Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbona unapost jengo moja 🤣🤣 weka aerial view, mbona unapenda kuficha ficha

Leta na wewe ya moja moja tuone sio unajibalaguza hapa na kutuletea gorofa moja mbili tatu hizo njombe ni nyumba za kuishi na ofisi za visima vya mafuta leta hotel Kali kama hizi
Hillside-View-592x444.jpg
maxresdefault(2).jpg
1727833049329.jpg
1727770491270.jpg
 
Ha
Kwenye ukweli nitapongeza lakini siwezi kusifia na kutetea sehemu mbovu mimi, weka aerial view ya makambako kama huwezi nitakusaidia nikiipata
Kwenye ukweli nitapongeza lakini siwezi kusifia na kutetea sehemu mbovu mimi, weka aerial view ya makambako kama huwezi nitakusaidia nikiipata

Sasa mbona unarudia zile zile unabadilisha angle tu😂😂😂😂😂
Tumekupa uwanja leta gorofa za huko umeshindwa Koo Kaa kimya
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2024-07-29 at 13.31.30 (1)(0).jpg
    WhatsApp Image 2024-07-29 at 13.31.30 (1)(0).jpg
    42.9 KB · Views: 11
Tembea uone dunia ilivyo pana siyo unajifungia Njombe huko na kuona kama uko ulaya, naona umeanza kupost vitongoji sasa. Geita ina miji mingi midogo midogo lakini iko moto sana sababu ya kuwa na migodi ya dhahabu. Kwa mfano ukiachana na katoro, kuna Lwamgasa na Nyarugusu ambako watu wamefanya kufuru kwenye sector ya ujenzi wa makazi bora ,ingia hata google earth ujionee sio unajifungia na kuanza kusifia vitu vya ajabu
 
Back
Top Bottom