kanda wakati kuna mkoa mahindi tu wanazalisha tani laki7 hapa bado mikoa mingine jumlisha mazao mengine wambie waongeze sifike angalau tani m1.
Mkoa gan unazalisha Tani laki Saba za mahindi maana hadi Sasa mkoa inaongoza kwa mahindi ni ruvuma
Rukwa msimu wa mwaka 2021 tani zilizo zaliswa laki 6.5,ruvuma sikatai lakini rukwa mahindi ndo icon ya mkoa. Na msimu wa mwaka 2023 mkoa ulizalisha Tani laki 8(800,000)za mahindi pekee.Mkoa gan unazalisha Tani laki Saba za mahindi maana hadi Sasa mkoa inaongoza kwa mahindi ni ruvuma hapa tunaenda kwa fact sio story za mitaan
Umesahahau vihenga vya kanondo vinahifadhi zaidi ya tani 30000.Kanda ya Sumbawanga
Ofisi za Kanda ya Sumbawanga zipo katika eneo la Mazwi, Mkoa wa Rukwa na inaongozwa na Meneja wa Kanda. Kanda ilianzishwa kimkakati kutokana kuwa na uzalishaji mkubwa wa nafaka aina ya mahindi na mpunga. Kanda hii inahudumia Mkoa wa Rukwa na Katavi. Kanda ya Sumbawanga ina maghala yenye uwezo wa kuhifadhi tani 38,500 za nafaka ambapo ni Mazwi-Sumbawanga Mjini (Tani 28,500), Laela-Sumbawanga Vijijini (tani 5,000), na Mpanda-Katavi (Tani 5,000).
Kwa sasa, Wakala inatekeleza mradi wa kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka kwa kujenga vihenge na maghala ya kisasa ili kuboresha miundo ya uhifadhi katika eneo la Mazwi na Mpanda. Kukamilika kwa mradi huu kutawezesha kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka kutoka tani 38,500 zilizopo sasa hadi tani 83,500.
Nafaka zinazonunuliwa, kuhifadhiwa na kuzungushwa/kuuzwa kupitia Kanda ya Sumbawanga ni mahindi na mpunga. Ni moja ya kanda inayotegemewa kuhamisha nafaka kwenda kanda zenye upungufu katika uzalishaji wa chakula hususan mikoa ya kanda ya Ziwa.
Mawasiliano;