Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

TuMekwambia makambako tc ,njombe DC na wangingombe na hapa makazi Yana mwingiliano mkubwa mno sijaongelea njombe tc imetenganishwa na msitu wa tanwat na ukiwa makamba makazi ya unaya view makazi ya halmashauri hiZi tatu
Haueleweki, makambako yenyewe imezungukwa na mapori sijui inaungana na wapi 🤔🤗🤔
Screenshot_20241227-145047.png
 
Haueleweki, makambako yenyewe imezungukwa na mapori sijui inaungana na wapi 🤔🤗🤔View attachment 3186408
Ukizoom hivo miji yote itaonekana ni mapori some time jifunze kutembelea eneo husika utajifunza kitu kwanini tunakwambia Hilo eneo la makambako wangingombe na njombe DC makazi yanaingiliana kumbuka ilikuwa wilaya moja ikagawanywa ndo Kuna halmashauri nne afu unasema Kuna mapaori eneo Lina nyumba zaidi ya laki moja siku fika makambako uonyeshwe sio Muda wote na Google map maana hata eneo linalo ongelewa huwezi jua
 
Hizo taarabu za nini, nimezoom mipaka ya mji mzima ni mapori na mashamba unataka niamini maneno yako yasiyo na ushahidi 😄😄😄😄😄🤔🤗🤗
 
Idadi ya majengo mkoa mzima wa Njombe inatoshana na wilaya moja ya Geita DC, that means Geita DC ina miji mingi mikubwa kuliko Mkoa mzima wa Njombe 🤗 🤗
Screenshot_20241227-230242.png
Screenshot_20241227-230150.png
 
Idadi ya majengo mkoa mzima wa Njombe inatoshana na wilaya moja ya Geita DC, that means Geita DC ina miji mingi mikubwa kuliko Mkoa mzima wa Njombe 🤗 🤗 View attachment 3186610View attachment 3186611
Hizo data wenzio tulisha fanya uchambuz Muda mrefu na kwambia hivi kwa mkoa wa njombe eneo hili la makambako tc kata 12 ,wangingombe dc Kata 17 na njombe DC baadhi ya kata 4 jumla kata 33 makazi yamekutana na ni eneo LENYE km za mraba elfu mbili na mia Saba baada ya kukatwa hifadhi ya mpanga kipengere ndo LENYe nyumba nyingi zaidi ya laki moja tukimaamisha makambako to mtwango km 30 makambako ilembula km 30 makambako to kitandililo km 30 na makambako to igwachanya 45 around eneo hili Lina makazi zaidi ya laki moja unatwambia Kuna mapori yatoke wapi tembelea ndo UTAELEWA kwa nini hata mkoa wa njombe umeamua uwe ndo mji wa viwanda na biashara wanajua nini kinacho fuata mbeleni
 
NJe ya geita MC vingine vyote ni vijiji Mzee Bora hata njombe Ina miji mikubwa miwili
 
Hizo taarabu za nini, nimezoom mipaka ya mji mzima ni mapori na mashamba unataka niamini maneno yako yasiyo na ushahidi 😄😄😄😄😄🤔🤗🤗
Endelea kujifariji ukweli ndo huo kata 33 makazi yanaingiliana ni sawa kama unaujua mipaka ya Jiji la dodoma na master plan yake ungeelewa miji kwa nini inakua hivo ishu ulitaka nyumba zijazane sehemu moja ndo useme sawa wenzenu wanaenda kwa utaratibu maeneo Yao yamesha pimwa inajulikana hili eneo la viwanda , zoo, taasisi hawajengi ovyo kama Kijiji chenu Cha katoro hata Barabara halieleweki
 
Hizo taarabu za nini, nimezoom mipaka ya mji mzima ni mapori na mashamba unataka niamini maneno yako yasiyo na ushahidi 😄😄😄😄😄🤔🤗🤗

Hizo data wenzio tulisha fanya uchambuz Muda mrefu na kwambia hivi kwa mkoa wa njombe eneo hili la makambako tc kata 12 ,wangingombe dc Kata 17 na njombe DC baadhi ya kata 4 jumla kata 33 makazi yamekutana na ni eneo LENYE km za mraba elfu mbili na mia Saba baada ya kukatwa hifadhi ya mpanga kipengere ndo LENYe nyumba nyingi zaidi ya laki moja tukimaamisha makambako to mtwango km 30 makambako ilembula km 30 makambako to kitandililo km 30 na makambako to igwachanya 45 around eneo hili Lina makazi zaidi ya laki moja unatwambia Kuna mapori yatoke wapi tembelea ndo UTAELEWA kwa nini hata mkoa wa njombe umeamua uwe ndo mji wa viwanda na biashara wanajua nini kinacho fuata mbeleni
443px-Mapcarta.jpg
152718.jpg
 
