Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Jambo group pekee wanamiliki viwanda vya bidhaa tofauti zaidi ya 12,hapo bado kom group, fresho, gaki&East African spirits nawengineo kina dahong. Kumbuka nafasi ya viwanda kanda ya ziwa baada ya mwanza sasa vinaamia mkoa wa Shinyanga,ndipo viwanda vingi kwa kanda ya ziwa sasa vinawekwa.
Wenzenu wapo kwenye viwanda vya kuunda magari sio ku assembly nyie mnaongelea vya juice na mafuta ambayo vimejaa Kila Kona makambako now ni level nyingine
IMG-20241007-WA0009.jpg
GBE5L6VWwAAfQHv.jpg
 
Shinyanga vs Kahama wapi Kuna CBD nzuri kabla ya Njombe
, kwa sasa bado Shinyanga CBD ni nzuri kuliko kahama, Shinyanga ina barabara za lami kila kona, kahama saivi ndio wanajitafuta wanaweka lami na hata maghorofa ya kahama yapo mazuri kwa yametapakaa hayako sehemu moja ili kutengeneza view nzuri ndio maana kupata picha nzuri ya CBD kahama ni tizi. Nikitembelea kahama nitachukua picha niziweke humu
 
Kwa nini nisijue na Mimi ni Mchumi?
Haya kumbe tutaenda sawa, kiuhalisia mapato yatokanayo na madini (especially dhahabu na almas) kwa ukanda huu selikari huwa haipati mapato ya maana, wanafaidika zaidi wawekezaji kwa sababu ya mikata ya hovyo na janja njanja mwisho wa siku selikari inapata percentage ndogo. Na kinachoifikia selikari ndio kinakuwa counted kwenye pato la sehemu husika kutokana na hayo makusanyo. Ukiishi kwenye maeneo yenye machimbo ya dhahabu utaelewa vizuri haya mambo
 
Yaani pesa zaidi ya 90% haifiki kwa selikari inabaki kwa watu haijalishi ni kiuhalali au janja janja. Harafu inakuja kutolewa hesabu ya pato lisiloendana na uhalisia wa eneo especially Geita yenye dhahabu kila kona eti unakuta haiko top 3 kitaifa kwa mapato 🤔🤔
Yaani ,GGM peeke wanaingiza pesa zaidi ya mara mbili ya budget ya selikari ndani ya miezi sita, na hautazikuta data sehemu yoyote ile.
Niaibu kwa taifa kutokupata pato la maana kwenye madini yenye thamani kama dhahabu
 
Kwahiyo hiki ulichopost kahama hakipo🤭🤣🤣🤣🤣 tatizo linaanzia hapa 👇
images (14).jpeg
 
"Tunataka Makambako iwe ya viwanda, kata ya Lyamkena kuna ujenzi wa kiwanda cha nondo ambacho kitakuwa na uwezo wa kuhudumia mikoa yote ya nyanda za juu kusini,licha ya hicho pia kuna kiwanda cha kuunda magari kitajengwa hapa Makambako na balozi kutoka china atakuwepo hapa oktoba 10,2024 kuangalia eneo ambalo mwekezaji atajenga kiwanda hicho"-

Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony Mtaka akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa wodi pacha (2 in1) kituo cha afya Lyamkena ambayo yemezinduliwa na Waziri wa Elimu,Sayansi na teknolojia Prof.Adolf Mkenda.

#IceFmHabari
#NisikilizeMimi
@makambakotc
Na @cleefmlelwah
 
Makelele mengi wakati bado mnatambaa, yaani selikari inapamba kupunguza uhamiaji haramu wa watu wa nyanda za juu kusini kwenda Dar 🤗 🤗 🤣 🤣 naipongeza kwa hilo 👏👏👏
Baada ya hapo mpambane kuipita kigoma kwanza ndio tuanze kuwaweka kwenye ramani ya miji mizuri 🤗🤗
Kwa ujumla nyanda za juu kusini bado hamna mji wa kuvutia na kuuweka kwenye battle na miji mingine angalau Iringa vilivyobaki ni vitongoji tu, vishindane na kigoma huko 🤭🤭😂🤣
 
Huna jipya wewe endelea kufukua udongo kwenye ishu ya viwanda iachie miji iliyoandaliwa kwa kazi HiYo sio kuropoka
1702003519700~3.jpg
 
Makelele mengi wakati bado mnatambaa, yaani selikari inapamba kupunguza uhamiaji haramu wa watu wa nyanda za juu kusini kwenda Dar 🤗 🤗 🤣 🤣 naipongeza kwa hilo 👏👏👏
Baada ya hapo mpambane kuipita kigoma kwanza ndio tuanze kuwaweka kwenye ramani ya miji mizuri 🤗🤗
Kwa ujumla nyanda za juu kusini bado hamna mji wa kuvutia na kuuweka kwenye battle na miji mingine angalau Iringa vilivyobaki ni vitongoji tu, vishindane na kigoma huko 🤭🤭😂🤣
Makambako haina Cha kujifunza huko ndo maa tunapata SoMo Lusaka .Ambao ni miongoni MWA majiji yanayokuwa kwa mfumo wa viwanda na biashara
WhatsApp Image 2024-07-29 at 13.31.30 (1).jpeg
1711350929867.jpg
 
Makambako haina Cha kujifunza huko ndo maa tunapata SoMo Lusaka .Ambao ni miongoni MWA majiji yanayokuwa kwa mfumo wa viwanda na biashara View attachment 3118681View attachment 3118682
Mna kila la kujifunza nyie kutoka kigoma huko 🤗 kazi yangu ni kuwafungua macho muone mko level gani msijikweze kwenye level ambazo bado hamjafika, kama kigoma tu bado hamna mji wa kuishinda huko kujisifia kunatoka wapi🤗😂😂
 
Back
Top Bottom