nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Ubarikiwe asee...Nenda Kuna fursa Ila msipende kukariri,kule Mbarali ni chimbo la zamani Lina competition,uliza Wasukuma wenzako wakupeleke kwenye machimbo Mapya Ruvuma,Katavi,Rukwa,Lindi na pengine Morogoro na Kigoma.
Yea katavi iko kwa hesabu zangu.