Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 921
- 937
Unaongelea mkoa au mji wa njombe? Kuna njombe nyingine tofauti na hii 👇👇ACha umbumbu na ww tunakwambia hivi mkoa WA geita kimajengo madhari ya mji kwa mkoa WA NJOMBE haikamati hata kidogo hata marehemu magafuli ni wageita mwaka 2019 alikili Hilo na kubaki anashangaa kuona jinsi makambako na NJOMBE zilivo ungana na makazi ya kisasa yalivo shamili ko ACha kuchunga ngombe nenda mkoa WA NJOMBE kajifunze miji inakuaje sio kutuletea vijiji VYA katoro hapa geita kwa njombe bado Sana View attachment 3112686View attachment 3112687View attachment 3112688View attachment 3112689View attachment 3112690View attachment 3112691View attachment 3112692View attachment 3112693View attachment 3112694