Hizo taarabu za nini, nimezoom mipaka ya mji mzima ni mapori na mashamba unataka niamini maneno yako yasiyo na ushahidi 😄😄😄😄😄🤔🤗🤗
Mji uunaenda kwa mpangilio si kulundika makazi et ndo mji mbelen unaishia kufa Hauna future angalia jiji la dodoma Lina ukubwa wa km za mraba 2700 na limepaningiliwa Kila kitu inatakiwa kiwe wap hili ndo SoMo ambalo mikoa ya wenzenu wamejifunza Kama njombe ndo maana wameamua wawe na mji wa viwanda na biashara ambao utakuwa na ukubwa wa km za mraba 2900 na kata 33 tarafa tatu kwa mjibu wa sensa ya makazi hili eneo Lina zaidi ya nyumba laki moja Sasa nyie endeleeni kunyanyua mapaa mkadhani ndo gorofa au Huwa yanahesabiwa mapaa yaliyonyanyuka HII NI DODOMA CITY YENYE MAKAZI ZAIDI YA 190000 UKUBWA KM ZA MRABA 2700
48986258112_a6a1bcec41_b(1).jpg
Map-showing-administrative-boundaries-of-Dodoma-municipal-urban-district.jpg
Dodoma CBD 👇👇👇👇
6.jpg

Hizo taarabu za nini, nimezoom mipaka ya mji mzima ni mapori na mashamba unataka niamini maneno yako yasiyo na ushahidi 😄😄😄😄😄🤔🤗🤗
 
Attachments

  • 48986258112_a6a1bcec41_b.jpg
    48986258112_a6a1bcec41_b.jpg
    56.2 KB · Views: 2
Hizo taarabu za nini, nimezoom mipaka ya mji mzima ni mapori na mashamba unataka niamini maneno yako yasiyo na ushahidi 😄😄😄😄😄🤔🤗🤗
Kapande MLIMA huu ndo UTAELEWA tunachoongea tarafa 3 na kata 33 zinaonekana kwa uzuri NDani ya hifadhi ya mpanga kipengere 👇👇👇👇👇👇E. MLIMA FULANYINGI

Kilele cha mlima Fulanyingi kinapatikana katika kijiji cha Imalilo kata ya Wangama. Eneo hili ndio

uwanda wa juu kabisa kuliko maeneo yote ya wilaya ya Wanging’ombe na Njombe, hivyo kilele hiki

hutoa fursa ya kuona mandhari pana ya wilaya ya Wanging’ombe na maeneo mengine jirani. Pia

katika mlima Fulanyingi kuna vyanzo vingi vya maji zaidi ya 98.

Eneo hili linafaa sana kwa utalii wa kupanda milima, Kujionea wanyama na mandhari nzuri ya

maumbile ya kijiografia, sehemu za mapumziko na utalii wa picha.

Eneo la kilele hiki linafaa kwa uwekezaji wa miundombinu ya kupumzikia (campsite)
 
NJe ya geita MC vingine vyote ni vijiji Mzee Bora hata njombe Ina miji mikubwa miwili
Miji mikubwa Geita hii hapa 👇
1. Geita TC _idadi ya majengo 66 095
2. Katoro _ idadi ya majengo 45 893( mji una kata tatu, Katoro Buseresere na Ludete)
3. Runzewe _idadi ya majengo 20 966(nimejumlisha kata tatu za mjini, Namonge runzewe mashariki na magharibi)
4. Masumbwe _ idadi ya majengo 16 864( mji una kata mbili Nyakafulu na Masumbwe)
5. Ushirombo _ idadi ya majengo 10 181( Mji na kata tatu katente, bulangwa na ushirombo)
6. Rwamgasa _ idadi ya majengo 13 863( mji una kata moja)
7. Nyarugusu _ idadi ya majengo 11 145(mji una kata moja)
8. Bwanga _ idadi ya majengo 11 624( mji una kata moja)
9. Lulembela _ idadi ya majengo 9 240( mji una kata moja)
10. Kakubilo _ idadi ya majengo 9 287( kata moja)
11. Nkome _ idadi ya majengo 9 251
12. Chato

MIJI MIKUBWA NJOMBE HII HAPA 👇
1. Njombe TC _ idadi ya majengo 51 555
2. Makambako Mji _ idadi ya majengo 37 865
Hakuna mji mwingine wenye majengo zaidi ya 9 000
 
Je Ina mamlaka kamili ya mji au ya kujiliwaza Sawa endelea na uchambuzi wenzio tulisha maliza Hilo Cha msingi ongezeni juhudi hata ya kujenga gorofa
 
Endelea kujifariji ukweli ndo huo kata 33 makazi yanaingiliana ni sawa kama unaujua mipaka ya Jiji la dodoma na master plan yake ungeelewa miji kwa nini inakua hivo ishu ulitaka nyumba zijazane sehemu moja ndo useme sawa wenzenu wanaenda kwa utaratibu maeneo Yao yamesha pimwa inajulikana hili eneo la viwanda , zoo, taasisi hawajengi ovyo kama Kijiji chenu Cha katoro hata Bar
Screenshot_20241228-120011.png
abara halieleweki
Sasa hapa Makambako barabara zinaeleweka 👇🤗🤗🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20241228-115905.png
Screenshot_20241228-120036.png
 
Ndo maana tumekwambia jiografia ya njombe huijui Na mkoa umekaaje huijui unaishia kuangalia kwenye Google map siku tembelea ndo utajua kwanini wenzio walianzisha na Uzi wa geita kuachwa mbali na njombe hata tukikuelezea Sana huwezi elewa fika eneo husika ndo utajua

Back
Top Bottom