Kahama VS Njombe/Mafinga

ni kweli miji mingi haijapangiliwa ila sio kwa ujenzi wa mlundikano wa aina hii hata Barabara za mitaa ni shida shida hapo ni elimu
Barabara za mitaa zipo sema vumbi tu kama kawaida ya selikari kuwekwa lami hadi makelele na wanakusanya kodi za maana tu,
 
Barabara za mitaa zipo sema vumbi tu kama kawaida ya selikari kuwekwa lami hadi makelele na wanakusanya kodi za maana tu,

Ndo maana tulikwambia hapo bado ni Kijiji geita tc ndo inaweza ikaongea mji ni miundombinu tu si mapaa
 
Kupitia reli ya TAZARA mkoa wa njombe ulishapata SoMo toka enzi hizo kutoka Lusaka Zambia wakati bado ni wilaya ya iringa jinsi ya kutengeneza mji wa viwanda na biashara angalau Sasa mambo yameanza kuonekana na maandiko yaliandikwa ya kutosha kulingana walivojifunza kwenye nchi za jumuiya ya SADC angalau miundo mbinu imeanza kuoneka maana maeneo yalishatengwa toka miaka HiYo kujifunza hakuna mwisho
 
Hiyo
Picha ya pili ni Lusaka, uharo wa juu ndio Makambako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuwa na round -about sio kigezo cha kuwa mji wa maana πŸ€—πŸ€—
 
Ila nyie watu wa Lake zone mnatia aibu sana.

Mko wengi ila Sasa karibia wote maskini.Mfano idadi ya Magari yanayofanya safari za Dar-Njombe ni mengi kushinda Katoro&Geita combined.

Unajua Kwa nini?
 
Ila nyie watu wa Lake zone mnatia aibu sana.

Mko wengi ila Sasa karibia wote maskini.Mfano idadi ya Magari yanayofanya safari za Dar-Njombe ni mengi kushinda Katoro&Geita combined.

Unajua Kwa nini?
Katoro inakosa miundombinu muhimu ila panavutia sana asee...

Naiona Kahama ijayo hapo
 
Kwanini watu wanakimbilia Katoro na si Ubaruku mkuu?

Katoro kuna fursa nyingi na future nzuri.
Wewe ni mgonjwa sio Bure.Yaani umewahi ona wapi Mtu ahame kwenye pesa aje huko Vijijini kwenu?

Unaijua Mbarali(Ambako Kuna Ubaruku) na Mapato yake? Leta Mapato ya Geita DC ambako Kuna Katoro tulinganishe,soma namba hapo πŸ‘‡πŸ‘‡

Mbarali ndio Wilaya namba 2 Kwa Mapato Mkoa wa Mbeya baada ya Mbeya CC.

Mapato ya Mbarali ya miezi 3(July-Septemba) ndio Mapato ya Mwaka mzima ya Geita DC ambayo Katoro ipo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DAkqlw2tM4H/?igsh=MWFtMHlsZDd6NmZtag==
 
Kwanini Mbarali ten@?

Hapa ni Ubaruku vs Katoro mkuu...

Ubaruku ina future kama Katoro?
 
Ila nyie watu wa Lake zone mnatia aibu sana.

Mko wengi ila Sasa karibia wote maskini.Mfano idadi ya Magari yanayofanya safari za Dar-Njombe ni mengi kushinda Katoro&Geita combined.

Unajua Kwa nini?
Kuna mabasi ya Katoro - Dar yanaanza safari jioni moja kwa moja, harafu huku hatuitukuzi Dar kama nyie huko, huko nazani kila mtu wa njombe anandoto ya kwenda Dar πŸ€—πŸ€—but sio huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio maana tunajenga huku huku tuna kila kitu

Kitu kingine usichokijua Katoro ni kama Kariakoo kwa wholesalers, hapa ni kama bandari kavu
 
Blaaa blaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Onyesha hapa kampuni za Katoro-Dar ndio mjadala uendelee.

Mnatukuza wapi? Kahama na Mwanza? 🀣🀣
 
Leta data zote mbona unaanza kunipa kazi tena mimi, weka data zote na ulinganishe mwenyewe πŸ˜‚πŸ€—πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…