Na uzuri Mimi Kila wiki napita kwenye hii miji ko naijua vilivyo sio kwa story huu Uzi unahitaji fact sio story za mitaani ko watu tunayajua kama njaa haya maeneo ko tunachoongea tunauelewa nacho sio storyMim naongea k2 nacho kifahamu makambako imezidiwa na mafinga amin maneno yangu makambako nmekaa mafinga nmekaa najuwa k2 nacho ongea
Ujatembea mafinga mzee unaongea k2 ambacho ukjui mafinga next levelHAHaha we jamaa unachekesha et mafinga na makambako kubwa mafinga labda wajenge hata ule upande wa jeshi na Sao hili kidogo ndo wanaweza kuisogelea makambako mafinga mji upo upande mmoja unaenda isalavanu makambako inasambaa MJOMBA karudie tena kutembea unachekesha uma MJOMBA hata data zinakukataaView attachment 3158611View attachment 3158609
Kuanzisha miradi tu ujue Hilo eneo ni tayari Lina umuhimu ko ni fursaWew unazungumzia mirad ukienda chato kwa magu kuna mirad mikubwa sana mirad sio kigezo cha kusema makambako ipo juu bado sana mkuu
NA ujue kupitia huu mji WA viwandaMim naongea k2 nacho kifahamu makambako imezidiwa na mafinga amin maneno yangu makambako nmekaa mafinga nmekaa najuwa k2 nacho ongea
Hayo ni Mawazo yako sisi tuna deal na takwimu sio maneno ya kujifariji ili Hali mnapigwa gap leta fact hapa si maneo ya mtaani na utambue item of population mafinga ni ya mwisho nyanda za juu kUsini KATIKA miji mtaani yasiyo na fact Yani iringa usicho kijua wenzenu MKOA WA njombe wapo busy Wana create mji WA viwanda na biashara na centre ni makambako ko utambue Hilo iringa mkazane na utalii tu ko Kaa kwa kutulia project zinaendelea utafyata mkia tuUjatembea mafinga mzee unaongea k2 ambacho ukjui mafinga next level
1)Iringa mjin
2) njombe mjin
3)mafinga
4)makambako inashika mkia
Ujatembea mafinga mzee unaongea k2 ambacho ukjui mafinga next level
1)Iringa mjin
2) njombe mjin
3)mafinga
4)makambako inashika mkia
Ujatembea mafinga mzee unaongea k2 ambacho ukjui mafinga next level
1)Iringa mjin
2) njombe mjin
3)mafinga
4)makambako inashika mkia
Ujatembea mafinga mzee unaongea k2 ambacho ukjui mafinga next level
1)Iringa mjin
2) njombe mjin
3)mafinga
4)makambako inashika mkia
Makambako Ina mitaa 54 mafinga Ina mitaa mingapi karibia nusu nzima mmeachwa unatuletea stori za mitaani hapa na kupitia plan ya njombe kuligeuza eneo hili kuwa mji wa viwanda na biashara gap linaenda kuwa kubwa mno eneo hili makazi yanaenda kushikana ndo maana tulikwambia hii mikoa inafahamika na fursa zilizopo zinaeleweka mfano iringa miji yake ni midogo midogo hii kutokana jiografia yake ya milima ukienda mafinga imeathiriwa na mmsitu wa Sao hili na eneo la jeshi na magereza maana eneo lililo jengeka mafinga ni kutoka changalawe hadi kinyanambo c km 14 tena kuelekea isalavanu na luganga imejengeka kidogo eneo la halmashauri na jeshini hadi kwa wachina na lumwago kwa mkoa wa njombe ni sawa na sub town ya kipagamo kuanzia jeshini hadi njiapanda ya mgololo idofi jinsi panavojengeka patakuwa sawa na Mafinga panatanika kuelekea saja na mlowa ndo maana tulisema unavolinganisha sehemu jaribu kuzunguka maeneo husika na kusoma maandiko yalisha fafanua toka njombe ipo mkoa wa iringaUjatembea mafinga mzee unaongea k2 ambacho ukjui mafinga next level
1)Iringa mjin
2) njombe mjin
3)mafinga
4)makambako inashika mkia
| Tarafa | Kata | Vijiji | Mitaa | Vitongoji |
| Ifwagi | Boma | 0 | 6 | 0 |
| Wambi | 0 | 4 | 0 | |
| Kinyanambo | 0 | 5 | 0 | |
| Upendo | 0 | 5 | 0 | |
| Saohill | 0 | 5 | 0 | |
| Changarawe | 0 | 5 | 0 | |
| Rungemba | 3 | 0 | 13 | |
| Jumla Ndogo | 11 | 20 | 49 | |
| Sadani | Isalavanu | 4 | 0 | 16 |
| Malangali | Bumilayinga | 4 | 0 | 20 |
| Jumla Kuu | 11 | 30 | 49 |
Baada ya kulalamika Muda mrefu hatimaye iringa manispaa nayo wamewafungia taa ikiwa njombe karibia sub town zote zinataa za kuongozea magariUjatembea mafinga mzee unaongea k2 ambacho ukjui mafinga next level
1)Iringa mjin
2) njombe mjin
3)mafinga
4)makambako inashika mkia
Unatuumiza macho post picha vizuriKuanzisha miradi tu ujue Hilo eneo ni tayari Lina umuhimu ko ni fursa
NA ujue kupitia huu mji WA viwanda
Mbeya kunazidi kunoga vyuma vinashuka
View attachment 3159284