Kaimati (sweet dumplings)

Kaimati (sweet dumplings)

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,917
Mahitaji
1)Unga kikombe 1
2)1/2 kikombe cha yogurt na maji kidogo waweza tumia tui la nazi pia.
3)siagi ama samli 1tablespoon
4)1 teaspoon ya hamira

Shira (sugar syrup)

1)Sukari kikombe 1
2)maji nusu kikombe
3)hiliki 1/2 teaspoon
5)arki ya rose,saffron threads au fleva upendayo

1)Weka kwenye sufuria maji,sukari,hiliki na fleva upendayo...
2)Chemsha shira (sugar syrup) na iache ipoe

Namna ya kutaarisha kaimati

1)changanya unga,yogurt na maji/tui la nazi,samli/siagi na hamira changanya vizuri kwa mikono hadi uwe mchanganyiko mzito mzito
2)funika na acha iumuke kwa dakika 30....
3)weka mafuta kwenye karai na kaanga kaimati zako na ziwe brown pendelea kuweka moto mdogo mdogo ili ziwive vizuri.
2)weka kaimati katika shira iliyopoa...
 

Attachments

  • 1384936690039.jpg
    1384936690039.jpg
    30.4 KB · Views: 908
  • 1384936745210.jpg
    1384936745210.jpg
    8.5 KB · Views: 1,188
farkhina ni wewe wewe wa mitaa yetu ileeeeee ya diko diko? Mwaya huku naona kumepoaaaa asante kwa pishi lakini
 
Woow; hiyo maLugeimati/kalimati kwa Kahawa ... Organic from BK au JRO weeee!!
coffee-cup1.jpg
ARABIC-COFFEE-How-to-make.jpg
Bora niikalie kitako jioni hii!!

Mwenzio waniumiza roho na hiyo kahawa....mekatazwa kunywa😡😡😡😡😱😱😱😱....ila najiibia hivo hivo wiki mara 1..
 
i knoww mpenzi..ila ndo kuongeza uzito mama

Hahahahaha mazoezi yatakua hayana maana kwa kweli.....waenda kujitoa jasho ukirudi unakula..lol.sawa na kutia maji kwenye gunia
 
Mwenzio waniumiza roho na hiyo kahawa....mekatazwa kunywa😡😡😡😡😱😱😱😱....ila najiibia hivo hivo wiki mara 1..
YaaUmmy.. unakaidi kwanini? Kama hatari na mwiko...Si ufuate masharti ya Dr. hujui mkaidi hafaidi ila..........
Khalee-Baleek (take care)
 
YaaUmmy.. unakaidi kwanini? Kama hatari na mwiko...Si ufuate masharti ya Dr. hujui mkaidi hafaidi ila..........
Khalee-Baleek (take care)

Ah shosti niko addicted na cofeee....nimejitahidi kuacha weee ila nkiitamani naona roho yanipaparika lol nakuywa vizuri....
 
nimependa signature yako.
yani me vitam napenda ila nawochi mai figa pia..bas tafrani..naishia kula gizani nsionekane...teh

Ahsante.....hahahahahaha eti unakula gizani lol
 
Back
Top Bottom