Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

Tunduma -Songea na Selous/Super feo 👇
 

Attachments

  • 20220906_214053.jpg
    20220906_214053.jpg
    86.5 KB · Views: 25
Acha kulia lia subiria nitakuja na majibu..

Kwanza ile hotel ya pale Sogea ghorofa 6 imekamilika au bado? Last time ilikuwa inafanyiwa cladding..

Humu hatushindanishi hotel pekee Bali miundombinu yote kwa ujumla so bado sijaweka ghorofa nyingi Sana za Tunduma..

Nyie watu wa Tunduma kama hamtaki kuweka nitaweka mwenyewe siku nitakapokuja huko..
No excuse here ,,leta hotel ,[emoji16][emoji28][emoji28]
 
Acha dharau wewe,Tunduma ya wapi yenye mzunguko kukaribia wa Mbeya?

Kama kuna mzunguko mbona unasema hakuna hotel zenye hadhi?

Hata kwenye makazi bado ujenzi ni uke wa kishamba tuu kama Kahama huwezi linganisha na Vwawa sababu ni kwamba miji ya kichuuzi huwa imejaa wafanyabiashara washamba tofauti na miji yenye taasisi nyingi za serikali kunakuwa na nyumba nzuri na zaina tofauti tofauti badala ya kuigana kwa kunyenyua mapa juuuu..

Nataka kujua ile hotel pale Sogea iko tayari au bado?
Endeleeni kupigana .mkimaliza mnaweza mtatuita tumalizie
 
Tunduma naipendea kwa pombe Kule ni bei nafuu sana, Kuna velve,win,prince,jambo jin

Nilikua nachukua mzigo ng'ambo bei jumla Tsh 800/= box Moja chupa zinakaa 20 zenye Mls 200 na volume 43+ hiyo ni spirit, whisk,vodka mzigo nikifanikiwa kuutoa hapo sokoni black nikifanikiwa kuutoa hapo ukifika Mbeya town nauza chupa mojaTsh 3500-5000
 
Usafiri ni uhakika wa kukufikisha ndani na Nje ya Nchi..

Tunduma-Dom na Shabiby 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220909-071507.png
    Screenshot_20220909-071507.png
    133.5 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220909-071304.png
    Screenshot_20220909-071304.png
    183.6 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220909-071158.png
    Screenshot_20220909-071158.png
    158.4 KB · Views: 20
  • 20220909_071326.jpg
    20220909_071326.jpg
    185.9 KB · Views: 23
  • 20220909_071336.jpg
    20220909_071336.jpg
    68.9 KB · Views: 22
Shule za Tunduma ni ghorofa tuu 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220912-223457.png
    Screenshot_20220912-223457.png
    232.2 KB · Views: 24
Wamekuja Tunduma kujifunza 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220916-204851.png
    Screenshot_20220916-204851.png
    200.6 KB · Views: 25
New baby in Town 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220918-075420.png
    Screenshot_20220918-075420.png
    127.2 KB · Views: 23
  • Screenshot_20220918-075245.png
    Screenshot_20220918-075245.png
    152.2 KB · Views: 20
  • 20220918_075430.jpg
    20220918_075430.jpg
    59.8 KB · Views: 20
  • 20220918_075121.jpg
    20220918_075121.jpg
    64.5 KB · Views: 20
  • 20220918_074717.jpg
    20220918_074717.jpg
    63.5 KB · Views: 19
We jamaa mbona unapenda kufanya ulingalifu na Kanda ya Ziwa...?! kila mmoja aishi anapoona panafaa, haya Tunduma ikiwa bora so what...?! mimi nikiishi Kahama we una athirika na nini...?! au nikishi sehemu za umasikini we inakuuma nini...?! kwani watu wa Kahama walishakuja kuomba msaada kwako...?!

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Umeingiza uswahili😅😅
 
Nasikia tunduma kumenoga kibiashara miaka hii, Mara ya mwisho kwenda mwaka 2002 nikiwa na age 27, palikuwa bize Sana kibiashara ,kipindi hiko tulikuwa tunadili na vitenge na vipodozi kuleta dar
Yaani mkitoa Tunduma kuleta dar na sio Dar kwenda Tunduma?
 
