Wenzenu wapo kwenye viwanda vya kuunda magari sio ku assembly nyie mnaongelea vya juice na mafuta ambayo vimejaa Kila Kona makambako now ni level nyingineJambo group pekee wanamiliki viwanda vya bidhaa tofauti zaidi ya 12,hapo bado kom group, fresho, gaki&East African spirits nawengineo kina dahong. Kumbuka nafasi ya viwanda kanda ya ziwa baada ya mwanza sasa vinaamia mkoa wa Shinyanga,ndipo viwanda vingi kwa kanda ya ziwa sasa vinawekwa.
Unajua jinsi ya upatikanaji wa hizi data na uhalisia wake tunaporudi kwenye kipato cha mtu mmoja mmoja ππ€Kati ya huu uzushi na NBS/BoT tumuamini nani? πππππView attachment 3117344View attachment 3117345
Kwa nini nisijue na Mimi ni Mchumi?Unajua jinsi ya upatikanaji wa hizi data na uhalisia wake tunaporudi kwenye kipato cha mtu mmoja mmoja ππ€
Shinyanga vs Kahama wapi Kuna CBD nzuri kabla ya NjombeHauoni kama kuna moja tukiiweka ni uozo CBD ya Shinyanga na Njombe ππ€£π€£π€£
Shinyanga View attachment 3117356View attachment 3117357
Njombe π π€£π€£π€£View attachment 3117358View attachment 3117360
, kwa sasa bado Shinyanga CBD ni nzuri kuliko kahama, Shinyanga ina barabara za lami kila kona, kahama saivi ndio wanajitafuta wanaweka lami na hata maghorofa ya kahama yapo mazuri kwa yametapakaa hayako sehemu moja ili kutengeneza view nzuri ndio maana kupata picha nzuri ya CBD kahama ni tizi. Nikitembelea kahama nitachukua picha niziweke humuShinyanga vs Kahama wapi Kuna CBD nzuri kabla ya Njombe
Haya kumbe tutaenda sawa, kiuhalisia mapato yatokanayo na madini (especially dhahabu na almas) kwa ukanda huu selikari huwa haipati mapato ya maana, wanafaidika zaidi wawekezaji kwa sababu ya mikata ya hovyo na janja njanja mwisho wa siku selikari inapata percentage ndogo. Na kinachoifikia selikari ndio kinakuwa counted kwenye pato la sehemu husika kutokana na hayo makusanyo. Ukiishi kwenye maeneo yenye machimbo ya dhahabu utaelewa vizuri haya mamboKwa nini nisijue na Mimi ni Mchumi?
Yaani pesa zaidi ya 90% haifiki kwa selikari inabaki kwa watu haijalishi ni kiuhalali au janja janja. Harafu inakuja kutolewa hesabu ya pato lisiloendana na uhalisia wa eneo especially Geita yenye dhahabu kila kona eti unakuta haiko top 3 kitaifa kwa mapato π€π€Haya kumbe tutaenda sawa, kiuhalisia mapato yatokanayo na madini (especially dhahabu na almas) kwa ukanda huu selikari huwa haipati mapato ya maana, wanafaidika zaidi wawekezaji kwa sababu ya mikata ya hovyo na janja njanja mwisho wa siku selikari inapata percentage ndogo. Na kinachoifikia selikari ndio kinakuwa counted kwenye pato la sehemu husika kutokana na hayo makusanyo. Ukiishi kwenye maeneo yenye machimbo ya dhahabu utaelewa vizuri haya mambo
Njombe na Kahama bado ni wale wale, hovyo sana mimi siwezi kupatia mji sifa usizostahiliShinyanga vs Kahama wapi Kuna CBD nzuri kabla ya Njombe
Kahama ndio hovyo ni sawa na Gulio achana na Njombe.Njombe na Kahama bado ni wale wale, hovyo sana mimi siwezi kupatia mji sifa usizostahili
KionesheKwahiyo hiki ulichopost kahama hakipoπ€π€£π€£π€£π€£ tatizo linaanzia hapa π
View attachment 3117726
Nani Huwa anakuja huko? ππRubondo island Geita (tourism sector)ππ₯π₯ untouched nature View attachment 3117789View attachment 3117790View attachment 3117791View attachment 3117792
Makelele mengi wakati bado mnatambaa, yaani selikari inapamba kupunguza uhamiaji haramu wa watu wa nyanda za juu kusini kwenda Dar π€ π€ π€£ π€£ naipongeza kwa hilo πππ"Tunataka Makambako iwe ya viwanda, kata ya Lyamkena kuna ujenzi wa kiwanda cha nondo ambacho kitakuwa na uwezo wa kuhudumia mikoa yote ya nyanda za juu kusini,licha ya hicho pia kuna kiwanda cha kuunda magari kitajengwa hapa Makambako na balozi kutoka china atakuwepo hapa oktoba 10,2024 kuangalia eneo ambalo mwekezaji atajenga kiwanda hicho"-
Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony Mtaka akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa wodi pacha (2 in1) kituo cha afya Lyamkena ambayo yemezinduliwa na Waziri wa Elimu,Sayansi na teknolojia Prof.Adolf Mkenda.
