MKUU WA MKOA NJOMBE 👇👇👇👇👇Nilipata Pia nafasi ya kuonana na Marafiki zetu viongozi wa Shirikisho la Riadha China -Tumezungumza mengi ya kushirikiana kwenye eneo la kimichezo na wana Njombe,kwingineko tumeyazungumza na ya uwekezaji na biashara za pamoja-China ni moja ya wadau wa parachichi zetu,miradi ya chuma Maganga Matitu,uongezaji wa thamani kwenye zao letu la miti.Yapo mengi katika Mageuzi ya Uchumi wa China nimejionea na nimejifunza na kujifundisha.