Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hiyo sheria haiwahusu ccm. Ilitungwa rasmi kwa ajili ya cdm, kwa sasa itabidi waangalie waitumieje...Na mabango ambayo Mama ameishasambaza nchi nzima itakuwaje?
Hiyo sheria haiwahusu ccmMkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC), Ramadhani Kailima amesema,
"Endapo vyama vya siasa au mgombea yeyote atahitaji kutumia machapisho kama vile mabango au vipeperushi vyenye matangazo ya kampeni, vitapaswa kuomba idhini kwenye Mamlaka husika (1) Kwa uchaguzi wa kiti cha Rais kibali kitaombwa tume na (2) kwa uchaguzi wa Mbunge au Udiwani kibali kitaombwa kwa msimamizi wa uchaguzi"
Ndiyo waanze na mabango ya mtu anayejiuza kama CD nchi nzima barabarani! Vibali vilitoka wapi! Bandikeni hapaMkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC), Ramadhani Kailima amesema,
"Endapo vyama vya siasa au mgombea yeyote atahitaji kutumia machapisho kama vile mabango au vipeperushi vyenye matangazo ya kampeni, vitapaswa kuomba idhini kwenye Mamlaka husika (1) Kwa uchaguzi wa kiti cha Rais kibali kitaombwa tume na (2) kwa uchaguzi wa Mbunge au Udiwani kibali kitaombwa kwa msimamizi wa uchaguzi"
Mimi ni mwanaCCM ila ninakiri hii ni SHERIA YA KIPUMBAVU SANA. Sasa nini maana ya kampeni kama hadi vipeperushi na mabango hadi kibali?Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC), Ramadhani Kailima amesema,
"Endapo vyama vya siasa au mgombea yeyote atahitaji kutumia machapisho kama vile mabango au vipeperushi vyenye matangazo ya kampeni, vitapaswa kuomba idhini kwenye Mamlaka husika (1) Kwa uchaguzi wa kiti cha Rais kibali kitaombwa tume na (2) kwa uchaguzi wa Mbunge au Udiwani kibali kitaombwa kwa msimamizi wa uchaguzi"
Je kutumia plate number?Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC), Ramadhani Kailima amesema,
"Endapo vyama vya siasa au mgombea yeyote atahitaji kutumia machapisho kama vile mabango au vipeperushi vyenye matangazo ya kampeni, vitapaswa kuomba idhini kwenye Mamlaka husika (1) Kwa uchaguzi wa kiti cha Rais kibali kitaombwa tume na (2) kwa uchaguzi wa Mbunge au Udiwani kibali kitaombwa kwa msimamizi wa uchaguzi"
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC), Ramadhani Kailima amesema,
"Endapo vyama vya siasa au mgombea yeyote atahitaji kutumia machapisho kama vile mabango au vipeperushi vyenye matangazo ya kampeni, vitapaswa kuomba idhini kwenye Mamlaka husika (1) Kwa uchaguzi wa kiti cha Rais kibali kitaombwa tume na (2) kwa uchaguzi wa Mbunge au Udiwani kibali kitaombwa kwa msimamizi wa uchaguzi"
Tatizo njaa mkuu, zile baiskel na pikipiki hazijaombewa vibali na tena zimesambazwa kote nchini kabla ya muda wa kampeni...zile ni rushwa live bila chenga!Na ya mama samia je? Kailima huwa namuona hamnazo
Mchakato ukiwa huru hata bila kampeni kuna mgombea lazima aangukie pua. Mabango hayapigi kura, kama unakubaloka utapata kura hata bila kampeni.Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC), Ramadhani Kailima amesema,