Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mkoa wa njombe now unaangaliwa kwa jicho jingine na Serikali kutokana na fursa ulizonazo 👇👇👇👇👇👇Mkurugenzi wa Cultural Museum Kutoka Arusha Atembelea Njombe kwa Lengo la Uwekezaji

Mkurugenzi wa Cultural Museum kutoka Mkoa wa Arusha, Bw. Wito Msafiri, amefanya ziara ya kikazi mkoani Njombe leo, tarehe 21 Novemba 2024, kwa lengo la kutazama fursa za uwekezaji wa Kijiji cha Utamaduni. Akiwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, Bw. Msafiri alieleza dhamira yake ya kuanzisha mradi huo ili kukuza utalii wa kiutamaduni na uchumi wa mkoa huo.

Mhe. Mtaka alimkaribisha kwa furaha na kupongeza hatua hiyo, akisema, “Tunafurahi kuona wawekezaji wenye mtazamo wa kuendeleza utamaduni na utalii wanavutiwa na Njombe. Hii ni fursa kubwa kwa mkoa wetu, na tutatoa ushirikiano wa karibu kuhakikisha mradi huu unafanikiwa.”

Mara baada ya kuwasilisha maelezo ya mradi huo, Bw. Msafiri alimkabidhi Mhe. Mtaka zawadi ya picha nzuri inayoonyesha kazi ya sanaa na kikombe cha kipekee, ishara ya kuthamini urithi wa kiutamaduni wa Tanzania.
Njombe bado sana kuifikia iringa hamuwez na hamtaweza moja ya sehemu ambazo zipo local sana Tanzania ni njome iko nyuma sana kwenye kila kitu wanachajua wao kulima viaz
 
Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    198.3 KB · Views: 3
Njombe bado sana kuifikia iringa hamuwez na hamtaweza moja ya sehemu ambazo zipo local sana Tanzania ni njome iko nyuma sana kwenye kila kitu wanachajua wao kulima viaz
Endelea kuota utakavo amka ndo UTAELEWA fursa ziko wapi kati ya njombe na iringa Wenzenu wapo kazini
1729580715634.jpg
1732261032280.jpg
 
Endelea kuota utakavo amka ndo UTAELEWA fursa ziko wapi kati ya njombe na iringa Wenzenu wapo kaziniView attachment 3158425View attachment 3158435
Katika nchi hii fursa zipo kilasehemu unataka kutuaminisha njombe ndio inaongoza kwa fulsa iringa tunafulsa kibao kuliko njome njome ili mfike ilipo iringa miaka 40 ijayo kumbuka iringa haitakua hapo ilipo nyiny njombe level yenu ni lindi au kigoma
 
Njombe bado sana kuifikia iringa hamuwez na hamtaweza moja ya sehemu ambazo zipo local sana Tanzania ni njome iko nyuma sana kwenye kila kitu wanachajua wao kulima viaz
Unavojifariji ww jamaa kwani iringa haifahamiki fursa mkoa wa iringa zipo mufindi DC na si wilaya yote upande mwingine ni kukame na kilolo kidogo Sana huwezi linganisha na njombe wilaya zake karibia zote zina fursa ko hapo utajua Nan atakuwa chapu kiuchumi ndo maana ww una data za stori za mitaani ko unavokuja humu usiingie na story ZAKO hizo wapo watu wanaigahamu iringa kama njaa
 
Katika nchi hii fursa zipo kilasehemu unataka kutuaminisha njombe ndio inaongoza kwa fulsa iringa tunafulsa kibao kuliko njome njome ili mfike ilipo iringa miaka 40 ijayo kumbuka iringa haitakua hapo ilipo nyiny njombe level yenu ni lindi au kigoma
Endelea kuota tunao ijua hii mikoa tunajua tayari iringa imeanza kupigwa gap hata kwa ukubwa wa miji yake ko potosha wasio ijua iringa
 
