The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
- #101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umehamia kwenye bus ..unadhani nako uko salamaKahama mkifika hapa mnitag [emoji116]
Sio tuu bus bali mabasi ya kwenda South kwa Madiba 🔥🔥Naona umehamia kwenye bus ..unadhani nako uko salama
Kafibiwe Kansa kwanza Harafu ndio urudi kuchangia mada 👇Watu wafupi akii hawana akili kabisa yaan matarqo yakiwa karibu na kichwa ubongo unawaza mavi tu
Umetoa hoja kushindanisha ulivyo mjinga kabisa ukaonyesha upo upande upi na mwisho ukatoa Conclusion kuwa wapi pazuri Sasa huu uzi umeleta wanini humu!??
Hayo unayoyasema kama ni mambo hakuna unatakiwa ujue kuna improvement kubwa Sana,ungekuwepo kabala ya 2015 ndio ungejua kwamba kuna improvement kubwa..Sijawai kufika kahama ila kwasasa ninaishi tunduma.Tunduma ina jina kubwa kuliko uhakisia imagine mpaka saizi maji kwa sehemu kubwa ni visima sio bomba,swala la barabara ndio hakuna kabisaaa kwasababu iliyopo ni moja tu kuu ya kwenda sumbawanga na kuingia zambia hii ya mpemba ni kwaajili ya malawi na haina impact yeyote kibiashara,barabara za lami mitaani hakuna kabisa,swala la mwingiliano ni dogo yani sehemu kubwa ya watu ni ukanda huuhuu,hivi vituo vya mafuta havimaanish mzunguko bali n parking nyng za magari,na baadh ya parking ukiwaungisha mafuta gari inalala bure,swala la elimu bado sana hakuna hata kachuo kaveta kamoja hapa tunduma nzima,shughuli kubwa za watu ni biashara,kilimo na magendo,hapa kwenye magendo kuna pombe za zambia,vipodozi,vitenge na kusafirisha wasomali na watu wasio na document,mzunguko wa biashara tunduma sitauzungumzia cos sifany biashara za kununua na kuuza so siwezi compare bila experience,yangu ni hayo,nipo mpemba hapa newbell karibuni
Point [emoji122]Sijawai kufika kahama ila kwasasa ninaishi tunduma.Tunduma ina jina kubwa kuliko uhakisia imagine mpaka saizi maji kwa sehemu kubwa ni visima sio bomba,swala la barabara ndio hakuna kabisaaa kwasababu iliyopo ni moja tu kuu ya kwenda sumbawanga na kuingia zambia hii ya mpemba ni kwaajili ya malawi na haina impact yeyote kibiashara,barabara za lami mitaani hakuna kabisa,swala la mwingiliano ni dogo yani sehemu kubwa ya watu ni ukanda huuhuu,hivi vituo vya mafuta havimaanish mzunguko bali n parking nyng za magari,na baadh ya parking ukiwaungisha mafuta gari inalala bure,swala la elimu bado sana hakuna hata kachuo kaveta kamoja hapa tunduma nzima,shughuli kubwa za watu ni biashara,kilimo na magendo,hapa kwenye magendo kuna pombe za zambia,vipodozi,vitenge na kusafirisha wasomali na watu wasio na document,mzunguko wa biashara tunduma sitauzungumzia cos sifany biashara za kununua na kuuza so siwezi compare bila experience,yangu ni hayo,nipo mpemba hapa newbell karibuni
Siku tunduma ikiwa na hotel classic kama hizi ndo itakuwa na hadhi ya kubishana na kahamaHayo unayoyasema kama ni mambo hakuna unatakiwa ujue kuna improvement kubwa Sana,ungekuwepo kabala ya 2015 ndio ungejua kwamba kuna improvement kubwa..
Hiyo barabara ya Malawi unayosema sio muhimu kibiashara hiyo ni shida yako binafsi maana Mji unakua zaidi njia ya Ileje na Sumbawanga..
Kuhusu maji hata hayo unayiosema ni ya kisima ni ushukuru kuna hata visima kwa sasa ila zamani tulikuwa tunafuata Chimbuya huko,Mjini kule kuna mradi wa maji ya Bomba japo mradi mkubwa wa uhakika mtapata kutoka Ileje..
