Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Nadhan Hilo nilisha kupa jibu kuwa vitu kama hivyo now si vya kujivunia tena maana vimezagaa Kila kono mkoa wa njombe ko HiYo kwetu si hoja tena sisi now ni mwendo wa viwanda na mijengo ya kwenda juu kuanzia floor nne maana miji inayo kua kwa Kasi now Dunian ni Ile inayo jikita na viwanda na biashara ikifuatiwa na ya utalii Sasa njombe kupitia uwepo wa madin ya liganga na mchuchuma na uwepo wa utajir wa malighafi viwandani wameamua kuteua mji wa makambako uwe wa viwanda na biashara na hii tu View attachment 2855132View attachment 2855133View attachment 2855134
Sasa Nini hii umepost?....

Mkuu hebu zunguka Tanzania nionyeshe Kijiji kama hiki...unavyoongea utazani hatutembei Hii Tanzania?
Huku ni muleba Bukoba vijijini

View: https://www.instagram.com/reel/C1XikS-tyXJ/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Kwani Bukoba ndo hawajengi vyuo vikuu....
Huku Bukoba elimu ni kitu cha kawaida sana...
Sasa hiv tunaongelea jinsi ya kuitumia hio elimu ambayo 100% Bukoba watu wanayo
Wee Baki na hizo Takwimu zako...

Lakin huu ndo uhalisia huko vijijini...

View: https://www.instagram.com/reel/C1Xcmootct1/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==

📌📌🔨

Katika Matawi yote ya Udsm yaani Mbeya,Kagera na Lindi ..Ni Tawi la Mbeya tuu ndio liko designed kuwa full fledged University baadae Kwa sababu ni maalumu Kwa Ajili ya Fani ya udaktri.

Kwa taarifa Yako tuu kutakuwa na
-Chuo Cha fani za afya
-Teaching Hospital
-Kiwanda Cha vifaa tiba.
 
Uwekezaji WA shule yenye hadhi ya kimataifa iliyo chukia eneo zaidi ya ekari 30 unaendelea ndani ya makambako tc
IMG_20231228_130205_915~3.jpg
IMG_20231228_130205_915~2.jpg
 
Unafikiri hayo mambo hayafanyiki Bukoba? Sio..
Hawa hapa wahaya wanajadiliana jinsi ya kuwekeza mkoani kwao...unasimama unasema unataka kuwekeza Nini mkoani Kagera...
Halafu watu wa kusini huko Bado sana kwa wahaya...huwa tunawazoom tu...wahaya hawafanyi biashara za uchuuzi kariakoo siku hiz wanamiliki viwanda na mahekari ya mashamba....
Msikilize huyu jamaa...na mwakani wanajenga hotel ya nyota Tano katikati ya mji wa Bukoba

View: https://www.instagram.com/reel/C1WBa9SNOhn/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==

1703325224984.jpg
 
Sasa Nini hii umepost?....

Mkuu hebu zunguka Tanzania nionyeshe Kijiji kama hiki...unavyoongea utazani hatutembei Hii Tanzania?
Huku ni muleba Bukoba vijijini

View: https://www.instagram.com/reel/C1XikS-tyXJ/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==

Tulisha kwambia hayo mambo now vijijini ni kitu Cha kawaida Sana sio Cha kubaki unatukuza saiz tunacho angalia mji una future gan maana Kuna miji Ina dumaa baada ya kusogea mbele inarudi nyuma inapitwa na miji ya juzi kisa ukosefu wa dira na hii inapelekea haya
1697778701426.jpg
1700445069017.jpg
 
Nadhan Hilo nilisha kupa jibu kuwa vitu kama hivyo now si vya kujivunia tena maana vimezagaa Kila kono mkoa wa njombe ko HiYo kwetu si hoja tena sisi now ni mwendo wa viwanda na mijengo ya kwenda juu kuanzia floor nne maana miji inayo kua kwa Kasi now Dunian ni Ile inayo jikita na viwanda na biashara ikifuatiwa na ya utalii Sasa njombe kupitia uwepo wa madin ya liganga na mchuchuma na uwepo wa utajir wa malighafi viwandani wameamua kuteua mji wa makambako uwe wa viwanda na biashara na hii tu View attachment 2855132View attachment 2855133View attachment 2855134
Leta nyumba za vijijini huko makete na ludewa tuone palivopauka
 
Tulisha kwambia hayo mambo now vijijini ni kitu Cha kawaida Sana sio Cha kubaki unatukuza saiz tunacho angalia mji una future gan maana Kuna miji Ina dumaa baada ya kusogea mbele inarudi nyuma inapitwa na miji ya juzi kisa ukosefu wa dira na hii inapelekea hayaView attachment 2855922View attachment 2855925
Kumbe unaangalia future ya mji😂😂...

Mzee kwanza tunapoteza muda kulinganisha Bukoba na hizo slums za huko kusini

Hebu tuanze project zilizoko Bukoba...
Hii ni hotel mpya kabisa inayojengwa mjini Bukoba...Tazama kibao uone hata Ramani yake
 
Attachments

  • DJI_20231228184055_0145_D.JPG
    DJI_20231228184055_0145_D.JPG
    3.9 MB · Views: 2
  • DJI_20231228183855_0139_D.JPG
    DJI_20231228183855_0139_D.JPG
    4.4 MB · Views: 3
  • DJI_20231228183908_0140_D.JPG
    DJI_20231228183908_0140_D.JPG
    4.5 MB · Views: 2
  • DJI_20231228183929_0141_D.JPG
    DJI_20231228183929_0141_D.JPG
    4.7 MB · Views: 2
Tumekwambia HiYo so hoja tena kwa mkoa wa njombe takwimu hazi danganyi mzee hizo ni sehemu tu wilaya ya makete mkoa wa njombe ni next level na mtatoa Sana machoView attachment 2856117View attachment 2856118View attachment 2856119View attachment 2856120View attachment 2856121View attachment 2856128View attachment 2856129
Narudia tena Bukoba ni well planned town...mji unamuonekano wa kimji...city centre panajulikana na unajengwa vzr sana....

Hii ndo Bukoba mjini kati...hebu linganisha na miji yenu ya kusini...
 
Attachments

  • DJI_20231228182045_0119_D.JPG
    DJI_20231228182045_0119_D.JPG
    5.7 MB · Views: 3
  • DJI_20231228182057_0122_D.JPG
    DJI_20231228182057_0122_D.JPG
    3.6 MB · Views: 2
  • DJI_20231228182054_0121_D.JPG
    DJI_20231228182054_0121_D.JPG
    3.7 MB · Views: 2
  • DJI_20231228182049_0120_D.JPG
    DJI_20231228182049_0120_D.JPG
    5.7 MB · Views: 3
Narudia tena Bukoba ni well planned town...mji unamuonekano wa kimji...city centre panajulikana na unajengwa vzr sana....

Hii ndo Bukoba mjini kati...hebu linganisha na miji yenu ya kusini...
Yan bado Sana Kuna miji ambayo ipo planned sio bukoba
 
Back
Top Bottom