ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #1,601
Tunazungumzia kuziba gap wewe unakuja na wishful thinking kwamba haitakaa itokee,kwa hesabu ya mwaka huu tuko around 4.5bln wakati nyie mko mle mle huwa hamvuki lengo lenu la 6bln ,mind you mwaka huu gold ilifanya vizuri sana huku covid ikiathiri green gold yetu yet tume jump kimapato hatari na nusu,sasa kwa taarifa yako huku tuko mechanised kwenye sekta zetu za kilimo na misitu na kadiri miundombininu ya barabara inavyofunguka ndivyo utamu utazidi.Unaugua sana... mosi Kahama mji haijawahi kushuka chini ya Njombe Mji kwenye makusanyo na haitokaa itokee.
Wacha nikufunze juu ya hii kitu inaitwa potentiality ya eneo..kuna factor ya distance... Mfano miji miwili iliyo karibiana haiwezi kukua kwa pace sawa.. mmoja lazima uzime kuruhusu mwingine kukua.
Dar na Mwanza, Arusha au Mbeya. Miji hii iko umbali mzuri na wakutosha from each other na kwa namna hiyo inaweza kukua independently or with less influence of the other.
Kwa nchi kama Rwanda yenye eneo Dogo aspect hii hakuna na eventually Miji iliyoko jirani kwa umbali stahiki itachukua hatamu (tunza hii point kichwani)
Mfano wa umbali mbaya ni Dar-Morogoro
Arusha-Moshi, Kahama-Shinyanga, Njombe-Makambako na Mafinga/Ilula-Iringa. Lazima Maendeleo ya mji mmoja yatakuwa dominant na mmoja lazima usubmit kama sehemu ya mji mwingine kwa utegemezi.
Mfano mzuri ni namna Bagamoyo na Kibah zilivyokuwa sehemu ya the great Dar es salaam region.
Ukiangalia jiografia ya Afrika ya mashariki, Kwa maana ya South Sudan, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo, sehemu za Zambia na Malawi Kahama is the closest town to the center na ikiwa inapitia na njia kuu nyingi. Ukiwemo usafiri wa anga, barabara na reli ya SGR inayounganisha Rwanda Burundi na Eventually Congo na Uganda.
Wawekezaji wakubwa kama Bakhressa, Quality group, na Metl wameshafika wakiangazia fursa ya kufanya uzalishaji Kahama kuweza kucompete na wazalishaji ndani ya nchi za Uganda, Rwanda, Burundi na Western Kenya.
Kurejea point ya kichwani, naomba nikwambie Kahama ndio itakuwa secondary city ya Kigali na Bujumbura By distance na by connectivity. Nikipata muda tutarudi tuendelee
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Habari sijui za umbali sijui nini ni utopolo tu,miji ya Uyole na Mbalizi iko jirani na mbeya jiji lakini still inakua,miji ya Mlowo na Vwawa iko jirani na Tunduma,Iringa na Mafinga lakini bado inakua kwa kasi the same kwa Chalinze,Misungwi nk nk ko sababu zako za umbali ni utopolo mtupu tafuta gia nyingine.
Mwisho narudia kusisitiza economically Njombe ina potential kubwa kuliko Kahama ambayo ni just transit town,vuta subira ngoja barabara zote za kwenda Ifakara,Mbeya via Makete na Mbambabay zikamilike.