Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hata ujenzi wa makanisa si wa kubabaisha makambako
1709302843819.jpg
IMG_20241005_160823_425.jpg
 
Nimetoka kahama jana, ukiondoa mji kuchangamka kwa biashara ya kila namna ila miundombinu hasa barabara badooooo sana, afadhari shinyanga mjini pale mji ni msafi na barabara zake nzuri mno
Kahama ni gulio hakuna Mji pale 😁😁
 
Au umpostie viwanda tofauti na vya uchenjuaji madini. Mfano kahama kuna kiwanda chakutengeneza vipuli vya mitambo ya migodini, kiwanda cha bati, kiwanda cha maji, kiwanda cha vinywaji vikali(spirits),kiwanda cha vyombo vya plastic kama viti, kiwanda cha mabomba ya plastics hivyo kwa uchache hapo kuna vyakusindika nafaka kwenda nje kama mchele. Shinyanga mjini kuna viwanda vingi napo,JAMBO tu ana viwanda vya kuzalisha maji, juisi, soda,ice cream, pipi, biskuti, asali, bidhaa za ngano,media house kubwa nk pia yupo katika ujenzi wa kiwanda cha ngano. Viwanda vingine kuna cha bia(goldeburg&hanson lite),viwanda viwili vya vinywaji vikali vyenye brand kubwa kama hanson choice unaipata nchi nzima. Viwanda vya nyama viwili, viwanda vya vifungashio,kiwanda cha goroli, kiwanda cha kuzalisha mafuta yakupikia kutoka kwenye mabaki ya mchele, viwanda vya mafuta ya alizeti na pamba, viwanda vya kuchambua pamba na marobota,kiwanda cha mabati.Hivyo ni baadhi.
Yaani nianze kuhangaika kupost viwanda vyote hivyo kimoja kimoja 🤔 🤔 🤔 🤭 🤗 acha wao wapost maana wanavyo vichache hata kumi havifiki 😂😂😂😂
 
"UTAJIRI WA WATU WA NJOMBE NI BALAA ,WATAJWA KUWA NA WATU WENYE KIPATO KIKUBWA 'TIC' YATOA BARAKA... - YouTube"
View: https://m.youtube.com/watch?v=pJ1WbKBJZJY&t=396s&pp=ygUKdGljIG5qb21iZQ%3D%3D

Huo utajiri ni wa watu wangapi 🤗🤭🤔 na mbona hatuoni ushahidi wa kuonekana au utajiri wenu wa majini? Matajiri gani wanaishi kwenye vijumba vya hovyo hovyo migongo wa tembo na vimejaa kutu 🤔
Yaani wakitangazwa watu 10 njombe kuwa matajiri what about the majority 🤔
Kama government inge sign mikataba yenye tija kwa taifa na makampuni ya dhahabu huku Geita pekee ilikuwa inatosha kuendesha budget ya selikari, yaani budget ya selikari Trillion 30+ ni kipato cha kampuni moja la madini quarterly. Na selikari hawawezi kulizungumzia hilo
 
Ishini kwa kujifunza mji ili iweze kuwa wa biashara zaidi unahitaji viwanda bila hivyo ni gulio tu maana migodi ikifungwa hakuna Cha ziada mtaishia kuangalia mapaa yaliyochoka mashimo na vumbi hata dsm walishabadili mtazamo ndo maana uwekezaji wa viwanda pwani ni mkubwa angali , hii ni haya baadhi ya industrial park Lusaka zambia kinacho angaliwa ni availability of raw materialView attachment 3116481View attachment 3116482View attachment 3116483
Sasa wewe humu zambia inafata nini? battle imekushinda unaanza kukopa inje ya nchi 😂😂😂😂😂
 
Hahaha una shida wewe sema hamna raw material za viwanda zaidi ya dhahabu tu njombe sio level zenu ndo home kwa raw material ndo maana mkoa umeamua uwe na mji wa viwanda na biashara Hilo ni funzo toka kwa majilan zetu jinsi ilivyo wanufaisha copper na kutanua miji Yao makambako Ina kongani tatu ya viwanda au tunaita industrial park Kuna MSD industrial park Kuna zaidi ya viwanda vitano Kuna kongani nyingine ya viwanda vya parachichi vipo zaidi ya SITA na kuna kongani babukubwa ya viwanda vya chuma na kuassemble magari vyenye zaidi ya ekari 500 ujenzi unaendelea ko huu mziki huu wezi ndo maana tulikwambia mnavojenga mji mjitahidi kujifunza kwenye miji mingine iliyofanikiwa kiuwekezaji si Tanzania hata nchi za jilan jinsi walivo panga mji na fursa zilizowekezwa ko hapo sijagusa viwanda vya nguzo ,misumari ,bati ,plastic , plywood n.k acheni kushindana kunyanyua paa huo ni ushambaView attachment 3116464View attachment 3116465View attachment 3116466hapo ni vya parachichi na mpunga👇👇View attachment 3116467
Lazima muwekewe viwanda vinavyoendana na upatikanaji wa raw materials, unataka Geita tuletewe pia viwanda vya parachichi ili vichakate nini😂😂 mapapai au !!
 
Yaani nianze kuhangaika kupost viwanda vyote hivyo kimoja kimoja 🤔 🤔 🤔 🤭 🤗 acha wao wapost maana wanavyo vichache hata kumi havifiki 😂😂😂😂
Haha eti hata kumi havi fiki tunavo sema industrial park inaonekana huelewi kitu
 
Lazima muwekewe viwanda vinavyoendana na upatikanaji wa raw materials, unataka Geita tuletewe pia viwanda vya parachichi ili vichakate nini😂😂 mapapai au !!
Ndo utambue makambako Ina viwanda vya aina nyingi sio kama huko kwenu Huku ndo home of raw material za Kila aina
Sasa wewe humu zambia inafata nini? battle imekushinda unaanza kukopa inje ya nchi 😂😂😂😂😂u
 
Lazima muwekewe viwanda vinavyoendana na upatikanaji wa raw materials, unataka Geita tuletewe pia viwanda vya parachichi ili vichakate nini😂😂 mapapai au !!
Acha kujitetea leta vitu kama hivi viwanda vya ware mash na misumari
IMG_20240105_104603_675.jpg
 
Hii ni case study tu isikuchanganye kichwa ndiko makambako inakoelekea Kaa kwa kutulia
😂😂😂😂😂😂Hizi ndoto za kuota mchana ni mbaya sana, kwanza kwenye miji ya kuvutia unaweza kuitaja Lusaka kweli!🤔
 
Back
Top Bottom