Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

MOJA YA CHANGAMOTO ILIYOKUWA INALIKUMBA ENEO HILI NI MAJI SASA MAMBO NI MOTO WAMEUNGANISHA MAKAMBAKO RUJEWA NA WANGINGOMBE 👇👇👇👇👇Mradi huo unaogharimu kiasi cha Dola Milion 20,379,000.58 ambazo sawa na Shilingi 50, 927,124,011.00. Mradi unatajia kuzalisha maji kiasi cha lita za ujazo 41,000,000 kwa siku. Hata hivyo Eng. Lestus Linda ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Rujewa (RUJUWASA) amesema mradi huo unategema kunufaisha Mji wa Rujewa, Kata ya Ubaruku, Imalilo-songwe na Igava. Pia Mji wa Wanging'ombe na Makambako ni miongoni mwa wanaufaika wa program hiyo.

Mradi huo unatekelezwa kupitia Mkandarasi M/S Larsen and Toubro Kampun
1726823622379.jpg
i ya India chini ya Mshauri WAPCOS wa India. Mradi unategemea kukamilika mwaka 2025 ikiwa ni muda wa awali wa mkataba. Mradi huu ni kazi kubwa anayoendelea kuifanya Raisi Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika juhudi za kuhakikisha changamoto za maji zinapungua kwa kiasi kikubwa.

#NasimamanaRaisimheshimiwaDaktSamiaSuluhuHassan
1726824136508.jpg
1726823608350.jpg
 
TZ 🇹🇿 KITOVU KIPYA CHA USAFIRISHAJI EAC & SADC

- Marekani🇺🇸 kuendeleza reli ya Tanzania - Zambia (TAZARA) kwa kipande cha Zambia🇿🇲 - DR Congo🇨🇩 hadi Angola🇦🇴 kwa US Dola Milioni 250.

- China🇨🇳 ambae ni mfadhili wa reli ya TAZARA kutoka Tanzania hadi Zambia atakarabati reli hiyo kwa US Dola Bilion 1.

- Uboreshaji huu wa miundombinu unaifanya Tanzania kuwa kitovu kikuu cha usafirishaji Afrika mashariki na Kusini mwa Afrika.
1726904307555.jpg
 
Hakuna ulazima wowote wa reli kuwa Sgr ya umeme ndio isafiri Kwa speed kubwa.

Nigeria 👇👇

View: https://x.com/AfricaViewFacts/status/1838661373309456710?t=FiMkKNx9quL-IsRBdqboow&s=19

Shida watu wamesha kalilishwa kuwa ya umeme ndo yenye speed wa subiri mchina aanze kazi TAZARA ndo watashindanisha na hiyo SGR shida ni locomotive zenye Speed hatuna wakati china tayar Wana hizo locomotives ndo maana wamekuja na mpango wa kuiboresha kwanza ili waweke locomotives hizo Sasa sisi ni kelele tu
 
1727253041720.jpg

"Sisi tumezungumza na hata wananchi wanasema, miradi ni mikubwa na imetekelezwa na Njombe tumepata bahati na kama mkoa tumepokea mradi wa miji 28 na mradi huu umetekelezwa kwenye halmashauri tatu. Halmashauri ya Makambako tuna zaidi ya Bilioni 42, Halmashauri ya Wanging'ombe tuna Bilioni 43 na Njombe mjini tuna zaidi ya Bilioni 41. Ni hela nyingi na sisi kama Njombe tumenufaika" - Mhe. Kisa Kasongwa - Mkuu wa Wilaya Njombe

#MamaAmetutuaNdoo
#MajiSioShidaZetu
#MajiMwaMwaMwa
#LiveOnClouds360
#CloudsTvNiMkataba
1727252855799.jpg
 

Attachments

  • 1727252855799.jpg
    1727252855799.jpg
    198.9 KB · Views: 1
  • 1727252855799.jpg
    1727252855799.jpg
    198.9 KB · Views: 2
  • 1727253041720.jpg
    1727253041720.jpg
    199.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom