The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
-
- #121
No excuse here ,,leta hotel ,[emoji16][emoji28][emoji28]Acha kulia lia subiria nitakuja na majibu..
Kwanza ile hotel ya pale Sogea ghorofa 6 imekamilika au bado? Last time ilikuwa inafanyiwa cladding..
Humu hatushindanishi hotel pekee Bali miundombinu yote kwa ujumla so bado sijaweka ghorofa nyingi Sana za Tunduma..
Nyie watu wa Tunduma kama hamtaki kuweka nitaweka mwenyewe siku nitakapokuja huko..
Endeleeni kupigana .mkimaliza mnaweza mtatuita tumalizieAcha dharau wewe,Tunduma ya wapi yenye mzunguko kukaribia wa Mbeya?
Kama kuna mzunguko mbona unasema hakuna hotel zenye hadhi?
Hata kwenye makazi bado ujenzi ni uke wa kishamba tuu kama Kahama huwezi linganisha na Vwawa sababu ni kwamba miji ya kichuuzi huwa imejaa wafanyabiashara washamba tofauti na miji yenye taasisi nyingi za serikali kunakuwa na nyumba nzuri na zaina tofauti tofauti badala ya kuigana kwa kunyenyua mapa juuuu..
Nataka kujua ile hotel pale Sogea iko tayari au bado?
Shule ya sekondari ya Mfano Mkoa wa Songwe inajengwa Tunduma Tena ni ghorofa π
Umeingiza uswahiliπ πWe jamaa mbona unapenda kufanya ulingalifu na Kanda ya Ziwa...?! kila mmoja aishi anapoona panafaa, haya Tunduma ikiwa bora so what...?! mimi nikiishi Kahama we una athirika na nini...?! au nikishi sehemu za umasikini we inakuuma nini...?! kwani watu wa Kahama walishakuja kuomba msaada kwako...?!
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Yaani mkitoa Tunduma kuleta dar na sio Dar kwenda Tunduma?Nasikia tunduma kumenoga kibiashara miaka hii, Mara ya mwisho kwenda mwaka 2002 nikiwa na age 27, palikuwa bize Sana kibiashara ,kipindi hiko tulikuwa tunadili na vitenge na vipodozi kuleta dar
Kahama na lile vumbi mitaa yote hakuna lami?Kama idadi ya watu kahama imezidi tunduma
Kama miundo mbinu kahama imezidi tunduma
Kama mzunguko wa pesa kahama imezidi tunduma
Kama starehe na anasa kahama imezidi tunduma
Ukibisha na kuja na mifano ya Kila kitu hapo juu hivi Kuna kiwanda cha bati, misumari nk uko tunduma uko haya njoo kwenye anasa Sasa aisee anzia mbeya mjini mpaks boda tafuta tafuta the place kama the magic ipo wapi yani mnatoka tunduma mnaenda kwenye vibanda umiza eti kustarehe pale mwairubi au city pub si vibanda umiza vile
Kahama Kuna uwanja wa ndege nyie si mnaenda songwe hii inchi ukitoa dar the next ni mwanza na kahama over ukibisha nakuja na mifano
Kahama ina majengo yapi kushinda hiyo Mikoa umeitaja ukitoa Lindi na Sumbawanga?Kote nimekaa , Naijua miji yote vizuri, Tunduma haiwezi kuigusa Kahama kwa namna yoyote ile hata mikoa kama singida, kigoma, Tabora, ruvuma, Rukwa, katavi, Njombe, Lindi bado makao makuu ya hiyo mikoa haiwezi kuipata kahama iwe kwa majengo au kuchangamka, huu ni ukweli mchungu
Mji ukiwa una kuwa kiholela holela bila mipango miji ni sawa na bure tu ..huo uongozi wa mkoa wajipange kuupanga mji vizuri sio kila nyumba zina angalia highway tuHii ni kwa watafutaji na wazee wa fursa.
Leo tumalize mzizi wa fitina,ni Mji gani Kati ya Kahama na Tunduma uko vizuri kiutafutaji?
Tunduma-Ina wakazi zaidi ya laki 2 na ni Mji wa mpakani unaokua Sana kwa kutegemea zaidi biashara za mpakani.
Kahama-Ina wakazi zaidi ya laki 3.5 na ni Mji wa biashara unaokua Kwa kutegemea zaidi biashara za madini.
Kwa Maoni yangu, Tunduma is much better na iko more promising kuliko Kahama.
Idadi tuu ya magari yaliyoko Tunduma ni pesa tosha kwa biashara ya Hotels,Guest Houses,parking na Migahawa na watu hasa Madereva wanaotoka Dar na pesa kuja ku spend wakiwa njiani kupeleka mizigo Kusini mwa Africa.
Tunduma Border ya Wajanja na lango kuu la SADC π
View attachment 2345436
Ilikuwa zamani kabla ya Halmashauri,kwa sasa Mji unapangwa..Mji ukiwa una kuwa kiholela holela bila mipango miji ni sawa na bure tu ..huo uongozi wa mkoa wajipange kuupanga mji vizuri sio kila nyumba zina angalia highway tu