Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Jana nikiwa nimeenda Wal-Mart kununua vitu kadhaa ghafla nikakutana na kahawa itokayo Kenya kwenye moja ya shelves.
Ilibidi niangalie mara mbilimbili ili kuhakikisha kama macho yangu yalikuwa hayanidanganyi.
Nilivyoiona hiyo kahawa nikazidi kuangaza macho kuona kama nitaiona Africafe kutoka Tanzania lakini wapi!