ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #17,781
Utajua hujui.Mikoa mingi haipo nioneshe mikoa kama Iringa na ndugu zao wengone kwani sio Tanzania, hizo report za kijinga tu na zimekaa kuabishana, kama ile ya lile limama la kaskazini pale stendi ya JPM, linasema watu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa wanaongoza kutelekezwa kwa figure gani alitumia sample size gani, na utafiti wake alitumia nji gani? Hizi report za kijinga na upumbavu tu ni chuki na wivu hakuna kingine.
Soma hiyooo 👇
View: https://twitter.com/RailwaysAfrica/status/1726556629313761745?t=j28fHT0jx4xFcC--KS2CDA&s=19