Kahama VS Njombe/Mafinga

Njombe na Utalii wa Mashamba kama Ulaya mwanangu πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/6KMfIMNCJZ0?si=c6pkVcRRGsdx3nnf
 
Weka data, mbona unaanza kutokwa na maneno tu πŸ€”
Data za nini Sasa kwenye vitu vinavyoeleweka
Nimegundua we jamaa bado Sana hata Serikali za mitaa hujui katoro Bado ni Kijiji kwanza tambua Hilo pili makambako ilishatoka huko toka 2012 now inaenda kwenye hadhi ya manispaa ndo maana hata ukifika makambako miundombinu tu utajua ni nini tunachoonge acha kukaa kwenye vijiji vya migodi na ukaanza kutuchanganyia mada hapa
 
Mji ni miundo mbinu makambako Ina km 30 za lami za mitaa hebu twambie hivyo vijiji vyako vina km ngapi nje na tanroad way
 
Attachments

  • 1720417877134~2.jpg
    50.5 KB · Views: 8
Visit njombe hapo ni katikati ya mji wa njombe na makambako watu wanawekeza maeneo ya starehe
 
Attachments

  • 100_9535.JPG
    65.9 KB · Views: 7
UNaijua kwel miji standard ww Sasa hapo miaka yote patabaki ni Kijiji zaidi zaidi kitazidi kuongezeka ukubwa mji mnarundikka majengo no Barabara Sasa ni mji huo au ni Kijiji
 
UNaijua kwel miji standard ww Sasa hapo miaka yote patabaki ni Kijiji zaidi zaidi kitazidi kuongezeka ukubwa mji mnarundikka majengo no Barabara Sasa ni mji huo au ni Kijiji
 
Unajua ilikuwaje kahama ikawa manispaa wakati ni wilaya, hicho ndicho kitatokea kwa katoro, kwa sasa bado ina status ya mji mdogo, na itakuwa manispaa hutaamini sababu inakua kwa kasi sana, angalia picha nilizopost 90% ni majengo mapya

HAHahaaaa we jamaaa unachekesha kumbuka kahama ilipewa hadhi ya mji mwaka 2012 na baadae ndo kupewa manispaa katoro Bado ni Kijiji tambua hilo
 
UNaijua kwel miji standard ww Sasa hapo miaka yote patabaki ni Kijiji zaidi zaidi kitazidi kuongezeka ukubwa mji mnarundikka majengo no Barabara Sasa ni mji huo au ni Kijiji
Miji yako yote hiyo ni old fashioned, nyumba za hivyo paa zote zina kutu that's why miji haina mvuto wowote, hata kama imepangwa tatizo linarudi ni nini kimepangwa.
Mji ni miundo mbinu makambako Ina km 30 za lami za mitaa hebu twambie hivyo vijiji vyako vina km ngapi nje na tanroad way
View attachment 3113835 View attachment 3113838View attachment 3113839
Mpaka useme enjoy the view Katoro CBD πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ’₯πŸ’₯
 
Hapo hakuna juhudi za government ni watu wameweka pesa, eti mtu anasema watu wamejazana ni maskini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huo unyama wamefanya kwa kutumia makaratasi ama πŸ€—πŸ€”πŸ˜…πŸ˜… wake up guys
 
HAHAha mji ni mpangilio Mzee mji ukiwa na mpangilio unaleta view nzuri na unakuwa smart kajifunze dodoma kwa nini wameupangilia ndo maana nilikwambia ww yanakuchanganya mapaa Sasa Kuna nn Cha ziada hapo huo ni uchafu tu kitabaki ni Kijiji. Miaka yote angalia majiji kama dodoma
 
Miji haijilundiki kama gulio lazima upangiliwe na muwe mnajifunza hata kwenye miji mingine hii inasaidia kutengeneza mji kuwa mkubwa zaidi lazima upangiliwe ndo maana watalaam wa mipango miji hutembelea miji mbalimbali kujifunza ko pesa lazima itumike na watu waelimishwe maana ya mji ni nini inatakiwa uwaje ko nyerere hakuwa mjinga kupima maeneo aliyo hisi itakuwa miji wakati wa ujenzi wa reli ya TAZARA matunda yake yanaonekana Sasa .sio kushindana kunyanyua mapaa unaona ndo mji angalia HiYo πŸ‘‡πŸ‘‡Lusaka Zambia πŸ‘‡πŸ‘‡
makambako πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Si unaona kuna vitu vya maana kabisa hapo na mijengo ya adabu, au unaona kutu hapo Dom πŸ€—πŸ˜‚ sasa ebu leta njombe na makambako tucheke
 
Hapo cha maana naona round about tu vingine ni uharo
 
Mpangilio wa miji TZ nzima ni tatizo, sizani kama mipango miji wanafanya kazi yao ipasavyo katika maeneo mengi, Ni dodoma pekee ndio itakuwa jiji lililopangwa vizuri hapa bongo, Dar, Arusha na Mwanza zina uharo mwingi tu hapo mbeya sijaitaja bado
 
ni kweli miji mingi haijapangiliwa ila sio kwa ujenzi wa mlundikano wa aina hii hata Barabara za mitaa ni shida shida hapo ni elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…