Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Unaugua sana... mosi Kahama mji haijawahi kushuka chini ya Njombe Mji kwenye makusanyo na haitokaa itokee.

Wacha nikufunze juu ya hii kitu inaitwa potentiality ya eneo..kuna factor ya distance... Mfano miji miwili iliyo karibiana haiwezi kukua kwa pace sawa.. mmoja lazima uzime kuruhusu mwingine kukua.

Dar na Mwanza, Arusha au Mbeya. Miji hii iko umbali mzuri na wakutosha from each other na kwa namna hiyo inaweza kukua independently or with less influence of the other.

Kwa nchi kama Rwanda yenye eneo Dogo aspect hii hakuna na eventually Miji iliyoko jirani kwa umbali stahiki itachukua hatamu (tunza hii point kichwani)

Mfano wa umbali mbaya ni Dar-Morogoro
Arusha-Moshi, Kahama-Shinyanga, Njombe-Makambako na Mafinga/Ilula-Iringa. Lazima Maendeleo ya mji mmoja yatakuwa dominant na mmoja lazima usubmit kama sehemu ya mji mwingine kwa utegemezi.

Mfano mzuri ni namna Bagamoyo na Kibah zilivyokuwa sehemu ya the great Dar es salaam region.

Ukiangalia jiografia ya Afrika ya mashariki, Kwa maana ya South Sudan, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo, sehemu za Zambia na Malawi Kahama is the closest town to the center na ikiwa inapitia na njia kuu nyingi. Ukiwemo usafiri wa anga, barabara na reli ya SGR inayounganisha Rwanda Burundi na Eventually Congo na Uganda.

Wawekezaji wakubwa kama Bakhressa, Quality group, na Metl wameshafika wakiangazia fursa ya kufanya uzalishaji Kahama kuweza kucompete na wazalishaji ndani ya nchi za Uganda, Rwanda, Burundi na Western Kenya.

Kurejea point ya kichwani, naomba nikwambie Kahama ndio itakuwa secondary city ya Kigali na Bujumbura By distance na by connectivity. Nikipata muda tutarudi tuendelee

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tunazungumzia kuziba gap wewe unakuja na wishful thinking kwamba haitakaa itokee,kwa hesabu ya mwaka huu tuko around 4.5bln wakati nyie mko mle mle huwa hamvuki lengo lenu la 6bln ,mind you mwaka huu gold ilifanya vizuri sana huku covid ikiathiri green gold yetu yet tume jump kimapato hatari na nusu,sasa kwa taarifa yako huku tuko mechanised kwenye sekta zetu za kilimo na misitu na kadiri miundombininu ya barabara inavyofunguka ndivyo utamu utazidi.

Habari sijui za umbali sijui nini ni utopolo tu,miji ya Uyole na Mbalizi iko jirani na mbeya jiji lakini still inakua,miji ya Mlowo na Vwawa iko jirani na Tunduma,Iringa na Mafinga lakini bado inakua kwa kasi the same kwa Chalinze,Misungwi nk nk ko sababu zako za umbali ni utopolo mtupu tafuta gia nyingine.

Mwisho narudia kusisitiza economically Njombe ina potential kubwa kuliko Kahama ambayo ni just transit town,vuta subira ngoja barabara zote za kwenda Ifakara,Mbeya via Makete na Mbambabay zikamilike.
 
Njombe Ni sawa na kusema Jamhuri ya Afrika ya Kati itakuja kuwa potential country... 🙂

Nyumba sebuleni huko Chumbani hata ukilalia Kitanda cha Gold haina Mashiko... Wageni wengi wanakuja/watafikia sebuleni.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ingekuwa ni hivyo hakuna mabadiliko hii thread isingekuwepo leo,Sebuleni how na chumbani kivipi kwa mfano maana huko Kahama ni just transit town tu
 
Kahama Unaifahamu!? Au unaisikia!?

