Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mzee baba sie kilimo cha kisasa hatuachi kwa vile ni sustanable mambo ya sehemu ya changamoto ambazo zinaendelea kutatuliwa na serikali hata kwenye mazao ya misitu kuna kodi zaidi ya 30 lakini serikali inazidi kuzitatua
Kwamba tuendako soko la mbao soft wood litapotea nk hizo ni hadithi lingeanza kupotea kwa waliotuletea hiki kilimo yaani wazungu.Yaani unatakiwa kusema kwamba tunakoelekea horticulture ndio inakwenda kuwa hot industry ungeeleweka boss
Ni mzee mama wewe JF umeivamia lini?
 
Chunya mchina kajenga hadi smelter/kichenjulio tatizo lenu mumeganda huko mazizini mnajua dunia yote iko usukumani.Kwa taarifa yako ukiacha machimbo ya Chunya,watu wanatoka Msumbiji kuja kuuza madini soko la Chunya
Hujui chuny'a tumejaa wasukuma tu?
.
Yani kusini yote tumeisha iteka ila Njombe hatupataki maana baridi mno
 
Mzee baba sie kilimo cha kisasa hatuachi kwa vile ni sustanable mambo ya sehemu ya changamoto ambazo zinaendelea kutatuliwa na serikali hata kwenye mazao ya misitu kuna kodi zaidi ya 30 lakini serikali inazidi kuzitatua
Kwamba tuendako soko la mbao soft wood litapotea nk hizo ni hadithi lingeanza kupotea kwa waliotuletea hiki kilimo yaani wazungu.Yaani unatakiwa kusema kwamba tunakoelekea horticulture ndio inakwenda kuwa hot industry ungeeleweka boss

Sijasema kilimo muache hapana haotakua nchi sasa...nyie endeleeni wazee baba ..! yaan mie nimehangaika miaka na miaka.kuhustle kujenga nyumba niweke milango ya mbao?😣😏😏..ati niwe na likabati la nguo la mbao😏😏😏...ati niweke midirisha ya mbao😏😏
 
KAHAMA: ndio center kubwa ya kukusanyia mtama mwekundu kutoka igunga, singida, Sanga Mwalugesha ambao huo mtama hutumiwa na Viwanda vya Bia vya Rwanda na Burundi
Hahahaha unaijua sanga mwalugesha? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawahi kuona Mkoa wenye manispaa zaidi ya moja Tanzania ila kuna majiji yenye manispaa zaidi ya moja mfano Mwanza ma DSM.
.
Singida, Shinyanga, Kigoma na Sumbawanga acha kuziringanisha na uchafu kama Njombe na wilaya yake Mafinga.
.
Yani hapa umegusa pabaya tuendelee kulinganisha Njombe, Lindi na Kahama tu, Mikoa uliyoitaja ni level zingine nikikuwekea picha utalia
😆😆😆😆 We jamaa kweli mfinyu wa kufikiria punguza kula muhogo na uwele
Vigezo na stutus za miji tu ndio vinafanya iwe hivyo.Mkoa wa Njombe una Halmashauri za miji 2,yaani Makambako na Njombe
Iringa mkoa,kuna manispaa ya Iringa na halmashauri ya mji wa Mafinga
Mkoa wa Shinyanga-shinyanga manispaa na Kahama TC
Mtwara-mtwara manispaa,Masasi TC,Nanyumbu TC nk nk so hapa kinachoamua ni vigezo tuu
Sasa Singida,Kigoma,Sumbawanga au Mpanda kuna nini cha kuizidi Njombe au Mafinga? Weka picha basi tuone
 
Sijasema kilimo muache hapana haotakua nchi sasa...nyie endeleeni wazee baba ..! yaan mie nimehangaika miaka na miaka.kuhustle kujenga nyumba niweke milango ya mbao?😣😏😏..ati niwe na likabati la nguo la mbao😏😏😏...ati niweke midirisha ya mbao😏😏
Ko unataka uweke chuma au aluminium au nini
Maana furniture zenu hizo za kichina zinatumia by products za mbao soft wood plus other materials so hujakwepa mbao lakini truss je?
Hata hivyo materials za timber zinapendeza na zinabei kuliko hizo zingine.Unataka unambie dari ya pvc au gypsum ni nzuri kuliko ya timber? Au ni kukosa pesa
 
😆😆😆😆 We jamaa kweli mfinyu wa kufikiria punguza kula muhogo na uwele
Vigezo na stutus za miji tu ndio vinafanya iwe hivyo.Mkoa wa Njombe una Halmashauri za miji 2,yaani Makambako na Njombe
Iringa mkoa,kuna manispaa ya Iringa na halmashauri ya mji wa Mafinga
Mkoa wa Shinyanga-shinyanga manispaa na Kahama TC
Mtwara-mtwara manispaa,Masasi TC,Nanyumbu TC nk nk so hapa kinachoamua ni vigezo tuu
Sasa Singida,Kigoma,Sumbawanga au Mpanda kuna nini cha kuizidi Njombe au Mafinga? Weka picha basi tuone
Mikoa yenye manispaa zaidi ya moja Tanzania ni DSM na Mwanza tu.
Manispaa ya ilala, Temeke na Kino hizi za Makonda ngosha mwenzangu.
.
Mwanza kuna Nyamagana na Ilemela wapi kwingine kuna manispaa zaidi ya moja? Hata Arusha hakuna.
.
Picha za hii mikoa nakuwekea zote na wakati nawekea naomba ujibu mapigo kutoka Mafinga na Njombe jalalani
 
