Kaimba nani wimbo huu?

Kaimba nani wimbo huu?

The lastborn9319

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2021
Posts
852
Reaction score
1,745
Oy wadau sikilizen hii kamba halafu mniambie kaimba nan huwa naisaka sana,ila Leo nimeikuta club nikairekodi niambien niidownload fasta
 
Attachments

Oya vp??? au na nyie hamuijui..kama hamuijui semeni
We dogo acha kusumbua watu JF. Unachojua ni kuingia JF, Twitter na Facebook kusoma umbea tu.
Pakua Shazam. Fungua, washa data kisha itasikiliza nyimbo na kukuletea jina la mwanamuziki mpk jina la wimbo. Unaingia google unaandika jina la wimbo na msanii mwisho unaandika mp3 au mp4 free download. Utachagua website unayotaka kudownload.
Halafu hapo unamiliki simu ya bei ghari haujui hata kuitumia.
 
Mwanangu we Elon mask nn..?sema fresh Leo nimechat na bill gate !!

Quote Re
 
Fungua hiyo audio yako huku inalia kisha washa data na fungua shazam.
Siku hizi watu hatuulizi nyimbo. Hata ukisikia nyimbo inapigwa radioni au sehemu yoyote na ukaipenda unafungua shazam chap. Inasikiliza inakupa details kisha unaingia google unapakua nyimbo yako unakula maisha.
 
We dogo acha kusumbua watu JF. Unachojua ni kuingia JF, Twitter na Facebook kusoma umbea tu.
Pakua Shazam. Fungua, washa data kisha itasikiliza nyimbo na kukuletea jina la mwanamuziki mpk jina la wimbo. Unaingia google unaandika jina la wimbo na msanii mwisho unaandika mp3 au mp4 free download. Utachagua website unayotaka kudownload.
Halafu hapo unamiliki simu ya bei ghari haujui hata kuitumia.
Ila mwanangu umenidharau sana mi huwa sipendi kutoelewana na mtu,unaweza ukawa na maarifa flan ila mwingine akawa Hana,ww unaweza ukaona ni mambo madogo ila Kwa mwengine yakawa ni mambo makubwa..kama unaweza msaidia mtu msaidie tu bila kejeli..kejeli ni maudhi.
 
Ulijibu kwa hasira ikabidi na mimi nikujibu. Kila mtu anatumia bando lake kwahiyo mtu akikujibu au asipokujibu unakausha.
Ni sawa upo kwenye ukumbi halafu umeuliza halafu watu wakakausha. Ukawambia.
"Oya vp??? au na nyie hamuijui..kama hamuijui semeni"
Ukajibiwa na mtu ambaye amekaa pekee yake gizani anapiga kilaji chake taratibu huku kichwa kimevurugika
 
Poa hamna noma
 
Fungua hiyo audio yako huku inalia kisha washa data na fungua shazam.
Siku hizi watu hatuulizi nyimbo. Hata ukisikia nyimbo inapigwa radioni au sehemu yoyote na ukaipenda unafungua shazam chap. Inasikiliza inakupa details kisha unaingia google unapakua nyimbo yako unakula maisha.
Mie nimejiongeza kwa kuimba kwa mdomo jibu hili nililopata[emoji849]

Kuna wimbo unanizingua kumpata mtunzi.
Screenshot_20221229-112730.jpg
 
Fresh wadau nishaipata..hii weekend tukutane juliana kama we ni mzee wa bata..
 
Back
Top Bottom