Kama idadi ya watu kahama imezidi tunduma


Kama miundo mbinu kahama imezidi tunduma

Kama mzunguko wa pesa kahama imezidi tunduma

Kama starehe na anasa kahama imezidi tunduma

Ukibisha na kuja na mifano ya Kila kitu hapo juu hivi Kuna kiwanda cha bati, misumari nk uko tunduma uko haya njoo kwenye anasa Sasa aisee anzia mbeya mjini mpaks boda tafuta tafuta the place kama the magic ipo wapi yani mnatoka tunduma mnaenda kwenye vibanda umiza eti kustarehe pale mwairubi au city pub si vibanda umiza vile

Kahama Kuna uwanja wa ndege nyie si mnaenda songwe hii inchi ukitoa dar the next ni mwanza na kahama over ukibisha nakuja na mifano
Kahama na lile vumbi mitaa yote hakuna lami?
 
Kote nimekaa , Naijua miji yote vizuri, Tunduma haiwezi kuigusa Kahama kwa namna yoyote ile hata mikoa kama singida, kigoma, Tabora, ruvuma, Rukwa, katavi, Njombe, Lindi bado makao makuu ya hiyo mikoa haiwezi kuipata kahama iwe kwa majengo au kuchangamka, huu ni ukweli mchungu
 
Nadhani fursa inaanza na wewe lakini wanaume wenzako watoke jasho kutafuta pesa wawekeze wewe kazi yako iwe kupost vitega uchumi vya wengine panakua na shida sehemu, kwa ujumla tunduma ni ligi za katoro na sio kahama
 
Kote nimekaa , Naijua miji yote vizuri, Tunduma haiwezi kuigusa Kahama kwa namna yoyote ile hata mikoa kama singida, kigoma, Tabora, ruvuma, Rukwa, katavi, Njombe, Lindi bado makao makuu ya hiyo mikoa haiwezi kuipata kahama iwe kwa majengo au kuchangamka, huu ni ukweli mchungu
Kahama ina majengo yapi kushinda hiyo Mikoa umeitaja ukitoa Lindi na Sumbawanga?

Hatufanyi mjadala wa dini hapa kwamba tutaamini maneno bila ushahidi..

Ukipata madarasa ya maghorofa kwa Kahama nzima shule za Serikali nafunga account JF..

Tunduma 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220920-204656.png
    Screenshot_20220920-204656.png
    147.6 KB · Views: 24
Hii ni kwa watafutaji na wazee wa fursa.

Leo tumalize mzizi wa fitina,ni Mji gani Kati ya Kahama na Tunduma uko vizuri kiutafutaji?

Tunduma-Ina wakazi zaidi ya laki 2 na ni Mji wa mpakani unaokua Sana kwa kutegemea zaidi biashara za mpakani.

Kahama-Ina wakazi zaidi ya laki 3.5 na ni Mji wa biashara unaokua Kwa kutegemea zaidi biashara za madini.

Kwa Maoni yangu, Tunduma is much better na iko more promising kuliko Kahama.

Idadi tuu ya magari yaliyoko Tunduma ni pesa tosha kwa biashara ya Hotels,Guest Houses,parking na Migahawa na watu hasa Madereva wanaotoka Dar na pesa kuja ku spend wakiwa njiani kupeleka mizigo Kusini mwa Africa.

Tunduma Border ya Wajanja na lango kuu la SADC 👇

View attachment 2345436
Mji ukiwa una kuwa kiholela holela bila mipango miji ni sawa na bure tu ..huo uongozi wa mkoa wajipange kuupanga mji vizuri sio kila nyumba zina angalia highway tu
 
Mji ukiwa una kuwa kiholela holela bila mipango miji ni sawa na bure tu ..huo uongozi wa mkoa wajipange kuupanga mji vizuri sio kila nyumba zina angalia highway tu
Ilikuwa zamani kabla ya Halmashauri,kwa sasa Mji unapangwa..
 
Back
Top Bottom