Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mikoa mingi haipo nioneshe mikoa kama Iringa na ndugu zao wengone kwani sio Tanzania, hizo report za kijinga tu na zimekaa kuabishana, kama ile ya lile limama la kaskazini pale stendi ya JPM, linasema watu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa wanaongoza kutelekezwa kwa figure gani alitumia sample size gani, na utafiti wake alitumia nji gani? Hizi report za kijinga na upumbavu tu ni chuki na wivu hakuna kingine.
Utajua hujui.
Soma hiyooo 👇

View: https://twitter.com/RailwaysAfrica/status/1726556629313761745?t=j28fHT0jx4xFcC--KS2CDA&s=19
 
Aisee mbeya imerekodi miradi miwili tu Kwa miezi mitatu 😂😂
Screenshot_20231121-200444.jpg
 
Angalia value ndio uje kuongea pumba zako.

Pili mradi mmja wa Rukwa ni sawa na miradi ya jero jero ya miaka 2 Kwa Mwanza 😂😂
Idadi ya Miradi ni ishara ya wingi wa wawekezaji wanaovutiwa kuwekeza katika eneo husika
 
Idadi ya Miradi ni ishara ya wingi wa wawekezaji wanaovutiwa kuwekeza katika eneo husika
Wingi wa jero jero ndio utakusaidia nini Sasa kwenye GDP?

Sisi tunataka value kubwa,Wingi bakieni nao nyie harafu tukutane kwenye GDP
 
Back
Top Bottom