#IceFmHabari
#NisikilizeMimi
@makambakotc
Na @cleefmlelwah
Makelele mengi wakati bado mnatambaa, yaani selikari inapamba kupunguza uhamiaji haramu wa watu wa nyanda za juu kusini kwenda Dar π€ π€ π€£ π€£ naipongeza kwa hilo πππ
Baada ya hapo mpambane kuipita kigoma kwanza ndio tuanze kuwaweka kwenye ramani ya miji mizuri π€π€
Kwa ujumla nyanda za juu kusini bado hamna mji wa kuvutia na kuuweka kwenye battle na miji mingine angalau Iringa vilivyobaki ni vitongoji tu, vishindane na kigoma huko π€π€ππ€£
Huna jipya wewe endelea kufukua udongo kwenye ishu ya viwanda iachie miji iliyoandaliwa kwa kazi HiYo sio kuropokaMakelele mengi wakati bado mnatambaa, yaani selikari inapamba kupunguza uhamiaji haramu wa watu wa nyanda za juu kusini kwenda Dar π€ π€ π€£ π€£ naipongeza kwa hilo πππ
Baada ya hapo mpambane kuipita kigoma kwanza ndio tuanze kuwaweka kwenye ramani ya miji mizuri π€π€
Kwa ujumla nyanda za juu kusini bado hamna mji wa kuvutia na kuuweka kwenye battle na miji mingine angalau Iringa vilivyobaki ni vitongoji tu, vishindane na kigoma huko π€π€ππ€£
Makambako haina Cha kujifunza huko ndo maa tunapata SoMo Lusaka .Ambao ni miongoni MWA majiji yanayokuwa kwa mfumo wa viwanda na biasharaMakelele mengi wakati bado mnatambaa, yaani selikari inapamba kupunguza uhamiaji haramu wa watu wa nyanda za juu kusini kwenda Dar π€ π€ π€£ π€£ naipongeza kwa hilo πππ
Baada ya hapo mpambane kuipita kigoma kwanza ndio tuanze kuwaweka kwenye ramani ya miji mizuri π€π€
Kwa ujumla nyanda za juu kusini bado hamna mji wa kuvutia na kuuweka kwenye battle na miji mingine angalau Iringa vilivyobaki ni vitongoji tu, vishindane na kigoma huko π€π€ππ€£
Mna kila la kujifunza nyie kutoka kigoma huko π€ kazi yangu ni kuwafungua macho muone mko level gani msijikweze kwenye level ambazo bado hamjafika, kama kigoma tu bado hamna mji wa kuishinda huko kujisifia kunatoka wapiπ€ππMakambako haina Cha kujifunza huko ndo maa tunapata SoMo Lusaka .Ambao ni miongoni MWA majiji yanayokuwa kwa mfumo wa viwanda na biashara View attachment 3118681View attachment 3118682