Kahama ina makadirio ya Watu laki 300+

Kahama imegeuka kuwa kitovu cha uzalishaji ambapo viwanda vinaendelea kujengwa kila uchwao

Kinaendelea kutengeneza formal jobs kueleka kuwa manispaa

Kumeendelea kuwa kitovu cha biashara za ndani na nje ya nchi.. ambapo wafanya biashara wa Kahama na wengi wa kariakoo wamesogea Kahama kuhudumia soko la kimataifa (Rwanda Burundi na Congo)

Uzalishaji umeendelea kukua huku Kahama ikiwa mzalishaji mkubwa zaidi wa mchele nchini for the past 5years.. na the largest exporter pia.

Soko la huduma Kahama huwezi linganisha na vijiji unavyovitaja.. Kahama inapokea usafiri wa anga mara mbili kwa week, na hii ni kutokana na kukosekana muundombinu bora na watoa huduma wa uhakika... Kuna Maagent wa TKT za Ndege zaidi ya 15 na wanafanya kazi kila siku na mara nyingi watu wanakuwa shuttled to Mwanza kwa huduma hii (shows you people are affluent and can spend)

Shule za Standard ya kitaifa na kimataifa ziko kila kona, (Elimu) vyuo vya upili vya serikali na binafsi, Na sasa Makampuni ya Game and Tours yameanza kujipenyeza kuona kama yanaweza kuset kambi kwa wanaohitaji kufanya uwindaji..

Construction businesses and makampuni ya wazawa kibao yameanzishwa headquartered Kahama ambayo yana parangana kupata regional recognition... Magarage makubwa yanayoservice mpaka Rwanda na Burundi.. na maengineer wengine wengi wameanza tayari ujenzi wa viwanda vidogo vya ndani vya fabrication ya vifaa vya kilimo.

Kahama its waaaaaay ahead of njox na Kagongwa labda ndio uiweke na Mafinga.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Viwanda vingi viko Shinyanga acha sifa wewe huko labda vya cherehani

Construction ipi hiyo maana tumesema onyesheni mijengo mikali kama hoteli nk mnaleta vi guests house vya kulala wachuuzi kwani hamuoni migorofa ya huko Njombe au Mafinga? wachuuzi huwa hamna pesa ndio tatizo
 
Tunazungumzia kuziba gap wewe unakuja na wishful thinking kwamba haitakaa itokee,kwa hesabu ya mwaka huu tuko around 4.5bln wakati nyie mko mle mle huwa hamvuki lengo lenu la 6bln ,mind you mwaka huu gold ilifanya vizuri sana huku covid ikiathiri green gold yetu yet tume jump kimapato hatari na nusu,sasa kwa taarifa yako huku tuko mechanised kwenye sekta zetu za kilimo na misitu na kadiri miundombininu ya barabara inavyofunguka ndivyo utamu utazidi.

Habari sijui za umbali sijui nini ni utopolo tu,miji ya Uyole na Mbalizi iko jirani na mbeya jiji lakini still inakua,miji ya Mlowo na Vwawa iko jirani na Tunduma,Iringa na Mafinga lakini bado inakua kwa kasi the same kwa Chalinze,Misungwi nk nk ko sababu zako za umbali ni utopolo mtupu tafuta gia nyingine.

Mwisho narudia kusisitiza economically Njombe ina potential kubwa kuliko Kahama ambayo ni just transit town,vuta subira ngoja barabara zote za kwenda Ifakara,Mbeya via Makete na Mbambabay zikamilike.
You are not being objective... Na inakuwa kazi nzito kuelimisha..
Growth theories zimekuwepo kisayansi na sio wishful as you put it.. ni vitu vya darasani na vinapimika...

Mfano makampuni makubwa kama Toyota huwa yanahire development consultants kufanya feasibility ya wapi panafaa kuweka ofisi.. based on so many factors za kisayansi..

Ili mji ujue unahitaji kitu kinaitwa trip generator.. kwanini watu waje hapo.. mfano Makao makuu ya mkoa yanalazimisha watu wengi waje maana ni lazima wafuate hii unique huduma hapo.

