Kahawa ya Kenya ndani ya Wal-Mart

Kahawa ya Kenya ndani ya Wal-Mart

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Jana nikiwa nimeenda Wal-Mart kununua vitu kadhaa ghafla nikakutana na kahawa itokayo Kenya kwenye moja ya shelves.

Ilibidi niangalie mara mbilimbili ili kuhakikisha kama macho yangu yalikuwa hayanidanganyi.

Nilivyoiona hiyo kahawa nikazidi kuangaza macho kuona kama nitaiona Africafe kutoka Tanzania lakini wapi!

20170518_131828.jpg
 
View attachment 511273

Nchi yenye Binadamu zaidi ya Milioni 40 haijawekewa sanctions na nchi yoyote ile, kwa maana ya kwamba tunaweza ku-trade freely na kila mtu Dunia nzima sasa kuuza sachets za Kahawa na kujivunia ni aibu kubwa, mambo mengine wala hatupaswi kuyasema hadharani na usikute hapo hata ni special treatment ndiyo hizo sachets zimeweza kufika hapo lkn siyo kwa kucompete na on fair grounds na products ktk nchi nyingine!

Afrika sisi bado sana, mbilikimo hapa Duniani!
 
Nchi yenye Binadamu zaidi ya Milioni 40 haijawekewa sanctions na nchi yoyote ile kuuza sachets za Kahawa ni aibu kubwa, mambo mengine wala hatupaswi kuyasema hadharani na usikute hapo hata ni special treatment ndiyo hizo sachets zimeweza kufika hapo lkn siyo kwa kucompete na on fair grounds na products ktk nchi nyingine!

Afrika sisi bado sana, mbilikimo hapa Duniani!
hahaha....go to the clothes section in walmart H&M Calvin Klein, Levi’s, Tommy Hilfiger and Victoria’s Secret youll find garments from kenya.

you can hate on kenya all day but you aint stopping nothing tho
 
Nchi yenye Binadamu zaidi ya Milioni 40 haijawekewa sanctions na nchi yoyote ile, kwa maana ya kwamba tunaweza ku-trade freely na kila mtu Dunia nzima sasa kuuza sachets za Kahawa na kujivunia ni aibu kubwa, mambo mengine wala hatupaswi kuyasema hadharani na usikute hapo hata ni special treatment ndiyo hizo sachets zimeweza kufika hapo lkn siyo kwa kucompete na on fair grounds na products ktk nchi nyingine!

Afrika sisi bado sana, mbilikimo hapa Duniani!
Nyani Ngabu ni mtz.
 
Mbona una machungu hivo?
 
Duh! Jamaa hivi lazima useme, yaani hata kama huna lolote akilini yaani lazima utapike tu kwa vyovyote vile. Mengine ni ya kupita kimya tu. Learn to pick your battles....

Nyani Ngabu
USA baby!!! Natumai ulinunua na hukuishia kuishangaa tu.
 
Kenya, Whole Bean

3 reviews Write A Review
100% of respondents would recommend this to a friend

Availability: In Stock

This unique coffee’s bright and juicy flavours become more pronounced as it cools.
Kenya's high altitudes, ideal climate and strong traditions have helped put premium Kenyan coffees like this one among the world's most treasured. And as it did when we introduced it in 1971, Kenya continues to astound our expert tasters and customers alike with flavours not commonly ascribed to coffee: juicy acidity, low wine notes and fruity flavors that intensify as the coffee cools.

For this reason, Kenya is an important ingredient in our iced-coffee blends. Enjoy it brewed cold or double strength, then served over ice.

Kenya, Whole Bean

Nyani Ngabu, pop in at the starbucks cafe next time, and savour the authentic flavour of East Africa.
 
Nyani Ngabu, Tanzanian coffee ipo Marekani hata Europe hata Japan. Haziuzwi Walmart bali kupitia makampuni za ununuaji kahawa. Online zipo nyingi tuu na zina nembo ya Tanzania. Sio coffee tuu, hata chocolate zilizotokana na cocoa ya Mbeya zipo. Ingia Amazon utazipata.
 
Amazon na eBay najua unaweza kuzipata.

Nalijua hilo kwa sababu mimi ni mnunuzi mzuri wa bidhaa kupitia hizo tovuti.

Hapa nilikuwa nazungumzia uwepo wake katika brick and mortar retailer kama Wal-Mart.

Inawezekana labda na kwingineko kama Target, Publix, au Kroger zinaweza kuwepo lakini mimi sijawahi kuziona na jana ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kuziona Walmart.
 
mambo poa hapo..atleast naona ni processed product and not a raw material
 
Amazon na eBay najua unaweza kuzipata.

Nalijua hilo kwa sababu mimi ni mnunuzi mzuri wa bidhaa kupitia hizo tovuti.

Hapa nilikuwa nazungumzia uwepo wake katika brick and mortar retailer kama Wal-Mart.

Inawezekana labda na kwingineko kama Target, Publix, au Kroger zinaweza kuwepo lakini mimi sijawahi kuziona na jana ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kuziona Walmart.
Ili kufika kwenye maduka hayo ya reja reja inachagia na local importer wa huko Marekani. Hata hiyo uliyoiona ya Kenya ni juhudi za local company inayonunua coffee kutoka Kenya, Starbucks wanauza Tanzanian coffee let alone independent coffee houses.
 
Ili kufika kwenye maduka hayo ya reja reja inachagia na local importer wa huko Marekani. Hata hiyo uliyoiona ya Kenya ni juhudi za local company inayonunua coffee kutoka Kenya, Starbucks wanauza Tanzanian coffee let alone independent coffee house.
upuuzi huu
 
Back
Top Bottom