Kahama VS Njombe/Mafinga

TAZARA makambako
 

Attachments

  • FB_IMG_16689875994803583.jpg
    101 KB · Views: 1
Leta viwanda kama hivi Mzee ndo miji ya viwanda na biashara inavoenda duniani Cha kwanza miundombinu
 
Mji una Kila miundombinu dry port ambapo wanampango kujenga kubwa zaidi
 
Viwanda vyetu ni migodini, 🀣🀣 nyie wasipo wawekea viwanda mtakuwa jobless
Acha kujitetea tunavo kwambia mkoa wa njombe una fursa za kuzidi Mzee mtu hawez kosa Kaz uwe unaelewa ndo maana Kuna KAULI inasema njombe hata ukipanda kidole CHAKO kinaota madini yapo ya kutosha chuma , makaa ya mawe titanium, vanadium,ulanga ,Shaba nk huu Uzi ulipalamia kumbe hata mkoa wa njombe huu jui vizuri wenzio walisha nyosha mikonoHuo ni mlima wa chuma mzee
 

Attachments

  • FB_IMG_16766972201171737.jpg
    282.4 KB · Views: 1
Unaijua dhahabu wewe, unafahamu inaajiri watu kiasi gani πŸ₯Ί yaani tuna dhahabu, tuna ziwa lenye samaki wengi, tuna ardhi inayoivisha mpunga (hatuna njaa) pia nisisahau Ng'ombe tunao wa kutosha piaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.kiwanda kimoja kina ajiri watu wangapi, Geita pekee ina watu zaidi ya 3millon na hakuna migration ya watu kukimbilia kwenda Dar unazani ni kwa nini, fungua huo ubongo wako 🀭🀭🀭🀭
 
Hivi vitu huwezi kuvikuta huko πŸ‘‡
 
Au unamaanisha Geita hakuna fursa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€— na kama kuna fursa huko mbona daily vijana wanakimbilia Dar? That's why government inaanza kuwaletea viwanda mpate ajira huko huko njombe mpunguze kuhama kwenda Dar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huku kijana ukimuambia habari za kwenda Dar swali la kwanza atakalokuuliza ni " NiKAFANYE NINI" na sizani kama utaweza kulijibu πŸ€—πŸ€—
 
Unauliza viwanda, hivi apo viwanda vyetu huku πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Haw
Hahahaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ usijitete madini yenu wanafaidi wazungu mnaachiwa mashimo na vumbi
 
Endelea kujifariji Huku watu wanaonesha kuwa pesa Iko Wanaendelea kushusha mahotel makambako sio kutegemea migodi anayofaidi mzungu
 

Attachments

  • IMG_20241005_162922_347.jpg
    660.2 KB · Views: 1
Nimetoka kahama jana, ukiondoa mji kuchangamka kwa biashara ya kila namna ila miundombinu hasa barabara badooooo sana, afadhari shinyanga mjini pale mji ni msafi na barabara zake nzuri mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…