Mambo yameanza kukaa sawa viwanda sita vimeanza kunyanyuka kwa pamoja moja ya kongani kubwa ya viwanda Africa mashariki na kati
Punguza sifa,kongani kubwa ni sino tan KibahaMambo yameanza kukaa sawa viwanda sita vimeanza kunyanyuka kwa pamoja moja ya kongani kubwa ya viwanda Africa mashariki na kati
Ni sahihi nilikuwa namaanisha ya upande wa chuma sino inaeleweka Ina zaidi ya viwanda 200 eneo ekari 2000 I ingawa nahawa nao eneo ni kubwa Sana eneo ambalo tayari wamesha safisha na kujenga Barabara ni ekari 500 na bado Wanaendelea kutanua eneo sijajua saiz wamefikisha ekari ngapiPunguza sifa,kongani kubwa ni sino tan Kibaha
Nakazia ππNi sahihi nilikuwa namaanisha ya upande wa chuma sino inaeleweka Ina zaidi ya viwanda 200 eneo ekari 2000 I ingawa nahawa nao eneo ni kubwa Sana eneo ambalo tayari wamesha safisha na kujenga Barabara ni ekari 500 na bado Wanaendelea kutanua eneo sijajua saiz wamefikisha ekari ngapiView attachment 3123329