Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 921
- 937
ACha kuweweseka kama una kifaduro mnazaliana Sana afu ni masikini mnajilundika sehemu moja kama mazizi ya ngombe Kanda ya ziwa miji ambayo angalau ipo standard nje ya mwanza ni bukoba na shinyanga vingine ni vijiji usituletee humuIn terms of population bado Mkoa wa njombe unapelea kwa Geita ndio maana Geita ina miji mingi mikubwa kuliko mkoa wa njombe kwa sababu kitu cha kwanza kinacho chochea ukuaji wa miji ni population size of a particular area ππView attachment 3113564View attachment 3113565
Katoro ni vijiji ulitangaza lini kuwa mji acha ushashamba basi vijiji vya design HiYo kwa Sasa Tanzania ni vingi zunguka uone sio kushinda tu mwaloni na kuanika vidagaaaPopulation size
Njombe town council( inaundwa na kata 13)= watu 182 127
Katoro (mji unaundwa na kata tatu, katoro 92 192, buseresere 53 456 na Ludete 106 768) = watu 252 416
REFERENCE: Tanzania population census 2022
Katoro ni kama ilembula tu Kaa kimya Mzee unaaibika tu tena Bora hata ilembu Ina huduma nyingi za kijamiii hata Rami mitaa ni za kutosha
Kijiji hata mpangilio wa makazi ni sifuri et Kuna mji hapo kama mazizi ya ngombe
Yan we jamaa asee unachekesha ko mapaa ya nyumba ndo standard ya mji hebu tuletee CBD YA HICHO KIJIJI CHAKO TUONE MAANA MAKAZI YA DESIGN HIYO NOW KILA MJI YAMEJAA PEMBEZON KO MJI TUNAANGALIA CBD ACHA KUTULETEA MAPAA HAPAAngalia vizuri View attachment 3113521
Na hiyo makambako hako ni kakipande ka Barabara moja inayoelekea njombe na songea zaidi ya km 30 ni makazi ya watu hapo huja gusa iringa road na mbeya road ndo maana tulikwambia umepalamia Uzi na hivyo vijiji vyakoAngalia vizuri View attachment 3113521
Weka data, mbona unaanza kutokwa na maneno tu π€ACha kuweweseka kama una kifaduro mnazaliana Sana afu ni masikini mnajilundika sehemu moja kama mazizi ya ngombe Kanda ya ziwa miji ambayo angalau ipo standard nje ya mwanza ni bukoba na shinyanga vingine ni vijiji usituletee humu
Yan we jamaa asee unachekesha ko mapaa ya nyumba ndo standard ya mji hebu tuletee CBD YA HICHO KIJIJI CHAKO TUONE MAANA MAKAZI YA DESIGN HIYO NOW KILA MJI YAMEJAA PEMBEZON KO MJI TUNAANGALIA CBD ACHA KUTULETEA MAPAA HAPA
Weka zote mbili kwa pamoja Katoro na makambako kama hujaaibika,Ukubwa wa katoro kwa makambako ni sawa na kipande hichi tu 7 km kutoka makambako CBD
View attachment 3113733
Unajipa matumaini eeπππ kwa wilaya za hovyo hovyo haziwezi gusa kwa katoro π makambako na viunga vyake hivi apo π yaani hii linganisha na ushiromboNdo maana tumekwambia level katoro ishindanage na ilembula huko View attachment 3113729
A very tiny village, wenzake ni hawa πNdo maana tumekwambia level katoro ishindanage na ilembula huko View attachment 3113729
Weka takwimu tuone sio unajitungia tuu maana Katoro ni Kijiji kilichochangamka hakina Hadhi ya Mji kiserikali bado.Population size
Njombe town council( inaundwa na kata 13)= watu 182 127
Katoro (mji unaundwa na kata tatu, katoro 92 192, buseresere 53 456 na Ludete 106 768) = watu 252 416
REFERENCE: Tanzania population census 2022