Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Jana nikiwa nimeenda Wal-Mart kununua vitu kadhaa ghafla nikakutana na kahawa itokayo Kenya kwenye moja ya shelves.
Ilibidi niangalie mara mbilimbili ili kuhakikisha kama macho yangu yalikuwa hayanidanganyi.
Nilivyoiona hiyo kahawa nikazidi kuangaza macho kuona kama nitaiona Africafe kutoka Tanzania lakini wapi!
View attachment 511273
hahaha....go to the clothes section in walmart H&M Calvin Klein, Levi’s, Tommy Hilfiger and Victoria’s Secret youll find garments from kenya.Nchi yenye Binadamu zaidi ya Milioni 40 haijawekewa sanctions na nchi yoyote ile kuuza sachets za Kahawa ni aibu kubwa, mambo mengine wala hatupaswi kuyasema hadharani na usikute hapo hata ni special treatment ndiyo hizo sachets zimeweza kufika hapo lkn siyo kwa kucompete na on fair grounds na products ktk nchi nyingine!
Afrika sisi bado sana, mbilikimo hapa Duniani!
Nyani Ngabu ni mtz.Nchi yenye Binadamu zaidi ya Milioni 40 haijawekewa sanctions na nchi yoyote ile, kwa maana ya kwamba tunaweza ku-trade freely na kila mtu Dunia nzima sasa kuuza sachets za Kahawa na kujivunia ni aibu kubwa, mambo mengine wala hatupaswi kuyasema hadharani na usikute hapo hata ni special treatment ndiyo hizo sachets zimeweza kufika hapo lkn siyo kwa kucompete na on fair grounds na products ktk nchi nyingine!
Afrika sisi bado sana, mbilikimo hapa Duniani!
Nchi yenye Binadamu zaidi ya Milioni 40 haijawekewa sanctions na nchi yoyote ile, kwa maana ya kwamba tunaweza ku-trade freely na kila mtu Dunia nzima sasa kuuza sachets za Kahawa na kujivunia ni aibu kubwa, mambo mengine wala hatupaswi kuyasema hadharani na usikute hapo hata ni special treatment ndiyo hizo sachets zimeweza kufika hapo lkn siyo kwa kucompete na on fair grounds na products ktk nchi nyingine!
Afrika sisi bado sana, mbilikimo hapa Duniani!
Ironically presented!Pongezi sana kwa wenzetu wakenya. That is quite an achievement.
Nchi yenye Binadamu zaidi ya Milioni 40 haijawekewa sanctions na nchi yoyote ile, kwa maana ya kwamba tunaweza ku-trade freely na kila mtu Dunia nzima sasa kuuza sachets za Kahawa na kujivunia ni aibu kubwa, mambo mengine wala hatupaswi kuyasema hadharani na usikute hapo hata ni special treatment ndiyo hizo sachets zimeweza kufika hapo lkn siyo kwa kucompete na on fair grounds na products ktk nchi nyingine!
Afrika sisi bado sana, mbilikimo hapa Duniani!
Nyani Ngabu, Tanzanian coffee ipo Marekani hata Europe hata Japan. Haziuzwi Walmart bali kupitia makampuni za ununuaji kahawa. Online zipo nyingi tuu na zina nembo ya Tanzania. Sio coffee tuu, hata chocolate zilizotokana na cocoa ya Mbeya zipo. Ingia Amazon utazipata.
Ili kufika kwenye maduka hayo ya reja reja inachagia na local importer wa huko Marekani. Hata hiyo uliyoiona ya Kenya ni juhudi za local company inayonunua coffee kutoka Kenya, Starbucks wanauza Tanzanian coffee let alone independent coffee houses.Amazon na eBay najua unaweza kuzipata.
Nalijua hilo kwa sababu mimi ni mnunuzi mzuri wa bidhaa kupitia hizo tovuti.
Hapa nilikuwa nazungumzia uwepo wake katika brick and mortar retailer kama Wal-Mart.
Inawezekana labda na kwingineko kama Target, Publix, au Kroger zinaweza kuwepo lakini mimi sijawahi kuziona na jana ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kuziona Walmart.
upuuzi huuIli kufika kwenye maduka hayo ya reja reja inachagia na local importer wa huko Marekani. Hata hiyo uliyoiona ya Kenya ni juhudi za local company inayonunua coffee kutoka Kenya, Starbucks wanauza Tanzanian coffee let alone independent coffee house.