KAHAMA kuna benki zifuatazo:
NMB,CRDB,BOA,ACCESS,NBC,TPB, DTB na AZANIA
Nitajie huko kuna benki ngapi
Hizo benki ziko hadi Chato ndo itakuwa Njombe? Huku zipo hadi kcb bank,Benki ya wananchi Njombe na Equity bank maana miti iko bankable lakini sio uchuuzi wa kufukua mashimo na Sululu.Labda DTB sijawahi iona Njombe but Mafinga ipo
 
Mikoa yenye manispaa zaidi ya moja Tanzania ni DSM na Mwanza tu.
Manispaa ya ilala, Temeke na Kino hizi za Makonda ngosha mwenzangu.
.
Mwanza kuna Nyamagana na Ilemela wapi kwingine kuna manispaa zaidi ya moja? Hata Arusha hakuna.
.
Picha za hii mikoa nakuwekea zote na wakati nawekea naomba ujibu mapigo kutoka Mafinga na Njombe jalalani
Sasa nani kabisha hapo ni factor ya population tu.
Rudi kwenye hoja yangu nilikwambia nilitaja orodha ya manispaa zijazo ukaanga kupatuka eti hujawahi ona,ndo utaona sasa kuwa mpole
 
Ko unataka uweke chuma au aluminium au nini
Maana furniture zenu hizo za kichina zinatumia by products za mbao soft wood plus other materials so hujakwepa mbao lakini truss je?
Hata hivyo materials za timber zinapendeza na zinabei kuliko hizo zingine.Unataka unambie dari ya pvc au gypsum ni nzuri kuliko ya timber? Au ni kukosa pesa

Dari ya mbao ukipata fundi mzuri inanoga... kwamba kwangu ukute jimeza kama hili hapa..kwan mie ninaishi Ludewa jaman😂😂 hizo habari za vibali mie ndo nikueleze ww..maana ilikua family business
20190809_090311.jpg
 
Attachments

  • 20190802_072018.mp4
    9.2 MB
Njombe ni suala la miaka 5 tu hapo kuipita Kahama

Hivi kumbe unapiga ramli! Kelele nyingii kumbe ramli! We mwenyewe unakubali kahama inaizidi njombe ila ramli zako zinasoma baada ya miaka 5 njombe itazidi kahama. Kuliko kupiga ramli ungesubili tu hiyo miaka mitano. Afu samahani, naomba uniangalizie mbinga na makambako baada ya miaka mitano inasomaje huko?!
 
Sio ramli ni uhalisia wa mda.
Mbinga ni porini tu hamna kitu,Makambako ni mdogo wa Njombe hana ubavu wa kumzingua braza
 
Hujui chuny'a tumejaa wasukuma tu?
.
Yani kusini yote tumeisha iteka ila Njombe hatupataki maana baridi mno
😆😆😆😆 manamba hamkosi kwenye machimbo,msipochimba nyie atachimba nani
By the way karibu Chunya uone inavyokimbia kwa maendeleo
 
Hivi kumbe unapiga ramli! Kelele nyingii kumbe ramli! We mwenyewe unakubali kahama inaizidi njombe ila ramli zako zinasoma baada ya miaka 5 njombe itazidi kahama. Kuliko kupiga ramli ungesubili tu hiyo miaka mitano. Afu samahani, naomba uniangalizie mbinga na makambako baada ya miaka mitano inasomaje huko?!
Huyu jamaa haeleweki kabisa anakwambia eti Mafinga itakuwa manispaa mara Njombe ambayo haina hata hadhi ya manispaa inaizidi Kigoma, Singida, Shinyanga, Sumbawanga na Lindi yani nilicheka hadi nikaanguka chini
 
Hapa naongelea mapato siku za nyuma kidogo siyo viwanda
Wewe hujui kitu unaandika story za vijiweni unazosikia Kwan watu.Hebu tafuta takwimu sahihi kutoka sehemu sahihi

1.Ilala
2.Mufindi
3.....

Mufindi n ya pili kwa wingi wa viwanda baada ya Ilala.Huko Kuna viwanda vingi Sana vya magogo,mbao,na chai.Ndio sababu inatajwa Mafinga kwasababu n Makao makuu ya Wilaya ya Mufindi
 
manengelo ndugu yako huyo amehamia kwa Kigoma, Singida, Shinyanga na Sumbawanga eti anazilinganisha na jalala kama Njombe
Kahama ni soak pit au sewerage dam hakuna kitu huko hadi sasa mumepigwa knock out
Sasa Kahama imepigwa ndani nje kumbe nilinganishe na wapi? Kigoma au Sumbawanga kuna nini cha kuizidi Njombe?
 
Back
Top Bottom