Cha pili ni kuweza kujenga influence on other markets or towns kugenerate trips kuja kwenye mji tajwa... Mfano makao makuu ya wilaya yanakusanya watu kisha wanaenda mkoani kwa huduma mbalimbali..

Kwa state run economies kuwa makao makuu ya mkoa was something big.. maana Serikali ilipanga iinvest wapi... Na mikoa ilipata faida zaidi maana serikali.iliwekeza heavily mahala pamoja.. Iringa, Bukoba, Musoma, Mwanza, Arusha, Morogoro nk...

Leo uchumi unaongozwa na watu.. serikali amegeukia usimamizi tu.. watu ndio wanaamua waende wapi.. unapimaje sehemu kama wanaenda watu wengi au kidogo.. the amount of trips made per day... Ambazo zianaishia hapo na prospect ni idadi ya trip za kupita..

Kahama Ni destination, kwa trip za Dar, Musoma, Arusha, Kilimanjaro, Kigoma, Mwanza, Bukoba, Simiyu, Kaliua, Chato Geita, Kigali, Bujumbura nk. Kahama Ni mzalishaji mkubwa wa mchele na soko kuu la mchele kwa kanda ya ziwa.. yote Kuanzia Uganda, Rwanda, Burundi na Kenya.

Njombe niko chumbani sasa Makambako ndio sebuleni kwenu. 🙂

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ingekuwa ni hivyo hakuna mabadiliko hii thread isingekuwepo leo,Sebuleni how na chumbani kivipi kwa mfano maana huko Kahama ni just transit town tu
All major towns or cities in the world are transit towns or at least they started as one.. Dubai imekuwa kwa sababu ilijitengeneza kuwa transit hub.. model hiyo hiyo imetimiwa for ages na Nairobi as agate way to east Afrika.. na sasa Addis Ababa wanakomaa kuwa regional hub..

Hiyo ndio sababu H.E Magufuli anakomaa kujenga reli na kufua shirika la ndege... Kufanya watu wengi wapitie hapa na mizigo mingi ipitie hapa... Anaigeuza nchi kuwa transit country 🙂 ni Sayansi..

Sasa kuna mahala pako naturally strategic... Utajikuta lazima tu upite hapo moja ni kesi ya Kahama ... hapa hitaji major boost maana patakua tuu.. its a guarantee fact. Pawe mkoa pasiwe mkoa, pawe manispaa pasiwe manispaa pawe jiji pasiwe jiji patakua tuu..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Viwanda vingi viko Shinyanga acha sifa wewe huko labda vya cherehani

Construction ipi hiyo maana tumesema onyesheni mijengo mikali kama hoteli nk mnaleta vi guests house vya kulala wachuuzi kwani hamuoni migorofa ya huko Njombe au Mafinga? wachuuzi huwa hamna pesa ndio tatizo
Umesahau kinikia limeanza kusafiri Sasa [emoji13][emoji13][emoji13]
 
Maana hata barabara unazo sema hujui tayar njombe itaathirika tena kumbuka mtu wa ludewa makete na lupembe atakuwa halali Tena njombe atanyooka mazima dar alafu viwanda vimeaidiwa vingi makambako na sio mji wa njombe na vingine wameanza kujenga
tofauti iko hapa Kahama makusanyo yanatoka kwenye madini na Njombe ni kutoka kwenye business Diversity.Standard ya maisha ya watu wa kahama haiwezi lingana na Njombe,Nenda katazame data za vipata vya wananchi kwenye halimashauri ili tuone wapi wako juu.
 