Njombe ni miongoni mwa mikoa yenye fursa nyingi
 
Endelea kuota tunao ijua hii mikoa tunajua tayari iringa imeanza kupigwa gap hata kwa ukubwa wa miji yake ko potosha wasio ijua iringa
Mji gan uta ulinganisha na iringa
Haya iringa mjin na njombe mbingu na ardhi
Mafinga na makambako mafinga ipo juu ya makambako kiuchumi ata kujengeka mafinga ni next level usiish kwa kukalili bro fanya research
 
Si bishanagi na mtu ambaye anaamini story za mitaani nenda kwenye matokeo ya sesa ndo ujue kati ya mafinga na makambako wapi ni kukubwa zaidi ukishindwa nenda wakakuzungushe makambako ndo ndo ufute story ZAKO zako za vijiweni hizo narudia tena mkoa wa njombe unakuwa kwa Kasi kuliko iringa huo ndo ukweli pekee
 
Mim naongea k2 nachokijua na mwez mmoja nmetoka makambako naongea fact mafinga ni kubwa kuliko makambako pia mafinga imejengwa kimpangilio makambako bado kwa mafinga labda useme inaikalibia sio kuizid hiyo na kataa
 
Tarifa za sensa usiziamin uwongo mtupu sehemu nyingine watu hawjaesabiwa ulikuwa mrad wa watu wapige pesa
 
Kama hakuna biashara wangepelekaje soko la Kanda makambako , viwanda vya MSD makambako ,dry port makambako ,kongani ya viwanda vya chuma makambako bado ujenzu wa uwanja wa kimataifa wa ndege viwanda vya parachichi nk ww jamaa vipi
1731899445905.jpg
1729911833078.jpg
1717603941823.jpg
1711451397331.jpg
IMG-20241011-WA0012~2.jpg
IMG-20240520-WA0027.jpg
 
Kama hakuna biashara wangepelekaje soko la Kanda makambako , viwanda vya MSD makambako ,dry port makambako ,kongani ya viwanda vya chuma makambako bado ujenzu wa uwanja wa kimataifa wa ndege viwanda vya parachichi nk ww jamaa vipiView attachment 3158566View attachment 3158567View attachment 3158569View attachment 3158571View attachment 3158572View attachment 3158573
Nikulekebishe hapo hakuna kiwanda MSD ila kuna store za MSD elewa utofaut wa store na kiwanda mkuu
 
Wew unazungumzia mirad ukienda chato kwa magu kuna mirad mikubwa sana mirad sio kigezo cha kusema makambako ipo juu bado sana mkuu
 
Nikulekebishe hapo hakuna kiwanda MSD ila kuna store za MSD elewa utofaut wa store na kiwanda mkuu
Ndo maana nilikwambia unabishana na mtu naye ijua vizuri mno hii mikoa eti si viwanda ni store pale Pana viwanda vi nne na tayari bidhaa zao zipo sokoni angalia hapo chini idoglavu
_mg_9919-jpg.3158575

Nikulekebishe hapo hakuna kiwanda MSD ila kuna store za MSD elewa utofaut wa store na kiwanda mkuu
1732265081896-jpg.3158591
 
Attachments

  • _MG_9919.JPG
    _MG_9919.JPG
    345 KB · Views: 12
  • 1732265081896.jpg
    1732265081896.jpg
    152.3 KB · Views: 11
  • 1732265095852.jpg
    1732265095852.jpg
    110.1 KB · Views: 4
Mim naongea k2 nachokijua na mwez mmoja nmetoka makambako naongea fact mafinga ni kubwa kuliko makambako pia mafinga imejengwa kimpangilio makambako bado kwa mafinga labda useme inaikalibia sio kuizid hiyo na kataa
Makambako ni kubwa mno kwa mafinga hii miji tunaifahamu vizuri mno acha stori zako za mitaani mzee
 
Back
Top Bottom