Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Uwekezaji makambako tc
457504574_1194617075121242_8468267585354817256_n.jpg
 
Mji wa Njombe una gorofa nyingi kushinda Manispaa uchwara za Geita,Kahama na Shinyanga.

Njombe
Njombe.jpg

Kahama MC
Shinyanga.jpg

Geita MC
Geita.jpg

Shy
Shinyanga.jpg
 
Kama serikali itaendelea na masharti yake ya kijamaa ndio kusema huu mradi itaendelea kuwa stori Hadi Yesu anarudi.

Nchi Zenye chuma NJ nyingi mfano Uganda,Guinea Conakry,Zimbabwe, Mozambique nk na zote hizo Zina wawekezaji wa Kichina na Brazil wamewekeza mabilioni ya Dola lakini hapa Tanzania danadana kama LNG.

Kama Serikali haiwezi kupunguza masharti basi wawekezaji pesa wenyewe ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DD4N30_OOet/?igsh=aGw5OWw2Z2Q5OGpv
 
Huu mradi unazingua inaonekana mashart ni magumu ukisikiliza hata anayejenga viwanda makambako anakwambia alifatilia hadi alikata tamaa akaamua aende makete na baadae wakakubali ndo kachukua kitalu Cha maganga matitu shida ya ludewa hata miundombinu ni changamoto"MCHINA AJIBU MASWALI YA MADIWANI LUDEWA KWA KISWAHILI, AOMBA KUSAIDIWA, MBUNGE ATIA NENO - YouTube"
View: https://m.youtube.com/watch?v=cricm0hwiO4&pp=ygUYZnVqaWFuIGhleGluZ3dhbmcgbHVkZXdh
 
Kwa hizo porojo hakuna mradi hapo
 
Angalia hapo wilaya ya Geita ambayo mji wake ni Katoro, idadi ya nyumba inakalisha mkoa mzima wa Njombe ๐Ÿค— ๐Ÿคญ ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜‚
Jumlisha gorofa za Katoro na Geita unipe jibu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Soon mnaenda kuaibika
 
Jumlisha gorofa za Katoro na Geita unipe jibu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Soon mnaenda kuaibika
HAha utaaibika mwenyewe nenda kwenye page ya nbs kaangalie katoro Ina majengo mangapi kama si 11000 Kila siku unaipamba katoro kumbe Bure kabisa
 
Kwa Shinyanga umenyosha mikono ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Katoro Ina nyumba 17000 na gorofa 13 Kila siku unatupigia kelele humu ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡kamwaga6,62406,2833416,32885211
23Rwamgasa13,863513,22263613,005330528
24Busanda5,67715,3343425,37167239
25Nyalwanzaja3,44113,2481923,26265114
26Nyaruyeye4,14703,9022453,92486137
27Butundwe1,90901,7741351,8102574
28Magenge3,30703,1911163,1665289
29Kaseme5,10704,7703374,82472211
30Katoro17,4971316,0401,44416,293586618
31Nyamigota6,07315,7862865,9654860
32Nyakagomba4,76604,5372294,49089187
33Nyachiluluma4,00503,7832223,79848159
34Bukondo4,58604,3042824,27451261
35Chigunga3,21102,9532583,05136124
36Nyamwilolewa8,43007,6018298,104121205
37Ludete
 
Umechukua kata moja ya mji wa Katoro (ndani ya mji wa Katoro kuna kata ya Katoro) kuna kata zingine ikiwemo Ludete na Buseresere
Screenshot_20241225-195646.png
 
Back
Top Bottom