kama hoja ni viwanda basi njombe itaitangulia kahama mbali sana,Njombe kuna viwanda vingi sana mfano kuna Tanawat,Kibena tea factory,Luponde tea Factory,Kitulo Drinking water,Njombe Milk factory,Uniliver Tanzania industry, Chemichemi nk...
Nakumbuka Bakhresa alituma team yake Kahama kwa ajili ya kuangalia fursa za uwekezaji. Halmashauri ya mji walitoa ushirikiano walihaidi kumpa hekari 100 bure na yeye ni kushughulikia hati miliki tu. YAJAYO YANAFURAHISHA. Sidhani kama Bakhresa atakataa hiyo offer ya kuwekeza Kahama.

tofauti iko hapa Kahama makusanyo yanatoka kwenye madini na Njombe ni kutoka kwenye business Diversity.Standard ya maisha ya watu wa kahama haiwezi lingana na Njombe,Nenda katazame data za vipata vya wananchi kwenye halimashauri ili tuone wapi wako juu.
Umekosea sana!
Kama Uchumi wake kwa watu wa kawaida wengi unaendeshwa na Kilimo. Hasa Mpunga. Watu wanaojihusisha na madini moja kwa moja hawawezi kuzini elfu 20 kwa mji wa Kahama.

Mapato ya halmashauri yanatokana zaidi na kodi za Biashara.. maana mji umegeuka kuwa wa kibiashara... Indicators ni Idadi ya Maduka ya jumla, Ukubwa wa soko la fedha za kigeni. Kwa kanda ya ziwa ukiondoa Mwanza sehemu nyingine ambako fedha ya kigeni unatumika sana ni Kahama.. mzunguko wake kwa miezi 3 unaweza ukawa wa mkoa wa Njombe mzima kwa mwaka Mzima.

Kahama kinachowakwamisha ni kukosa uongozi thabiti kwa ngazi ya Halmashauri.. lakini wangekuwa wanakuwa wa kwanza kila siku kwenye makusanyo..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
ukitaka kujua mzunguko wa fedha wa sehemu flani uko vizuri au la, ni uwingi wa banks, maana benk kabla ya kufungua tawi mahala, lazima wafanye utafiti, njombe na kahama wapi pana banks nyingi?
 
You are not being objective... Na inakuwa kazi nzito kuelimisha..
Growth theories zimekuwepo kisayansi na sio wishful as you put it.. ni vitu vya darasani na vinapimika...

Mfano makampuni makubwa kama Toyota huwa yanahire development consultants kufanya feasibility ya wapi panafaa kuweka ofisi.. based on so many factors za kisayansi..

Ili mji ujue unahitaji kitu kinaitwa trip generator.. kwanini watu waje hapo.. mfano Makao makuu ya mkoa yanalazimisha watu wengi waje maana ni lazima wafuate hii unique huduma hapo.

Cha pili ni kuweza kujenga influence on other markets or towns kugenerate trips kuja kwenye mji tajwa... Mfano makao makuu ya wilaya yanakusanya watu kisha wanaenda mkoani kwa huduma mbalimbali..

Kwa state run economies kuwa makao makuu ya mkoa was something big.. maana Serikali ilipanga iinvest wapi... Na mikoa ilipata faida zaidi maana serikali.iliwekeza heavily mahala pamoja.. Iringa, Bukoba, Musoma, Mwanza, Arusha, Morogoro nk...

Leo uchumi unaongozwa na watu.. serikali amegeukia usimamizi tu.. watu ndio wanaamua waende wapi.. unapimaje sehemu kama wanaenda watu wengi au kidogo.. the amount of trips made per day... Ambazo zianaishia hapo na prospect ni idadi ya trip za kupita..

Kahama Ni destination, kwa trip za Dar, Musoma, Arusha, Kilimanjaro, Kigoma, Mwanza, Bukoba, Simiyu, Kaliua, Chato Geita, Kigali, Bujumbura nk. Kahama Ni mzalishaji mkubwa wa mchele na soko kuu la mchele kwa kanda ya ziwa.. yote Kuanzia Uganda, Rwanda, Burundi na Kenya.

