Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbona unatapatapa sana 🀭 πŸ˜‚ πŸ€— naweka reality na ushahidi juu harafu unakuja na Hadith za mtaani then unataka nikuelewe, na wewe tembelea Geita,
 
Mbona unatapatapa sana 🀭 πŸ˜‚ πŸ€— naweka reality na ushahidi juu harafu unakuja na Hadith za mtaani then unataka nikuelewe, na wewe tembelea Geita,
Geita ilishatembelewa sio ww ambae Muda wote upo kwenye Google map tembelea eneo husika ndo unaweza fanya judgement
 
Kazi zinaendelea sub town zote zinangaa kwa lami around makambako πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡MBUNGE wa Jimbo la Lupembe wilayani Njombe, Edwin Swalle ametembelea mradi wa barabara kiwango cha lami kilometa moja inayoelekea kituo cha afya Mtwango na kumuagiza Mkandarasi wa Kampuni HKS Laboratory Civil and Building Contractors Ltd kukamilisha kwa wakati ili iweze kuhudumia wananchi.

#NipasheMwangaWaJamii #NipasheDigital
 
Njombe mkoa mzima una miji miwili, na vijiji vidogo vidogo kama Wanging'ombe
Tembelea siku ndo UTAELEWAmaana hata tulikwambia tarafa tatu makazi yanaungana hutoelewa tarafa ya makambako ,tarafa ya mdandu na tarafa ya wangingombe zenye jumla ya kata 33 majengo zaidi ya lakimoja Wacha mkoa wa njombe utengeneze uwe mji mmoja wa viwanda na biashara mbelen tutaelewana , hii ni igwachanyaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ilembulaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡MtwangoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Makambako uelekeo wa saja km30Makambako uelekeo wa ilembula na igwachanya via ikwete na via mbeya road km 30 kwa 45πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Makambako uelekeo wa kitandililo na mlowa km 30πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mkoa wa njombe wapo kikazi hili eneo litasheheni viwanda Makambako to igwachanya via mtwango na itulahumba km 45 full lami
 
Hivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?
 
Hivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?
Hiyo plan haijaanza Leo ni toka kipindi inajengwa reli ya TAZARA ko plan ndo ilianzia hapo kutokana na jiografia ko Mkoa wa NJOMBE unachokifanya Sasa ni kutekeleza kwa vitendo na kukamilisha baadhi ya miundo mbinu mingine inajengwa Serikali kuu Hilo lilishakuepo Mzee KInachofanyika kwa Sasa ni kuleta wawekezaji kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…