Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 921
- 937
Barabara za mitaa zipo sema vumbi tu kama kawaida ya selikari kuwekwa lami hadi makelele na wanakusanya kodi za maana tu,ni kweli miji mingi haijapangiliwa ila sio kwa ujenzi wa mlundikano wa aina hii hata Barabara za mitaa ni shida shida hapo ni elimu