Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Blaaa blaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Onyesha hapa kampuni za Katoro-Dar ndio mjadala uendelee.

Mnatukuza wapi? Kahama na Mwanza? 🀣🀣
Bidhaa za Katoro hazifatwi Mwanza wala kahama, Katoro ni bandari kavu, maeneo yote jirani ikiwemo na GEITA TOWN wanafata bidhaa Katoro πŸ€—πŸ˜‚πŸ˜‚ usiichukulie Katoro too light πŸ€—πŸ€­
 
Blaaa blaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Onyesha hapa kampuni za Katoro-Dar ndio mjadala uendelee.

Mnatukuza wapi? Kahama na Mwanza? 🀣🀣
Migration ya watu kutoka lake zone kwenda Dar na migration ya watu kutoka nyanda za juu kusini kwenda Dar unazani wapi ni kubwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata Isaka ni Bandari Kavu ila sio town kushinda Kahama πŸ˜‚πŸ˜‚

Hicho ni Kijiji Cha Katoro kilichochangamka,hakuna kitu hapo
Katoro ndio Mji mkubwa kwa Geita DC, usilinganishe na vitu vya ajabu, makao makuu ya Geita DC hayawezi kuwekwa Katoro kwa sababu tu iko mpakani na wilaya ya Chato kwa sera za kijiografia na kusogeza huduma kwa wananchi ndio makao makuu yakapelekwa nzera
 
Hiyo gari zimechoka sana, utadhani Mogadishu bhana...
Wapi Katoro village town? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1757020324309151746?t=1eJwSSaCS-_9tnrQH4nt3g&s=19
 
Usichanganye
Sina takwimu lakini Kwa akili tuu ya kawaida huwezi Toka Pwani ukaenda Usukumani ambako kuna Ukame.

Mkoa Kwa Mkoa,Ubaruku-Dar πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1757020324309151746?t=1eJwSSaCS-_9tnrQH4nt3g&s=19

Wapi Katoro aka Katerero? 🀣🀣

Mwenye jukumu la kuweka data zenu ni nyie wa huko migodini.

Ubaruku-Njombe-Makete

View: https://x.com/Mbeya_Buses/status/1760627480409612564?t=YlMh3krHf01MtNZ78xhryg&s=19

Wewe ndio una bla bla nyingi, ebu weka vitu vinavyooneka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unaijua nguvu ya dhahabu wewe 🀸 yaani mtu atoke kwenye dhahabu aende Dar kufanya nini?πŸ€”πŸ€” au akauze mitumba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kula chuma hicho kwanza πŸ‘‡πŸ’₯ dhahabu inaongea
1727954801892.jpg
1727848435034.jpg
1727089569260.jpg
 
Bora liwepo moja ila linaloeleweka..

Gari imechoka utadhani inatoka Usinge to Kazulamimba kumbe ni ya kwenda makao makuu ya wilaya...

By the way, heka ya mpunga bei gani kukodi hapo Mbarali?
Huna pesa ya kuweza kukodi kule,wanalima Kwa irrigation na large scale farming.

Mimi siko Mbarali so Sina majibu ila mafahamu tuu kwamba kule competition ni kubwa sana kama huna hela.

Peleka moto peleka πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C_PtcZ6qDLQ/?igsh=MXVpcnlkbWtuOXp5OQ==
 
That's why population ya lake zone ni kubwa kwa sababu ya uwepo wa fursa nyingi sector ya madini,uvuvi na biashara soko lipo watu ni wengi
Yeah uko sahihi...

Huwezi kupata ashiki ya kulala na mkeo ili mzae kama una njaa kali...

Tunazaana kwasababu tuna uhakika wa kula leo na kesho...
 
Masoko ya dhahabu yamejengwa huku huku kwenye kila mji ulio na migodi ya dhahabu ko hakuna haja ya kwenda Dar au Nairobi kuuza dhahabu kama enzi hizo maana ilikuwa ni kuhujumu uchumi wa lake zone. Ko kwenda Dar safari zipo sawa but sio watu wengi kama unavyotegemea
Anayefanya shughuli za uvuvi nae hivyo hivyo hawezi kusafiri safiri na kuacha kusimamia shughuli zake
 
Soko kubwa linaloongoza Kwa Mauzo ya Dhahabu Tanzania ni Chunya ndio wengine mnafuata πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Thanks, ni kweli nina pesa ya kuunga ila tatembelea huko nipige jembe kidogo...

Maana ajira mumezimaliza ma kada...
Nenda Kuna fursa Ila msipende kukariri,kule Mbarali ni chimbo la zamani Lina competition,uliza Wasukuma wenzako wakupeleke kwenye machimbo Mapya Ruvuma,Katavi,Rukwa,Lindi na pengine Morogoro na Kigoma.
 
Back
Top Bottom