The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 852
- 1,745
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeweka hapo juu wadauIpo wapi
Nimeweka hapo juu mdauSioni kitu au nimelewa sana leo😂
We dogo acha kusumbua watu JF. Unachojua ni kuingia JF, Twitter na Facebook kusoma umbea tu.Oya vp??? au na nyie hamuijui..kama hamuijui semeni
Mwanangu we Elon mask nn..?sema fresh Leo nimechat na bill gate !!We dogo acha kusumbua watu JF. Unachojua ni kuingia JF, Twitter na Facebook kusoma umbea tu.
Pakua Shazam. Fungua, washa data kisha itasikiliza nyimbo na kukuletea jina la mwanamuziki mpk jina la wimbo. Unaingia google unaandika jina la wimbo na msanii mwisho unaandika mp3 au mp4 free download. Utachagua website unayotaka kudownload.
Halafu hapo unamiliki simu ya bei ghari haujui hata kuitumia.
Fungua hiyo audio yako huku inalia kisha washa data na fungua shazam.
Ila mwanangu umenidharau sana mi huwa sipendi kutoelewana na mtu,unaweza ukawa na maarifa flan ila mwingine akawa Hana,ww unaweza ukaona ni mambo madogo ila Kwa mwengine yakawa ni mambo makubwa..kama unaweza msaidia mtu msaidie tu bila kejeli..kejeli ni maudhi.We dogo acha kusumbua watu JF. Unachojua ni kuingia JF, Twitter na Facebook kusoma umbea tu.
Pakua Shazam. Fungua, washa data kisha itasikiliza nyimbo na kukuletea jina la mwanamuziki mpk jina la wimbo. Unaingia google unaandika jina la wimbo na msanii mwisho unaandika mp3 au mp4 free download. Utachagua website unayotaka kudownload.
Halafu hapo unamiliki simu ya bei ghari haujui hata kuitumia.
Ulijibu kwa hasira ikabidi na mimi nikujibu. Kila mtu anatumia bando lake kwahiyo mtu akikujibu au asipokujibu unakausha.Ila mwanangu umenidharau sana mi huwa sipendi kutoelewana na mtu,unaweza ukawa na maarifa flan ila mwingine akawa Hana,ww unaweza ukaona ni mambo madogo ila Kwa mwengine yakawa ni mambo makubwa..kama unaweza msaidia mtu msaidie tu bila kejeli..kejeli ni maudhi.
Poa hamna nomaUlijibu kwa hasira ikabidi na mimi nikujibu. Kila mtu anatumia bando lake kwahiyo mtu akikujibu au asipokujibu unakausha.
Ni sawa upo kwenye ukumbi halafu umeuliza halafu watu wakakausha. Ukawambia.
"Oya vp??? au na nyie hamuijui..kama hamuijui semeni"
Ukajibiwa na mtu ambaye amekaa pekee yake gizani anapiga kilaji chake taratibu huku kichwa kimevurugika
Mie nimejiongeza kwa kuimba kwa mdomo jibu hili nililopata[emoji849]Fungua hiyo audio yako huku inalia kisha washa data na fungua shazam.
Siku hizi watu hatuulizi nyimbo. Hata ukisikia nyimbo inapigwa radioni au sehemu yoyote na ukaipenda unafungua shazam chap. Inasikiliza inakupa details kisha unaingia google unapakua nyimbo yako unakula maisha.
Kitambaa cheupe tabata mie,,,ukifika agiza tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fresh wadau nishaipata..hii weekend tukutane juliana kama we ni mzee wa bata..
Hio ngoma weekend iliyopita nilikuwa kitambaa tabata,nataka hii weekend nibadili kiwanjaKitambaa cheupe tabata mie,,,ukifika agiza tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]