Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga


View: https://twitter.com/Avem1797/status/1822241011847868893?t=wVSqU2BeOquyHIQlDhvelA&s=19
20240810_135112.jpg
 
Hili eneo la makambako to njombe ,MAKAMBAKO TO UBARUKU, MAKAMBAKO TO NYORORO vyuma vinazidi kushuka Sana hii ni kutokana na muunganiko wa vimiji ni eneo ambalo limeshakuwa na wakazi wengi sana
1723590400804.jpg
thumb_223_370x300_0_0_crop.jpg
1723593124098.jpg
1723592678347.jpg
1723592959072.jpg
1723593404088.jpg
1723593059388.jpg
1723592821053.jpg
1723592866942.jpg
1723593316231.jpg
1723593275576.jpg
1723593225683.jpg
1723592234642.jpg
 
1723649607474.jpg
The Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA) is pleased to announce a strategic collaboration with Zambia Railways Ltd and Calabash Freight Ltd, a private operator, to transport over 160,000 metric tons of maize from Makambako and Vwawa, in Tanzania, to Kalomo, in Zambia over the next eight months.
 

Attachments

  • 1723649599062.jpg
    1723649599062.jpg
    180.6 KB · Views: 3
Chuma cha Maganga Matitu cha Ludewa mkoani Njombe, mkombozi wa Taifa.

#ndc #SHIRIKALATAIFALAMAENDELEO #nationaldevelopmentcorporation #investment #ironeore
1723702991411.jpg
 
MALORI 120 HUBEBA MAKAA YA MAWE KWA SIKU MGODI WA JITEGEMEE MBINGA
Meneja Uchimbaji wa kampuni ya Mgodi wa Makaa ya Mawe ya JITEGEMEE Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma Bosco Mabena amesema malori zaidi ya 120 hubeba makaa ya mawe kwa siku katika mgodi huo na kwamba uzalishaji wa madini hayo unafanyika kwa njia za kisasa.
Amesema makaa ya mawe yanayozalishwa kwenye mgodi wa JITEGEMEE hutumika katika viwanda vilivyopo ndani ya nchi,Afrika Mashariki na nchi za Ulaya na China
Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa inayoongoza kwa kuzalisha makaa ya mawe nchini ambapo hadi sasa kuna Kampuni za kuchimba makaa ya mawe zaidi ya 22 katika Wilaya za Mbinga ,nyasa na Songea .https://www.facebook.com/reel/512103471189757/?mibextid=JKhxCcgn07XyEHyd
 
Back
Top Bottom