"Tunataka Makambako iwe ya viwanda, kata ya Lyamkena kuna ujenzi wa kiwanda cha nondo ambacho kitakuwa na uwezo wa kuhudumia mikoa yote ya nyanda za juu kusini,licha ya hicho pia kuna kiwanda cha kuunda magari kitajengwa hapa Makambako na balozi kutoka china atakuwepo hapa oktoba 10,2024 kuangalia eneo ambalo mwekezaji atajenga kiwanda hicho"-
Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony Mtaka akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa wodi pacha (2 in1) kituo cha afya Lyamkena ambayo yemezinduliwa na Waziri wa Elimu,Sayansi na teknolojia Prof.Adolf Mkenda.
#IceFmHabari
#NisikilizeMimi
@makambakotc
Na @cleefmlelwah