Barabara za lami za mitaani walau zipo za kutafutiza miaka hii,hiyo Tunduma unayoiona hata mitaa ilikuwa haipo vyote hivyo vimefangika Kati ya 2010 hadi sasa,kwa kuwa TARURA sasa ipo mtapata hizo barabara maana ilibidi makazi yavunjwe Ili kupata mitaa kutokana na ujenzi holela..
Mambo ya Elimu kwa sasa Tunduma inajitahidi hasa kwenye elimu ya msingi na Sekondari,Mambo ya Vyuo bado ila huo mpango wa Veta upo maana hata Mkoa wa Rukwa hakuna Veta ya Serikali na haki iko hivyo Kwa maeneo mengi ya Nchi..
Mambo ya biashara ndio mahali pake na hizo vituo vya mafuta ni ishara kwamba kuna biashara kubwa sio tuu hiyo bali hata maduka ni mengi Mji mzima ni biashara..
Mwisho unatakiwa kujua.kwamba Halmashauri ya Mji wa Tunduma imeundwa mwaka 2010 kwa hiyo kwa yaliyofanyika so far naona wamejitahidi Sana maana ndani ya miaka 12 tayari kuna hospital Kubwa ya Mji,stand nzuri ya mpemba,mashule kibao zikiemo English medium za serikali,wanapima viwanja na kupanga Mji,mitaa inaanza kuwekwa na pia kitu kikubwa ni kwamba hapo kuna wageni wengi tofauti na unavyosema maana huo Mji ni WA wahamiaji zaidi..
Nakulia time umalize vipicha picha vyako harafu nitakujia na picha za Tunduma uaibike,just wait.Siku tunduma ikiwa na hotel classic kama hizi ndo itakuwa na hadhi ya kubishana na kahama View attachment 2346880View attachment 2346881View attachment 2346884
We hata unilie nini ..hii dozi huiwezi ...kaa mbali na watoto..ulimiscaliculate sana kuleta Uzi huu Bora ungelinganisha na sirari ,ningekuwa nimetulia ..ila hyo shabby village ulinganishe ni kahama huo ni kujitaftia fedhehaNakulia time umalize vipicha picha vyako harafu nitakujia na picha za Tunduma uaibike,just wait.
Kuhusu biashara wadau wengi wanadai mzunguko ni mkubwa ukifananisha na miji kama mbeya iringa n.k,kuhusu kukua kwa makazi ya watu ni kweli kule katenjele na msongwa inajengwa mijengo kwa kasi maana wayback mpemba palikuwa kijijini ila saizi standkuu hospital kuu,car parkings na viwanja vya burudan ndio mahala pake,lakini mkuukwanini unaizungumzia kahama negative kias hicho?Hayo unayoyasema kama ni mambo hakuna unatakiwa ujue kuna improvement kubwa Sana,ungekuwepo kabala ya 2015 ndio ungejua kwamba kuna improvement kubwa..
Hiyo barabara ya Malawi unayosema sio muhimu kibiashara hiyo ni shida yako binafsi maana Mji unakua zaidi njia ya Ileje na Sumbawanga..
Kuhusu maji hata hayo unayiosema ni ya kisima ni ushukuru kuna hata visima kwa sasa ila zamani tulikuwa tunafuata Chimbuya huko,Mjini kule kuna mradi wa maji ya Bomba japo mradi mkubwa wa uhakika mtapata kutoka Ileje..
Barabara za lami za mitaani walau zipo za kutafutiza miaka hii,hiyo Tunduma unayoiona hata mitaa ilikuwa haipo vyote hivyo vimefangika Kati ya 2010 hadi sasa,kwa kuwa TARURA sasa ipo mtapata hizo barabara maana ilibidi makazi yavunjwe Ili kupata mitaa kutokana na ujenzi holela..
Mambo ya Elimu kwa sasa Tunduma inajitahidi hasa kwenye elimu ya msingi na Sekondari,Mambo ya Vyuo bado ila huo mpango wa Veta upo maana hata Mkoa wa Rukwa hakuna Veta ya Serikali na haki iko hivyo Kwa maeneo mengi ya Nchi..
Mambo ya biashara ndio mahali pake na hizo vituo vya mafuta ni ishara kwamba kuna biashara kubwa sio tuu hiyo bali hata maduka ni mengi Mji mzima ni biashara..
