NJe ya geita MC vingine vyote ni vijiji Mzee Bora hata njombe Ina miji mikubwa miwili
Miji mikubwa Geita hii hapa 👇
1. Geita TC _idadi ya majengo 66 095
2. Katoro _ idadi ya majengo 45 893( mji una kata tatu, Katoro Buseresere na Ludete)
3. Runzewe _idadi ya majengo 20 966(nimejumlisha kata tatu za mjini, Namonge runzewe mashariki na magharibi)
4. Masumbwe _ idadi ya majengo 16 864( mji una kata mbili Nyakafulu na Masumbwe)
5. Ushirombo _ idadi ya majengo 10 181( Mji na kata tatu katente, bulangwa na ushirombo)
6. Rwamgasa _ idadi ya majengo 13 863( mji una kata moja)
7. Nyarugusu _ idadi ya majengo 11 145(mji una kata moja)
8. Bwanga _ idadi ya majengo 11 624( mji una kata moja)
9. Lulembela _ idadi ya majengo 9 240( mji una kata moja)
10. Kakubilo _ idadi ya majengo 9 287( kata moja)
11. Nkome _ idadi ya majengo 9 251
12. Chato
MIJI MIKUBWA NJOMBE HII HAPA 👇
1. Njombe TC _ idadi ya majengo 51 555
2. Makambako Mji _ idadi ya majengo 37 865
Hakuna mji mwingine wenye majengo zaidi ya 9 000