Njombe niko chumbani sasa Makambako ndio sebuleni kwenu. 🙂

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwani chumbani kukiwa kuzuri kuliko sebuleni kuna shida gani hapo? na hiyo dhana ya chumbani na sebuleni inabakia kuwa dhana dhifu tu,hiyo Makambako ni njia ya kupitia tu na si vinginevyo maana haina mazingira ya kufanana na kahama kama kuwa kituo cha mabasi mikoani au nchi jirani badala yake Njombe ndio ndiko mabusi yanaanzia/kuishia.

Kama watu wa Makambako wanajidanganya kwamba kuna siku itakuja kutokea eti Makambako ikawa kubwa kuliko Njombe kama ilivyotokea kwa Kahama na Shinyanga basi hao wanaota ndoto za mchana,kwa sababu pindi barabara ya kutoka Njombe-Mbeya via Iyayi or Makete itahamisha magari kupitia makambakao maana hii ni shortcut,,pia kukamilika kwa barabara ya Njombe-Ifakara itahamisha magari kuzungukia Makambako pia kwa hio advantage wanayopata saizi ikiwemo masoko nk itakufa na kuhamia Njombe so watabakia na malori tu ya barabara kuu ya Tanzam au mizigo magari yanayotoka Njombe kwenda Dodoma na mikoa mingine ya kati na kaskazini ambayo ni machache.

Bora wa Kahama wataendelea kusurvive kulingana na jiografia yao kidogo ila Makambako wakaishia kupiga ramli chokonozi
 
Umesahau kinikia limeanza kusafiri Sasa [emoji13][emoji13][emoji13]
hiyo makinikia ndio imewafikisha hapo,mumelundikana vya kutosha huku wote mnabadilishana umaskini tu huko kajamba town,kwa popn mliyonayo mlitakiwa kuwa moja ya miji ya kupigiwa mfano kwa maendeleo lakini mko hoi bora hata sumbawanga
 
Umekosea sana!
Kama Uchumi wake kwa watu wa kawaida wengi unaendeshwa na Kilimo. Hasa Mpunga. Watu wanaojihusisha na madini moja kwa moja hawawezi kuzini elfu 20 kwa mji wa Kahama.

Mapato ya halmashauri yanatokana zaidi na kodi za Biashara.. maana mji umegeuka kuwa wa kibiashara... Indicators ni Idadi ya Maduka ya jumla, Ukubwa wa soko la fedha za kigeni. Kwa kanda ya ziwa ukiondoa Mwanza sehemu nyingine ambako fedha ya kigeni unatumika sana ni Kahama.. mzunguko wake kwa miezi 3 unaweza ukawa wa mkoa wa Njombe mzima kwa mwaka Mzima.

Kahama kinachowakwamisha ni kukosa uongozi thabiti kwa ngazi ya Halmashauri.. lakini wangekuwa wanakuwa wa kwanza kila siku kwenye makusanyo..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Rudi huko mwanzo kuna mtu kaweka mapato ya kodi ya Njombe vs Kahama,bahati mbaya kote mumeangukia pua licha ya hadithi zako nyingi hizi za vijiweni,statistics zinakataa
 
kama hoja ni viwanda basi njombe itaitangulia kahama mbali sana,Njombe kuna viwanda vingi sana mfano kuna Tanawat,Kibena tea factory,Luponde tea Factory,Kitulo Drinking water,Njombe Milk factory,Uniliver Tanzania industry, Chemichemi nk...
Sio ita,tayari imeshaitangulia zamani sana,sio Njombe tuu bali hata Mafinga ina viwanda vingi kuliko Kahama na ushahidi ndio huo unakuta mji unajengeka na watu wake wako 3 bora ya maisha bora hapa Tzn kiufupi wana pesa unlike kule machimboni na walikojaa wachuuzi na machinga eti ndio maendeleo.
Kahama na miji mingine ya kichuuzi dizaini hii inachekesha hapa ndio kuna kundi la akina Makambako,Tunduma,Katoro,Chalinze nk nk
 
All major towns or cities in the world are transit towns or at least they started as one.. Dubai imekuwa kwa sababu ilijitengeneza kuwa transit hub.. model hiyo hiyo imetimiwa for ages na Nairobi as agate way to east Afrika.. na sasa Addis Ababa wanakomaa kuwa regional hub..

