Makambako mitaa mingi imepangwa leta geita yako hapa au katoro yakoHapo CBD ndio palipopangwa kwingine ni uharo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makambako mitaa mingi imepangwa leta geita yako hapa au katoro yakoHapo CBD ndio palipopangwa kwingine ni uharo
Mbona unatapatapa sana 🤭 😂 🤗 naweka reality na ushahidi juu harafu unakuja na Hadith za mtaani then unataka nikuelewe, na wewe tembelea Geita,Ndo maana tumekwambia jiografia ya njombe huijui Na mkoa umekaaje huijui unaishia kuangalia kwenye Google map siku tembelea ndo utajua kwanini wenzio walianzisha na Uzi wa geita kuachwa mbali na njombe hata tukikuelezea Sana huwezi elewa fika eneo husika ndo utajua
Geita ilishatembelewa sio ww ambae Muda wote upo kwenye Google map tembelea eneo husika ndo unaweza fanya judgementMbona unatapatapa sana 🤭 😂 🤗 naweka reality na ushahidi juu harafu unakuja na Hadith za mtaani then unataka nikuelewe, na wewe tembelea Geita,
Njombe mkoa mzima una miji miwili, na vijiji vidogo vidogo kama Wanging'ombeGeita ilishatembelewa sio ww ambae Muda wote upo kwenye Google map tembelea eneo husika ndo unaweza fanya judgement
Tembelea siku ndo UTAELEWAmaana hata tulikwambia tarafa tatu makazi yanaungana hutoelewa tarafa ya makambako ,tarafa ya mdandu na tarafa ya wangingombe zenye jumla ya kata 33 majengo zaidi ya lakimoja Wacha mkoa wa njombe utengeneze uwe mji mmoja wa viwanda na biashara mbelen tutaelewana , hii ni igwachanya👇👇👇👇Njombe mkoa mzima una miji miwili, na vijiji vidogo vidogo kama Wanging'ombe
Imepangwa wapi ni uharo tupu, ngoja nikuonyeshe miji ilivyopangwa ujifunze 👇 Kasulu 👇Makambako mitaa mingi imepangwa leta geita yako hapa au katoro yako
Imepangwa wapi ni uharo tupu, ngoja nikuonyeshe miji ilivyopangwa ujifunze 👇 Kasulu 👇View attachment 3187290View attachment 3187291
Hivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya 😂😂😂😂😂 na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?Tembelea siku ndo UTAELEWAmaana hata tulikwambia tarafa tatu makazi yanaungana hutoelewa tarafa ya makambako ,tarafa ya mdandu na tarafa ya wangingombe zenye jumla ya kata 33 majengo zaidi ya lakimoja Wacha mkoa wa njombe utengeneze uwe mji mmoja wa viwanda na biashara mbelen tutaelewana , hii ni igwachanya👇👇👇👇View attachment 3187438View attachment 3187401View attachment 3187398ilembula👇👇👇View attachment 3187444View attachment 3187445View attachment 3187403View attachment 3187407View attachment 3187411Mtwango👇👇👇View attachment 3187413View attachment 3187414Makambako uelekeo wa saja km30View attachment 3187415Makambako uelekeo wa ilembula na igwachanya via ikwete na via mbeya road km 30 kwa 45👇👇👇View attachment 3187420View attachment 3187416Makambako uelekeo wa kitandililo na mlowa km 30👇👇👇👇View attachment 3187417View attachment 3187418
Nakupa mfano wa miji iliyopangwa utoe hayo matongotongo yanayokufanya uone makambako imepangwa 🤔LETa UHalo wa katoro mbona unakimbilia kasulu ukanda wa magharibi au hujui Kanda ziwa mji uliopangika ni shinyanga mc
LEta katoro na geita tuoneNakupa mfano wa miji iliyopangwa utoe hayo matongotongo yanayokufanya uone makambako imepangwa 🤔
Hiyo plan haijaanza Leo ni toka kipindi inajengwa reli ya TAZARA ko plan ndo ilianzia hapo kutokana na jiografia ko Mkoa wa NJOMBE unachokifanya Sasa ni kutekeleza kwa vitendo na kukamilisha baadhi ya miundo mbinu mingine inajengwa Serikali kuu Hilo lilishakuepo Mzee KInachofanyika kwa Sasa ni kuleta wawekezaji kazi iendeleeHivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya 😂😂😂😂😂 na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?