Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Labda Mbeya ufananishe na Dom!ila sio Mby N Rock city
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu sio wilaya zote mkuu,Tunduma unakufahamu?
😆😆😆😆 Mkuu unachelewa fursa.Tunduma ni mji wa mpakani mwa Tzn na Zambia mkoa wa Songwe uliotoholewa Mbeya.Mjio huo ni lango kuu la nchi za SADC au kusini ya Afrika kuingia na kutoka Tzn/East Africa.Na upo barabara kuu ya Tanzania Zambia almaarufu TANZAM roadHuko sikufahamu mkuu. Ebu Nidadavue kidogo.
Nilikuwa nachangamsha jukwaa tu boss,Mwanza ni kubwa twice ya Mbeya na pia Dom iko mbali sana kwa Mbeya ila nilikuwa najaribu kuonesha kwamba iko kwenye right traki tofauti na zamani pesa ilikuwa ya msimu pale mbeyaLabda Mbeya ufananishe na Dom!ila sio Mby N Rock city
Ukimkosa Istanbul kwenye mada za kanda ya ziwa ujue kavuta kamba 🤭🤭🤭🤭Kahama
😆😆😆😆 Mkuu unachelewa fursa.Tunduma ni mji wa mpakani mwa Tzn na Zambia mkoa wa Songwe uliotoholewa Mbeya.Mjio huo ni lango kuu la nchi za SADC au kusini ya Afrika kuingia na kutoka Tzn/East Africa.Na upo barabara kuu ya Tanzania Zambia almaarufu TANZAM road
Sasa malori yote yanayosafirisha cargo kutoka Dar kwenda DRC Zambia Zimbabwe South Africa etc yakitoka Dar kambi yao ni Tunduma kusubili clearance.Kuna yard na parking za kutosha za magari ya IT nk.Pia biashara za kuvuka mpaka ndio zinaratibiwa hapa yaani kwa mzunguko wa pesa Songwe na Mbeya na nchi zinategemea sana mapato hapa Tunduma
So mji uko busy na umechangamka sana kwa biashara mbalimbali lakini kuu ni logistics
We mkuu kweli unaleta ushabiki!Mbeya tu inawatoa knock out
Mwanza Kuna miundombinu gani inazidi Arusha,Mbeya au Dodoma?We mkuu kweli unaleta ushabiki!
nchi hii ilipaswa iwe na majiji mawili tu
Dar es saalam na Mwanza.
Ayo majiji 4/ yaliyobakia tume ya force tu kama nchi. Lakini miundo mbinu yake ni ovyo kabisa
Kahama sijui kwanini awakufanya kuwa Mkoa.Angalia idadi ya banks na matawi yake
Huyo anaesema kahama iko juu kuliko njombe apimwe akili. Unafananishaje mkoa na wilaya?Njombe kunafrsa nyingi xana..Wiraya ya ludewa kuna makaa ya mawe ,madin nk bad haijachimbwa....Lupembe mbao ,chai vilevile kuna kiwanda cha chai ,kilimo cha nanasi ,mihogo ,palachich nk, Njombe yenyewe kuna viwanda vya mbao,nguzo ,biashara zinakimbia hatari ata usipofanya kazi utakula tu njombe wanakuita half londan.....
Wanazungumzia shinyanga au kahamaMbona Shinyanga mjini ni makao makuu ya mkoa lakini Kahama iko speed kuliko shy town?
Kuna mdau nilikuwa namkoti nika miss outWanazungumzia shinyanga au kahama
Unaenda off-topic
Hakuna vigezo zaidi ya vurugu za manamba wa migodini na hivyo kaskazini kuna Geita,magharibi Chato is loading,mashariki simiyu kati ndio Shinyanga hakuna namna itakuwa mkoa labda manispaa unlesa walazimishe kuimega tabora ili Kahama iwe na Nzega na Igunga jambo ambalo ni gumu sana kwa jigrafia hiyoKahama sijui kwanini awakufanya kuwa Mkoa.
Ukilinganisha na Mafinga, Kahama kuna bank nyingi zaidiKama ni banks zipo za kutosha kila mji