Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbeya cc
1725949212674.jpg
 
makambako tc kazi zinaendelea mradi wa viwanda vya chuma unazidi kuchochea Kasi ya uwekezaji wa sector tofauti hospital na hotel
IMG_20240912_144914_918~2.jpg
 
Diwani wa kata ya Kitandililo katika Halmashauri ya mji wa Makambako wilayani Njombe Imani Fute ameliomba taifa la china kuisaidia Tanzani kupata soko la parachichi, chai,korosho na ufuta.

Fute ametoa ombi hilo akiwa nchini china kwenye semina ya diplomasia ya uchumi wakati akizungumza katika semina hiyo yenye wawakilishi 42 kutoka mataifa 11 duniani, ambapo ameiomba china iisaidie Tanzania kwenye soko la mazao hayo huku akitaka ije iwekeze kwenye soko la kimataifa Makambako ambalo eneo limetengwa.

Fute amesema ombi hilo ni kutokana na jitihada za Rais Dkt.Samia Suluhu Hasan katika kukuza uchumi wa wananchi na Taifa letu.

#IceFmHabari
#NisikilizeMimi
Na @cleefmlelwah
IMG-20240911-WA0030.jpg
INVESTMENT OPPORTUNITIES.jpg
 
Back
Top Bottom