Mwisho unatakiwa kujua.kwamba Halmashauri ya Mji wa Tunduma imeundwa mwaka 2010 kwa hiyo kwa yaliyofanyika so far naona wamejitahidi Sana maana ndani ya miaka 12 tayari kuna hospital Kubwa ya Mji,stand nzuri ya mpemba,mashule kibao zikiemo English medium za serikali,wanapima viwanja na kupanga Mji,mitaa inaanza kuwekwa na pia kitu kikubwa ni kwamba hapo kuna wageni wengi tofauti na unavyosema maana huo Mji ni WA wahamiaji zaidi..
Mkuu tunduma nzima hakuna hotel ya kuifikia hii kwenye picha hakuna cha nyati,ik,ukinga hill wala olimpia yenye hadhi hiyo,unajua tanzania yote ni yetu so hakuna haja ya kuweka uwongo ili tu mahala flani paonekane pako juu,kuna watu kupitia hizi mada watataman kufika eneo kutokana na sifa ulizotaja halafu wakute mambo ni tofauti sana na faida ya hii mijadala haitakuwepoNakulia time umalize vipicha picha vyako harafu nitakujia na picha za Tunduma uaibike,just wait.
Gali = gari. Kwa huu uandishi wako basi Kahama ina bahati mbaya ya kupata mkazi aliyeenda shule kusomea ujinga.Hvyo vi hotel vyako kwa kahama ni vihotel vya uchocholoni.kahama ni munispal .tundumu ni halimashauli ya mji.mzunguko wa pesa kahama huwezi linganisha na tunduma.tunduma Kuna vibajaji vingi,pikipiki za kuhesabu tax hazizidi 20 mji mzina.kahama Kuna baiskel,bajaji za kutosha ,pikipiki za kutosha mabasi ya kutosha kwenda mikoa zaidi ya 14.kahama Ina Magali ya abilia kama hiace ya kwenda sehem nyingi tofauti kama ushilombo,kagongwa,shy,tinde,isaka,lunzewe kwa njia nyingi tofauti tofauti.ila tunduma inanjia 4 tu.ya kwenda Malawi,ambayo Gali zake ni chache sana.kwenda boda hakuna hiace kabisa,kwenda njia ya mbeya ndio Kuna coster na hiace za kwenda mlowo.mpaka mbeya.njia ya sumbawanga napo Kuna hiace japo ni chache sana.ila kwa kahama Kuna njia zote isaka mpaka shy Gali kibao.njia ya masumbwe Gali kibao njia ya short cut ya kutokezea tabora zipo kibao njia ya kwenda kakola zipo kibao njia ya kutokezea msalala Gali zipo kibao.mzunguko wa pesa kahama upo zaidi kwa kuwa kahama ndio sehem kuu ya kununua bidhaa kwa miji yote iliyoizunguka iliyo na migodi na isiyo na migodi tofauti na tunduma.tunduma vitu vinabei ya juu.ukivuka border unaenda kununua kuanzia nguo,vitenge mafuta,viatu,petrol vyote vipo chini kuliko tunduma.tunduma malori na mpaka ndio vinavyouchangamsha mji.kuanzia kule kwa mpemba zile yard za Magali na gest ndio zinazoupatia mji wa tunduma mapato.ila kahama Kuna kilimo Cha mpunga,migodi,na biashara
Acha kulia lia subiria nitakuja na majibu..Mkuu tunduma nzima hakuna hotel ya kuifikia hii kwenye picha hakuna cha nyati,ik,ukinga hill wala olimpia yenye hadhi hiyo,unajua tanzania yote ni yetu so hakuna haja ya kuweka uwongo ili tu mahala flani paonekane pako juu,kuna watu kupitia hizi mada watataman kufika eneo kutokana na sifa ulizotaja halafu wakute mambo ni tofauti sana na faida ya hii mijadala haitakuwepo
Acha dharau wewe,Tunduma ya wapi yenye mzunguko kukaribia wa Mbeya?Kuhusu biashara wadau wengi wanadai mzunguko ni mkubwa ukifananisha na miji kama mbeya iringa n.k,kuhusu kukua kwa makazi ya watu ni kweli kule katenjele na msongwa inajengwa mijengo kwa kasi maana wayback mpemba palikuwa kijijini ila saizi standkuu hospital kuu,car parkings na viwanja vya burudan ndio mahala pake,lakini mkuukwanini unaizungumzia kahama negative kias hicho?