Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Huko sikufahamu mkuu. Ebu Nidadavue kidogo.
😆😆😆😆 Mkuu unachelewa fursa.Tunduma ni mji wa mpakani mwa Tzn na Zambia mkoa wa Songwe uliotoholewa Mbeya.Mjio huo ni lango kuu la nchi za SADC au kusini ya Afrika kuingia na kutoka Tzn/East Africa.Na upo barabara kuu ya Tanzania Zambia almaarufu TANZAM road
Sasa malori yote yanayosafirisha cargo kutoka Dar kwenda DRC Zambia Zimbabwe South Africa etc yakitoka Dar kambi yao ni Tunduma kusubili clearance.Kuna yard na parking za kutosha za magari ya IT nk.Pia biashara za kuvuka mpaka ndio zinaratibiwa hapa yaani kwa mzunguko wa pesa Songwe na Mbeya na nchi zinategemea sana mapato hapa Tunduma
So mji uko busy na umechangamka sana kwa biashara mbalimbali lakini kuu ni logistics
 
Ahsante mkuu, Allah akipenda nitaenda kutembelea huko 🙂
 
We mkuu kweli unaleta ushabiki!

nchi hii ilipaswa iwe na majiji mawili tu

Dar es saalam na Mwanza.

Ayo majiji 4/ yaliyobakia tume ya force tu kama nchi. Lakini miundo mbinu yake ni ovyo kabisa
Mwanza Kuna miundombinu gani inazidi Arusha,Mbeya au Dodoma?
 
Hebu acheni kulinganisha njombe mkoa na vitu vya ajabu ajabu. Takwimu za kiuchumi zinaonesha njombe ya 3 harafu ulinganishe na kiwilaya sijui cha wapi huko. Kwenye takwimu za kiuchumi kilikuwa cha ngapi na je watu wake wapoje kimaendeleo. Kahama ingekuwa ipo vizuri ingekuwa mkoa basi
 
Njombe kunafrsa nyingi xana..Wiraya ya ludewa kuna makaa ya mawe ,madin nk bad haijachimbwa....Lupembe mbao ,chai vilevile kuna kiwanda cha chai ,kilimo cha nanasi ,mihogo ,palachich nk, Njombe yenyewe kuna viwanda vya mbao,nguzo ,biashara zinakimbia hatari ata usipofanya kazi utakula tu njombe wanakuita half londan.....
 
Huyo anaesema kahama iko juu kuliko njombe apimwe akili. Unafananishaje mkoa na wilaya?
 
Kahama sijui kwanini awakufanya kuwa Mkoa.
Hakuna vigezo zaidi ya vurugu za manamba wa migodini na hivyo kaskazini kuna Geita,magharibi Chato is loading,mashariki simiyu kati ndio Shinyanga hakuna namna itakuwa mkoa labda manispaa unlesa walazimishe kuimega tabora ili Kahama iwe na Nzega na Igunga jambo ambalo ni gumu sana kwa jigrafia hiyo
 
Back
Top Bottom