Kahama VS Njombe/Mafinga

Nimetoka kahama jana, ukiondoa mji kuchangamka kwa biashara ya kila namna ila miundombinu hasa barabara badooooo sana, afadhari shinyanga mjini pale mji ni msafi na barabara zake nzuri mno
Kahama ni gulio hakuna Mji pale 😁😁
 
Yaani nianze kuhangaika kupost viwanda vyote hivyo kimoja kimoja πŸ€” πŸ€” πŸ€” 🀭 πŸ€— acha wao wapost maana wanavyo vichache hata kumi havifiki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
"UTAJIRI WA WATU WA NJOMBE NI BALAA ,WATAJWA KUWA NA WATU WENYE KIPATO KIKUBWA 'TIC' YATOA BARAKA... - YouTube"
View: https://m.youtube.com/watch?v=pJ1WbKBJZJY&t=396s&pp=ygUKdGljIG5qb21iZQ%3D%3D
Huo utajiri ni wa watu wangapi πŸ€—πŸ€­πŸ€” na mbona hatuoni ushahidi wa kuonekana au utajiri wenu wa majini? Matajiri gani wanaishi kwenye vijumba vya hovyo hovyo migongo wa tembo na vimejaa kutu πŸ€”
Yaani wakitangazwa watu 10 njombe kuwa matajiri what about the majority πŸ€”
Kama government inge sign mikataba yenye tija kwa taifa na makampuni ya dhahabu huku Geita pekee ilikuwa inatosha kuendesha budget ya selikari, yaani budget ya selikari Trillion 30+ ni kipato cha kampuni moja la madini quarterly. Na selikari hawawezi kulizungumzia hilo
 
Sasa wewe humu zambia inafata nini? battle imekushinda unaanza kukopa inje ya nchi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lazima muwekewe viwanda vinavyoendana na upatikanaji wa raw materials, unataka Geita tuletewe pia viwanda vya parachichi ili vichakate niniπŸ˜‚πŸ˜‚ mapapai au !!
 
Yaani nianze kuhangaika kupost viwanda vyote hivyo kimoja kimoja πŸ€” πŸ€” πŸ€” 🀭 πŸ€— acha wao wapost maana wanavyo vichache hata kumi havifiki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haha eti hata kumi havi fiki tunavo sema industrial park inaonekana huelewi kitu
 
Lazima muwekewe viwanda vinavyoendana na upatikanaji wa raw materials, unataka Geita tuletewe pia viwanda vya parachichi ili vichakate niniπŸ˜‚πŸ˜‚ mapapai au !!
Ndo utambue makambako Ina viwanda vya aina nyingi sio kama huko kwenu Huku ndo home of raw material za Kila aina
Sasa wewe humu zambia inafata nini? battle imekushinda unaanza kukopa inje ya nchi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚u
 
Sasa wewe humu zambia inafata nini? battle imekushinda unaanza kukopa inje ya nchi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii ni case study tu isikuchanganye kichwa ndiko makambako inakoelekea Kaa kwa kutulia
 
Lazima muwekewe viwanda vinavyoendana na upatikanaji wa raw materials, unataka Geita tuletewe pia viwanda vya parachichi ili vichakate niniπŸ˜‚πŸ˜‚ mapapai au !!
Acha kujitetea leta vitu kama hivi viwanda vya ware mash na misumari
 
Hii ni case study tu isikuchanganye kichwa ndiko makambako inakoelekea Kaa kwa kutulia
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hizi ndoto za kuota mchana ni mbaya sana, kwanza kwenye miji ya kuvutia unaweza kuitaja Lusaka kweli!πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…