Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hahaha umeshatetemeka tayari? Au unadhani tumepiga picha hotel za dar ndo maana umeomba majina yake? Hapo kuna FM HOTEL, AGREEMENT HOTEL, GLORY, CHANI MOTEL etc Tunaomba za kahama sasa
Weka picha alafu identify moja baada ya nyingine kwa sababu aliyeweka Ngulipo hakufanya hivyo
 
harafu njombe kajengo kama hako ka buzwagi view na gold ni nyumba wanazoishi matajiri wanaomiliki hotel hizo ulizoona picha hapo. Kwenu ndo hotel etii na huyo mmiliki wake anaishi nyumba ya vp
Lol! Ningekuwa sikujui sasa Njombe yani sina hata mwaka nilikuwa huko nikaapa kutorudi tena kwa ulozi wenu alafu hakuna hata warembo
 
Hahahah daaaaah kwahio kahama gorofa refu ni submarine floor 4 tu harafu ulinganishe na njombe mkoa? Mnaota. Leteni picha nyingine. Hapo kajengo ka maana naona. Kamoja tu ka submarine.
Tunaizungumia Njombe kama mji na sio mkoa ukitaka umkoa wake basi utahusisha na wilaya zake, hapa ni Njombe mji, Mafinga mji na Kahama mji
 
Inapita Njombe(Stop Lupembe), inaenda Lupembe, inashukia karibu na Chitta huko (Moro), then Mlimba - Kihansi, Mbingu - Mngeta, Ifakara - Kidatu, Mikumi. Kipande kisumbufu Ni Ifakara - Lupembe.
Hii route kwa kwenda Dar ni ndefu mno.Lakini ni ya muhimu mno kuifungua.Maana itaunganisha Njombe na Morogoro.Na itafungua Biashara kwa kiasi kikubwa.Maeneo ya Lupembe Madeke huko Bado ni very potential kwa ukuaji wa mji wa Njombe.Wabena wakinga wanachapa sana kazi Na wapo proud kuona Njombe inakimbia.
 
kumbe hijui kahama wewe, sasa kwataarifa kahama ingeweza kuwa mkoa kabla hata ya geita, kahama na ilala zinafukuzana kwa mapato , NJOMBE? asee bado sana kufananisha kahama na njombe
Hayo mapato mnayoongoza mnayatumiaga wapi wakati Kahama imejaa mashimo mitaro slums na umaskini kwa kwenda mbele
Yaani mji unaojigamba ni wa madini na mapato unaongoza kwa umaskini mbona Chunya yenye madini iko njema?
Njombe ni ligi za Iringa,Tabora nk Kahama linganisha na Runzewe huko
 
B
Buzwagi view hotel n sio Hotel Mzee baba
Hiyo nnguest house tu yenye bar na restaurant.Nimelala hapo Mara kibao tembea uone hotel.Ukifika Mafinga,Njombe na Makambako utaziona nyingine Sana
Watu wa Mafinga na Makambako waje humu watulie zile picha za magorofa ya kuzidi hasa Mafinga kuna njenge zimesimamishwa ni noma na nusu
Makambako kuna mijengo kama 2 gorofa 6 na 7 hatari sana.Sasa hao wachuuzi wa Kahama wanaongea nini sijui labda wajifananishe na wachuuzi wenzao tunduma
 
Binafsi yangu kati ya hiyo miji ningechagua Njombe. Watu wanadhani njombe ni mbao ambazo kimsingi wana supply East Africa yote mpaka Sudan kusini. Njombe INA supply viazi mviringo, inatoa parachichi nyingi nje ya nchi kuliko, thamani ya ardhi njombe ni kubwa kuliko kahama. Watu wa njombe ni wachapakazi sana pia naona hata kariakoo hapa wanunuzi wakubwa wa majengo ni wananjombe. Kahama ni pazuri lakini hali ya hewa na fursa za madini hazitabiriki,
Nijuacho Mie Magufuli alipokuwa Njombe alisema Mikoa Mingine waende wakajifunze Njombe kuhusu Ujenzi wa Nyumba Bora.Njombe pia ni Wilaya iliyoongoza kwa kuwa Na vyoo Bora Tz Nzima
 
kumbe hijui kahama wewe, sasa kwataarifa kahama ingeweza kuwa mkoa kabla hata ya geita, kahama na ilala zinafukuzana kwa mapato , NJOMBE? asee bado sana kufananisha kahama na njombe
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataweka mkoa huko kwenye mashimo na manamba wa migodini hilo halipo na halitakaa litokee si bora Igunga imepangiwa na ustaarabu sio Kahama huko kwa wachuuzi
 