Hiyo ndio sababu H.E Magufuli anakomaa kujenga reli na kufua shirika la ndege... Kufanya watu wengi wapitie hapa na mizigo mingi ipitie hapa... Anaigeuza nchi kuwa transit country 🙂 ni Sayansi..

Sasa kuna mahala pako naturally strategic... Utajikuta lazima tu upite hapo moja ni kesi ya Kahama ... hapa hitaji major boost maana patakua tuu.. its a guarantee fact. Pawe mkoa pasiwe mkoa, pawe manispaa pasiwe manispaa pawe jiji pasiwe jiji patakua tuu..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
That dude ni mbishi sana na hii ni nature ya watu wa huko nadhani inapelekewa na height yao.

Kule kuna milima ya ajabu na ndiko wanakoishi hawa viumbe muda wote wamevaa mizura/makofia, makoti na wameinama wakipandisha na kushusha vilima vyao.
 
Sio ita,tayari imeshaitangulia zamani sana,sio Njombe tuu bali hata Mafinga ina viwanda vingi kuliko Kahama na ushahidi ndio huo unakuta mji unajengeka na watu wake wako 3 bora ya maisha bora hapa Tzn kiufupi wana pesa unlike kule machimboni na walikojaa wachuuzi na machinga eti ndio maendeleo.
Kahama na miji mingine ya kichuuzi dizaini hii inachekesha hapa ndio kuna kundi la akina Makambako,Tunduma,Katoro,Chalinze nk nk
We mtu mfupi jitathmini uache ujinga, yani hiyo Mafinga ukisogea maeneo ya jeshini tu network shida uilinganishe na mji kama Kahama?😳

Hiyo Njombe ndio kabisaa milimani huko nani anataka kuishi afanane na wewe?
Muwekezaji mwenye akili timamu aje awekeze kwenye mbao aache kwenda kuwekeza kwenye Gold?
 
ukitaka kujua mzunguko wa fedha wa sehemu flani uko vizuri au la, ni uwingi wa banks, maana benk kabla ya kufungua tawi mahala, lazima wafanye utafiti, njombe na kahama wapi pana banks nyingi?
Kukuta bank ya kama DTB wilayani lazima ujiulize tu, wahindi wanatafuta nini wilayani. Bado bank kubwa kama Azania, Crdb na NMB zina branch ndani ya wilaya hiyo hiyo
 
We mtu mfupi jitathmini uache ujinga, yani hiyo Mafinga ukisogea maeneo ya jeshini tu network shida uilinganishe na mji kama Kahama?😳

Hiyo Njombe ndio kabisaa milimani huko nani anataka kuishi afanane na wewe?
Muwekezaji mwenye akili timamu aje awekeze kwenye mbao aache kwenda kuwekeza kwenye Gold?
😀

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
We mtu mfupi jitathmini uache ujinga, yani hiyo Mafinga ukisogea maeneo ya jeshini tu network shida uilinganishe na mji kama Kahama?😳

Hiyo Njombe ndio kabisaa milimani huko nani anataka kuishi afanane na wewe?
Muwekezaji mwenye akili timamu aje awekeze kwenye mbao aache kwenda kuwekeza kwenye Gold?
unaweweseka tu hapa na akili yako haina ushirikiano,hoja ni Njombe na Mafinga kuna viwanda vingi kuliko Kahama,mambo ya network sijui na such upuuzi anzisha thread otherwise huna hoja peleka upumbavu huko kwenye vijiwe vya wachuuzi wenzio wa Kahama.

Wewe mwenye akili timamu una migodi mingapi maana mimi nina msitu wa miti au unauza duka afu unapayuka
 
Back
Top Bottom