Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Ndo maana tumekwambia jiografia ya njombe huijui Na mkoa umekaaje huijui unaishia kuangalia kwenye Google map siku tembelea ndo utajua kwanini wenzio walianzisha na Uzi wa geita kuachwa mbali na njombe hata tukikuelezea Sana huwezi elewa fika eneo husika ndo utajua
Mbona unatapatapa sana 🤭 😂 🤗 naweka reality na ushahidi juu harafu unakuja na Hadith za mtaani then unataka nikuelewe, na wewe tembelea Geita,
 
Mbona unatapatapa sana 🤭 😂 🤗 naweka reality na ushahidi juu harafu unakuja na Hadith za mtaani then unataka nikuelewe, na wewe tembelea Geita,
Geita ilishatembelewa sio ww ambae Muda wote upo kwenye Google map tembelea eneo husika ndo unaweza fanya judgement
 
Kazi zinaendelea sub town zote zinangaa kwa lami around makambako 👇👇👇👇👇👇👇MBUNGE wa Jimbo la Lupembe wilayani Njombe, Edwin Swalle ametembelea mradi wa barabara kiwango cha lami kilometa moja inayoelekea kituo cha afya Mtwango na kumuagiza Mkandarasi wa Kampuni HKS Laboratory Civil and Building Contractors Ltd kukamilisha kwa wakati ili iweze kuhudumia wananchi.

#NipasheMwangaWaJamii #NipasheDigital
1735400858363.jpg
152718.jpg
 
Njombe mkoa mzima una miji miwili, na vijiji vidogo vidogo kama Wanging'ombe
Tembelea siku ndo UTAELEWAmaana hata tulikwambia tarafa tatu makazi yanaungana hutoelewa tarafa ya makambako ,tarafa ya mdandu na tarafa ya wangingombe zenye jumla ya kata 33 majengo zaidi ya lakimoja Wacha mkoa wa njombe utengeneze uwe mji mmoja wa viwanda na biashara mbelen tutaelewana , hii ni igwachanya👇👇👇👇
1735445592225.jpg
FB_IMG_16692513695829666.jpg
1690520032890.jpg
ilembula👇👇👇
1735445209874.jpg
1735445243686.jpg
FB_IMG_16798543723498106.jpg
1710740067084.jpg
IMG_20230903_104741_526.jpg
Mtwango👇👇👇
1711163087203.jpg
1717158856992.jpg
Makambako uelekeo wa saja km30
1734318131514.jpg
Makambako uelekeo wa ilembula na igwachanya via ikwete na via mbeya road km 30 kwa 45👇👇👇
FB_IMG_16765233945547874.jpg
1733552986332~2.jpg
Makambako uelekeo wa kitandililo na mlowa km 30👇👇👇👇
1733714867498.jpg
FB_IMG_16706111910940664~2.jpg
 
Mkoa wa njombe wapo kikazi hili eneo litasheheni viwanda Makambako to igwachanya via mtwango na itulahumba km 45 full lami
1724032224487.jpg
1735445623721.jpg
 
Tembelea siku ndo UTAELEWAmaana hata tulikwambia tarafa tatu makazi yanaungana hutoelewa tarafa ya makambako ,tarafa ya mdandu na tarafa ya wangingombe zenye jumla ya kata 33 majengo zaidi ya lakimoja Wacha mkoa wa njombe utengeneze uwe mji mmoja wa viwanda na biashara mbelen tutaelewana , hii ni igwachanya👇👇👇👇View attachment 3187438View attachment 3187401View attachment 3187398ilembula👇👇👇View attachment 3187444View attachment 3187445View attachment 3187403View attachment 3187407View attachment 3187411Mtwango👇👇👇View attachment 3187413View attachment 3187414Makambako uelekeo wa saja km30View attachment 3187415Makambako uelekeo wa ilembula na igwachanya via ikwete na via mbeya road km 30 kwa 45👇👇👇View attachment 3187420View attachment 3187416Makambako uelekeo wa kitandililo na mlowa km 30👇👇👇👇View attachment 3187417View attachment 3187418
Hivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya 😂😂😂😂😂 na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?
 
Hivyo vimiji vyote hakuna chenye majengo zaidi ya 6000 halafu unaota ndoto ya kuunda Mega town, au hiyo linear settlement inakuchanganya 😂😂😂😂😂 na hiyo population ya kuchochea ukuaji wa haraka ikowapi?
Hiyo plan haijaanza Leo ni toka kipindi inajengwa reli ya TAZARA ko plan ndo ilianzia hapo kutokana na jiografia ko Mkoa wa NJOMBE unachokifanya Sasa ni kutekeleza kwa vitendo na kukamilisha baadhi ya miundo mbinu mingine inajengwa Serikali kuu Hilo lilishakuepo Mzee KInachofanyika kwa Sasa ni kuleta wawekezaji kazi iendelee
1733107694902.jpg
1729580715634.jpg
 
Back
Top Bottom