Kusini nilifika kitambo ila kwa info zako itabidi nirudi tena maana njombe nilikuwa napita tu na sikuona kama ulikuwa ni mji promising (naongelea kama miaka tisa nyuma). Ulipoulinganisha na potential ya Iringa ndipo nikashtuka, kwani kuna kitu gani kipya maana mbao, mazao na manpower ya ukweli vimekuwepo muda mrefu tu
Shida ya Iringa ni kuwa hakuna maeneo potential ya kuifanya ichangamke.Mji unakuwa kwa shida.Njombe ule mji unategemea maeneo ya Pembeni.Miti,Kilimo Cha Parachichi,Viazi,Chai, Ngano,Maharage kinawafanya wananchi wake wawe Na uhakika wa kipato.Miradi ya Makaa ya Mawe na Chuma huko Ludewa huenda yakaleta fursa mpya
 
Shida hakuna picha hapa.

Uzi upo kama kijiwe cha kahawa.

Tembelea dar Vs Nairobi au Bukoba Vs moshi nyuzi zilivyotaradadi picha
 
Weka picha alafu identify moja baada ya nyingine kwa sababu aliyeweka Ngulipo hakufanya hivyo
Dosmeza Hotel
images (20).jpeg

Ilikuwa Milimani Motel zamani miaka ya tisini Sasa imekuwa chuo
fm-hotel-2.jpg

FM Hotel front view
images (7).jpeg

FM Hotel back view
images (5).jpeg

Agreement Hotel kabla ya kuongeza jengo la pili
2018-07-03.jpg

Agreement Hotel jengo la pili
2017-03-15.jpg

Glory Hotel
information_items_1618931.jpg

JD Hotel
images.jpeg

Zamani iliitwa Chani Hotel kwasasa inamilikiwa na Mwanyika aliyekuwa acacia.Sijalipata jina lake.Picha zote hizi zipo Google search
images.jpeg

dosmeza-hotel-21515-20df15689f8d8095149d344eb9cce02e999942ad (1).JPG
 
Mimi nipo Njombe lakini nishawahi kufika Kahama mara kadhaa, kusema ukweli, huwezi kulinganisha mji wa Kahama na mji wa Njombe hata kidogo. Kahama mzunguko wa hela ni mkubwa sana ukilinganisha na Njombe. Kahama ni mji ulio changamka zaidi ya Njombe
Watu wa kahama Wana Pesa?
 

Uzuri wa Iringa town ni majengo marefu yaani cbd yake na kamji kamepangika hapo kati tofauti na Mbeya jiografia yake ya milima na mabonde na majengo yametawanyika hayajajikusanya sehemu moja
Mfano uchukue magorofa ya uyole,nane nane mpaka magorofa ni yote ukayaweke city centre kule Uhindini/sokomatola ingekuwa bonge moja ya cbd lakini ndio hivyo Mbeya imegawanyika kwa hivyo ila kwa idadi ya magorofa ya Iringa mara 3
 
Lol! Ningekuwa sikujui sasa Njombe yani sina hata mwaka nilikuwa huko nikaapa kutorudi tena kwa ulozi wenu alafu hakuna hata warembo
Sema ulishindwa ushindani wa biashara nani akuroge kwa lipi?
Afu kama ulifuata wanawake weupe umepotea njia huku kuna black beuty women ndio wengi kuliko weupo yaani mikoa ya kusini ndio ilivyo hivyo
 
Back
Top Bottom