Mahitaji
1)Unga kikombe 1
2)1/2 kikombe cha yogurt na maji kidogo waweza tumia tui la nazi pia.
3)siagi ama samli 1tablespoon
4)1 teaspoon ya hamira
Shira (sugar syrup)
1)Sukari kikombe 1
2)maji nusu kikombe
3)hiliki 1/2 teaspoon
5)arki ya rose,saffron threads au fleva upendayo
1)Weka kwenye sufuria maji,sukari,hiliki na fleva upendayo...
2)Chemsha shira (sugar syrup) na iache ipoe
Namna ya kutaarisha kaimati
1)changanya unga,yogurt na maji/tui la nazi,samli/siagi na hamira changanya vizuri kwa mikono hadi uwe mchanganyiko mzito mzito
2)funika na acha iumuke kwa dakika 30....
3)weka mafuta kwenye karai na kaanga kaimati zako na ziwe brown pendelea kuweka moto mdogo mdogo ili ziwive vizuri.
2)weka kaimati katika shira iliyopoa...